Kinana kuongea na mamlaka bodaboda wabebe abiria zaidi ya 1 (mshikaki)

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana amesema CCM inakwenda kuzungumza na Serikali kuangalia sheria ya kuzuia usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda kuruhusia kubeba abiria zaidi ya mmoja (mshikaki)

Kinana amesema hayo wakati akipokelewa na Viongozi, Wanachama wa CCM na Wananchi wa Bariadi mkoa wa Simiyu, ikiwa ni mendelezo wa ziara yake ya kuangalia uhai wa chama, utekelezaji wa llani ya CCM na kuongea na Wananchi katika maeneo mbalimbali.
Ule mfupa wa traffic police aliuacha wapi na alimwachia nani?
 
Nimeshangaa kuona na kusikia Kinana akiwaambia bodaboda kuwa ataiambia mamlaka ya usimamizi usalama barabarani waondie zuio la mishkaki yaani kubeba hadi abiria 3.

Sababu kuu anasema hii itaongeza kipato kwa waendesha boda boda.

Kibaya zaidi akasema kuwa...kuna shida gani kama abiria wenyewe wametaka kubebwa hadi watatu.

Huu sio uongozi kwani wote tunafahamu jinsi boda boda zinapoteza maisha ya watu wengi.

Kiongozi asiyejali maisha ya raia huyo ni muuaji

========

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana amesema CCM inakwenda kuzungumza na Serikali kuangalia sheria ya kuzuia usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda kuruhusia kubeba abiria zaidi ya mmoja (mshikaki)

Kinana amesema hayo wakati akipokelewa na Viongozi, Wanachama wa CCM na Wananchi wa Bariadi mkoa wa Simiyu, ikiwa ni mendelezo wa ziara yake ya kuangalia uhai wa chama, utekelezaji wa llani ya CCM na kuongea na Wananchi katika maeneo mbalimbali.

Una mtazamo gani juu ya kauli hii?.
Mimi mwenyewe dereva bodaboda sikubaliani na huo ujinga
 
Wanasiasa wanafanya kazi za wasomi na wasomi wamekubali kufanya kazi za kisiasa Kwa maslahi ya watu wachache hapo ndio tatizo letu limeanzia
 
Awaambie na manufacturers waweke shock up za uzito mkubwa, bush za mkasi mkubwa na material ya frame.
 
Back
Top Bottom