Kinana kuongea na mamlaka bodaboda wabebe abiria zaidi ya 1 (mshikaki)


Usingeweka video nisingeamini huu ujinga
 
mzee vipi huyu, ina maana yeye kwenye gari yake anabeba watu mpaka juu ya bodi. Hasitumie bodaboda vibaya. Yaani kinana amefikia hapo!!!!
 
Hatari sana
 
Uchaguzi unakaribia sasa tunatafuta wapiga kura kwa hali na mali
 
Hawa watu wamefika mwisho kifikra! Mtu kama kinana katumika katika phase nne tofauti za uongozi wa nchi kutoka ujamaa hadi ubepari uliokomaa atakua na mawazo gani mapya kwa dunia ya leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…