Tetesi: Kinana agoma kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya CCM

Status
Not open for further replies.
Ameitwa kusikilizwa au kuhojiwa...?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini kumbuka Mwenyekiti wa chama chao ndiye amebariki haya.

Zingatia pia mwenyekiti wa chama ndiye Amir jeshi mkuu. Sidhani kama hapo kuna anayemzidi cheo kwa namna yeyote ile.

Lakini uungwana,hekima na busara ni jambo jema kadiri ulivyopendekeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama ni kweli ngoja wafu wazikane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wangh ni kwa wachangiaji wa thread hii tu.
.
.
.
Niaminisheni si wakereketwa wa chama chochote.
Maana yangu ni kuepusha kujibu majambo ukiwa na mlengo fulani.

Baada ya angalizo hilo, jivisheni viatu vya kama ingalikuwa ni ndani ya chama lako, je? yangaliishia hivyohivyo?

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angeitwa kuhojiwa / kuongea na Amiri Jeshi Mkuu angeheshimu na angefata nidhamu na asingechelewa hata nusu dakika.

Kumbuka huyo ni mwanajeshi mstaafu mwenye cheo na ameshawahi kuwa Waziri wa Ulinzi na sasa ni mstaafu. Anafahamu maana ya nidhamu ni nini.

Si wewe au mwengine yeyote wa kumfundisha hayo. Amekitumikia chama zaidi ya trobo tatu ya maisha yake.

Kwa kukujuza tu, Kinana ni super bright, super intelligent.

Mwanajeshi hastaafu anapumzika tu.
 
Amejenga heshima kubwa sana bunge la EA.
 
Kinana ana akili kukataa kwenda kuhojiwa na akina Polepole ambao hata ujio wao ndani ya CCM ni utata mtupu,halafu ndo wanajifanya kuwa na haki ya kuwahoji wenye CCM yao.
 
Kugoma kwa Kinana na Makamba, na Kingunge Ngombale, ..... Ni ujumbe mzito kwa Ccm ya sasa ...wote hawa wamemkataa Mwenyekiti wa sasa au kwa Kiburi chao kwake au dharau zao kwake.
Wanaipenda Ccm yao lakini hawakubaliani na waliopo madarakani.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka sasa Paskal Mayala ndiye mtanzania pekee ama binadamu pekee aliyeweza kumuuliza rais magufuli maswali magumu huku akimwangalia uson, wengine akina msigwa waliishia kumsalimia na kumsifia huku wakijichekesha[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena vema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Watz kama wewe. Hivi zamani na Sasa wapi CCM iko afadhali. Upinzani wa aina yako ndo unafanya watu makini tuwaone watu kama nyinyi. Tabulalasa. Kinana unamjua vizuri kweli wewe.
 
Samahani, lakini naamini hii ID inatumiwa na watu wengi.

Niseme tu kwamba,haya majibu yaliyowekwa hapa 'nahisi' sio mawazo ya huyo anayejulikana kwa jina hili. Lakini hizi ni 'hisia'; huenda kabadili mtindo na fikra.

Kwa mfano: Mwenye ID hawezi kamwe akaandika "Kila zana na kitabu chake baba."

Kujibu hoja: CCM zote ulizotaja hapo, ni CCM moja tu ndio imebadilishwa na kuwa "mali ya mtu mmoja"; kiasi kwamba hakuna tena mawazo mbadala ndani ya chama.
Kwa hiyo hii CCM ya Magufuli imejipambanua kabisa na hizo CCM nyingine zote ulizoziorodhesha hapo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…