Kinana asome alama za Nyakati, wana CCM hawamwelewi

Kinana ni mwana CCM kiongozi wa genge chafu ndani ya CCM.
Kinana ni mwizi na mbadhirifu kama wengine tuiowafahamu mfano wa Makamba Jr.
Vema Kinana akajitambua na kufunga Domo lake kabla hayajamkuta ya kumkuta.

Hii sio awamu ya ujinga!
Muongo..
Kinana kaiba nini zaidi ya uongo wa kigogo.
Weka ushahidi hapa..
 
Kinana anajua siasa, ana hekima nyingi, Rais ana mamlaka makubwa sana kwa mujibu wa katiba lakini Samia ni mfano wa kuigwa ni mnyenyekevu anatii sheria, kanuni na taratibu, hajawahi kumshambulia mtendaji yoyte hadharani anajali utu wa binadamu tofauti na yule marehemu ni km kichaa aliyepewa rungu akifikiri ukiwa na rungu ni kupiga tu. KINANA YUKO SAHIHI. yule mwenezi ajifunze uongozi, naona wamemkanya simwoni tena akiendelea na ule upuuzi alioanza nao.
 
Chama chenu kimezeeka hata aje malaika kuwaongoza bado mtafarakana tu
Chama chako ni kipi kwanza, au ndio kichanga kimezaliwa jana? We ni wale CHADOMO waliopangisha nyumba duni hata mwalimu hawezi kupangisha? Wanajiita chama cha maendeleo bila maendeleo yoyote, chama mwenyekiti wa kanda ni mvuta bangi. Mna sonona nyie.
 
we ni zumbukuku lisilojitambua
 
Kinana akiwa katibu aliwaita mawaziri kuwa mizigo.

Mda wake huyu akalee wajukuu. tunahitaji mchaka mchaka.
bora yeye alikuwa katibu mkuu wa chama, hata hivyo hakumdhalilisha mtu yeyote hadharani. Makonda hajitambui kuwa ye ni nyau tu, antamani sana kuwa na madaraka makubwa ila ajue Mungu hawezi kumpa hayo matamanio yake maana hafai.
 
Sema wewe ndiye humuelewi, wengine tunamuelewa sana comred Kinana. Hao wengine ulikuwa moto wa mabua sasa hivi limebaki jivu na soon litachanganyika na mchanga.
 
Hii chama hii inakufa kifo kibaya sana na wakukiokoa hayupo, twende na CHADEMA sasa, MH Jakaya karibu Chadema
 
bora yeye alikuwa katibu mkuu wa chama, hata hivyo hakumdhalilisha mtu yeyote hadharani. Makonda hajitambui kuwa ye ni nyau tu, antamani sana kuwa na madaraka makubwa ila ajue Mungu hawezi kumpa hayo matamanio yake maana hafai.
ulikuwa na umri gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…