Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Ndivyo ambavyo CCM hupiga bao kirahisi bila wapinzani kujua, Kwani kabla hata chopa kuanza kuruka CCM Ilikuwa na vikao vyake vya mabaraza ya kata na nililishuhudia kule visiwani, Mabaraza ya Kata ya CCM yameanza kabla ya mabaraza ya Tume ndiyo maana wengi walioyasikia walidhani ni yaliyoundwa na Tume
mkuu, yaani hapo ndipo ccm inadhihirisha kuwa ni chama makini na kongwe. pia kina mfumo na viongozi thabiti toka mabalozi wa nyumba kumi hadi mwenyekiti Taifa. ccm wanajua sheria inasemaje na ndo maana walijipanga mapema
Unashindwa hata kuongopa?
Yani mabaraza ya CCM ya Kujadili Rasimu ya Katiba yamechukuliwa kabla hata Tume haijachukua Maoni ya Kuandika Rasimu yenyewe?
Au MACCM walikuwa nayo hii Rasimu kabla hata ya Mchakato wa Tume kuanza.
Au nikuulize swali unajua Tofauti ya Maoni ya Kutunga Rasimu ya Katiba Na Maoni ya Kujadili Rasimu ya Katiba ?
hizo kejeli zenu zinadhihirisha namna gani mlivyo watupu kwenye jambo hili. by the way, kama nyie si members wa ccm, iweje mjue kuwa haijakusanya maoni ya taasisi?
Mkuu nadhani mambo ya ndani ya CCM katibu mkuu wake ndiye anaweza kueleza vizuri zaidi kuliko mtu mwingine. Lakini ikumbukwe kuwa mabaraza ya katiba ya wanaccm ni sehemu tu ya mchakato mzima wa maoni kuhusu katiba. Ni vizuri tukikumbuka kuwa CCM ina wanachama, kwa hiyo akiangalia idadi ya wanachama wake na turn out, inawezekana kabisa kuwa Kinana yuko sahihi.
[video=youtube_share;G6_PyJm4IIE]http://youtu.be/G6_PyJm4IIE[/video]
Kuna watu kazi yao ni kupinga tu.
Hata hawajui vikao vya CCM ni vipi lakini wanapinga. Wanadhani CCM inafanya show off politics za kuruka angani na kuvaa migwanda.
Kama hamjui, CCM ina watu kila kijiji, mtaa kila sehemu nchini. CCM haihitaji kumpa posho Katibu Mkuu wake azunguke nchi nzima ili kujua wanachama wake wana maoni gani. Vikao vya CCM vya matawi vinatosha. CCM has that infrastructure, vyama vya magumashi havina infrastructure ndio maana watu kumi wanahangaika kuzunguka nchi nzima.
Acha kututania mkuu.
Huko mitaani na vijijini wanaishi wanaccm pekeyao? Si wote tunaishi changanyikeni na kushare information.....
Kuna watu kazi yao ni kupinga tu.
Hata hawajui vikao vya CCM ni vipi lakini wanapinga. Wanadhani CCM inafanya show off politics za kuruka angani na kuvaa migwanda.
Kama hamjui, CCM ina watu kila kijiji, mtaa kila sehemu nchini. CCM haihitaji kumpa posho Katibu Mkuu wake azunguke nchi nzima ili kujua wanachama wake wana maoni gani. Vikao vya CCM vya matawi vinatosha. CCM has that infrastructure, vyama vya magumashi havina infrastructure ndio maana watu kumi wanahangaika kuzunguka nchi nzima.
Kwani unataka kubisha Kinana sio Jangili?hizo kejeli zenu zinadhihirisha namna gani mlivyo watupu kwenye jambo hili. by the way, kama nyie si members wa ccm, iweje mjue kuwa haijakusanya maoni ya taasisi?
Siyo kazi yetu kuhudhuria vikao vya weziUmeshawahi kuhudhuria kikao cha CCM?
Umeshawahi kujua kuwa CCM wanafanya kikao cha tawi?
Umeshawahi kuhudhuria kikao cha CCM?
Umeshawahi kujua kuwa CCM wanafanya kikao cha tawi?
Umeshawahi kuhudhuria kikao cha CCM?
Umeshawahi kujua kuwa CCM wanafanya kikao cha tawi?
Labda waseme waliitana wachache hapo Lumumba.Hapa mtaani kwangu balozi wa ccm hajawahi kunitaarifu uwepo wa kikao hicho, isitoshe balozi wa ccm wa mtaa wa pili
nilikuwa naye jana kama saa nne usiku anashangaa tu hajuwi habari za kinana na takwimu zake. Nadhani ni Mtaani kwenu
tu ndo mlifanya mabalaza ya katiba ya kiccm, sisi kwetu hatujayaona wala kuyasikia.
Hapa mtaani kwangu balozi wa ccm hajawahi kunitaarifu uwepo wa kikao hicho, isitoshe balozi wa ccm wa mtaa wa pili
nilikuwa naye jana kama saa nne usiku anashangaa tu hajuwi habari za kinana na takwimu zake. Nadhani ni Mtaani kwenu
tu ndo mlifanya mabalaza ya katiba ya kiccm, sisi kwetu hatujayaona wala kuyasikia.
Acha Porojo we kilaza,mkutano wa ccm nani anahudhuria kwa hiyari yake mwenyewe? Msipowaaoomba watu kwa magari,kutangaza posho kwanza na kuweka wasanii wenu wauza unga wale ndio mpate watu
Hivyo vikao mnaviitisha usiku au muda gani ambao watu hawaoni? Kuweni na aibu kudanganyana kwa kujifariji halafu mnapiga makofi,yaani hakuna tofauti na majuha yooote poleni sana
Labda waseme waliitana wachache hapo Lumumba.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums