Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikusanyia wapi hayo maoni hata mabaraza yao hatujayaona, waache uhuni wanawaogopa hadi wanachama wao wenyewe..
kwani kura za chaguzi mbalimbali wanazipata wapi?hao ndio magamba bwana,wanachakachua kila kinachopita mbele yao.haya majitu ni matapeli aisee,hayo maoni yamekusanywa wapi? mbona sikuwahi kuona mkutano wa ccm wa kukusanya maoni hayo?
uthibitisho mwingine kuwa ukiuzoea uongo mwishowe unajidanganya na ndilo tunaloliona sasa kwa ccm ya jk!nahisi kinana atakuwa amekusanya maoni ya wanaccm akiwa ndotoni
Ukoo wa panya....wote wezi tu mpaka kinana na magufuli.........wewe ndio hauko tz, umemaliza la saba kweli, kila taasisi iliunda mabaraza yake tofauti kabisa na yale ya tume, mfano kuna baraza la waandishi wa habari km taasisi, wanamziki na wacheza filamu etc