Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Mayalla maana yake njaa haaa,ila siku zile huyu njaa alimlima bwana yule maswali magumu hadi nikajisemea JF ina vichwa kweli kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu akichukuliwa hatua bila kusikilizwa atasema sikupewa nafasi ya kusikilizwa.
Kaitwa asikilizwe anaona anaonewa kuitwa kusikilizwa Kama mtu anamalalamiko Lazima aitwe asikilizwe. Ili aeleze malalamiko yake.
Anataka aitwe Musiba kwenye chama ndio nayeye aitwe? Naona kama hoja hainamashiko kabisa ya kuitwa Musiba huenda Musiba anakesi mahakamani na chama hakiingilii hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini kumbuka Mwenyekiti wa chama chao ndiye amebariki haya.Sijawahi kuona mwanajeshi anaekubali kuburuzwa na asiye mwanajeshi aliyemzidi cheo.
Nionavyo, namna pekee ya kuwahoji hao wazee ni kuwaomba miadi (appointment) na kuwafata majumbani kwao, kwa heshima zote wanazostahiki kwa umri wao na nyadhifa zao walizostaafu, na kufanya nao mahojiano ya kistaarabu.
Huwezi kuwaweka kitimoto hao wakakubali. Hawana cha kupoteza.
Mkuu kama ni kweli ngoja wafu wazikaneHabari Mpya, Mambo yame zidi kuwaka moto CCM, Bashiru , Polepole na wanahusika na hili sakata la barua za kina makamba na Kinana, limechukua sura mpya
Mk, awafokea Bashiru na Pole Pole , ataka kujua aliyevujisha habari, huku akijua kina Kinana waliombwa wasiseme kitu na wakajibu, isitokee kwenu.
Inavyosemekana anayeshukiwa sana ni PolePole kwani yeye alibanwa vizuri sana na Kinana, na hapendi kabisa.
Bashiru amefokewa vibaya sana hadi ameamua kuondoka officine na kwenda nyumbani, pressure imempanda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinana ni muislam ila Makamba dini yake ni changanyikeni kama makande
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa Ma- Komredi, lazima waumie. Ilikuwa badala ya kusikilizwa malalamiko yao, wao ndio wakaonekana ndio wakosaji, na kutakiwa kufikishwa KIZIMBANI huko Dodoma.
Angeitwa kuhojiwa / kuongea na Amiri Jeshi Mkuu angeheshimu na angefata nidhamu na asingechelewa hata nusu dakika.Lakini kumbuka Mwenyekiti wa chama chao ndiye amebariki haya.
Zingatia pia mwenyekiti wa chama ndiye Amir jeshi mkuu. Sidhani kama hapo kuna anayemzidi cheo kwa namna yeyote ile.
Lakini uungwana,hekima na busara ni jambo jema kadiri ulivyopendekeza.
Sent using Jamii Forums mobile app
mmeanza kulana,tafunaneni vizuri mpaka muisheAmeogopa kwani anajua kosa lake. Huu ndiyo ulikuwa wakati mzuri wa yeye kwenda kuelezea upande wake wa shilingi. Kuitwa na kamati siyo kudharauliwa bali ni kusikilizwa!
Amejenga heshima kubwa sana bunge la EA.Angeitwa kuhojiwa / kuongea na Amiri Jeshi Mkuu angeheshimu na angefata nidhamu na asingechelewa hata nusu dakika.
Kumbuka huyo ni mwanajeshi mstaafu mwenye cheo na ameshawahi kuwa Waziri wa Ulinzi na sasa ni mstaafu. Anafahamu maana ya nidhamu ni nini.
Si wewe au mwengine yeyote wa kumfundisha hayo. Amekitumikia chama zaidi ya trobo tatu ya maisha yake.
Kwa kukujuza tu, Kinana ni super bright, super intelligent.
Mwanajeshi hastaafu anapumzika tu.
UtumbooHuwezi kujua tuache speculation, Hapana chezea chama chenye asili ya kikominist,ni balaa tupu,hakuna mtu mkubwa kuliko chama chao.
Maamuzi ya Politburo hayatabiriki.
Umenena vema.Sijawahi kuona mwanajeshi anaekubali kuburuzwa na asiye mwanajeshi aliyemzidi cheo.
Nionavyo, namna pekee ya kuwahoji hao wazee ni kuwaomba miadi (appointment) na kuwafata majumbani kwao, kwa heshima zote wanazostahiki kwa umri wao na nyadhifa zao walizostaafu, na kufanya nao mahojiano ya kistaarabu.
Huwezi kuwaweka kitimoto hao wakakubali. Hawana cha kupoteza.
Komredi Kinana kaona utoto kwenda, hata wakimpa adhabu ya kumfuta uanachama bado ni alama tosha ya CCM hata asipokuwa na kadi! Sio watu Kama Bashite,Kitila, Waitara, Bashiru, Pole pole ambao hata hadhi ya ushabiki wa chama hawana hata wakiwa na kadi!
Kwa Membe it's ok kwenda bado ana future ndani ya Chama. Nahisi soon Komredi Mangula ataomba kujiuzulu kupisha siasa za 'kihuni' ndani ya Chama.
Grey matter zero
Samahani, lakini naamini hii ID inatumiwa na watu wengi.Kila zana na kitabu chake baba.
CCM ya Nyerere haikuwa sawa na CCM ya Mwinyi, na haikuwa sawa na CCM ya Mkapa, na vile vile haikuwa sawa na CCM ya Kikwete na haitakuwa sawa na CCM ya Magufuli, na haitakuwa sawa na CCM ya atakayemfuata Magufuli.
It is a simple fact! Tuliambiwa kuwa ya Kaizari mpe Kaizari; usitafute mwingine wa kumpa.
Wazee hawa sijawasikia wakilalamika kuwa serikali haitekelezi Ilani ya CCM, wanacholalamikia kuwa wamesahahuliwa na serikali !!. Hata wakiondoka CCM sidhani kama wana political impact yoyote tena. Ni afadhali wangenyamaza tu; kuna methali inasema ukila na kipofu usimguse mkono, wao walianza kuvuta kabisa mkono wa kipofu huyo wakaiona