Tetesi: Kinana agoma kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya CCM

Status
Not open for further replies.
Haya maisha bhana nikikumbuka jinsi Kinana alivyotembea nchi nzima kuisafisha CCM kipindi kile eti leo anaonekana hafai daaah!
 
hapa mkuu umedadavua vizuri
 
Hapana chezea Msomali.
 
Ila wewe Pascal, kudadeki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana madhara.
 
Hamufikii Mbowe( sumu haionjwi kwa ulimi)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maisha bhana nikikumbuka jinsi Kinana alivyotembea nchi nzima kuisafisha CCM kipindi kile eti leo anaonekana hafai daaah!
By Zitto's voice "Tumewapa madaraka watu washamba na malimbukeni"
 
bado kikwete na mkapa nao walishatajwa na mcba,wanamhujum mfalme wangojee zamu yao
 
umenifurahisha sana, kitendo cha kutambua hao ni wanajeshi hata mimi umenifumbua zaidi,
 
"siku zote faida ya ujinga ni kuumizwa"
kuna vijana tunapaswa tuwacheke na kuwadhihaki, ili wapate uchungu zaidi kwa makosa yao ya kutumia nafasi za uongozi vibaya.


mfano Nape Moses Mnauye alifikia kuleta zengwe bunge lizimwe ili kuzuia wabunge wa chama wa upinzani, hakujua kitendo hicho kinapelekea kumpa nguvu zaidi mwenyekiti wa ccm na rais. Sasa huyo rais baba yako? Na atadumu milele?

Sasa ashamaliza kusambaratisha wapinzani nje ya chama, sasa wanaofuata siwezi sema wapinzani ndani ya chama. hatuwapendi tu yaani.

Sababu tukisema tufukue makaburi hakuna mtu safi ndani ya ccm au upinzani. Makosa yalikuwepo hata kabla ya kutungwa sheria, tuelewane hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…