Kinana kuongea na mamlaka bodaboda wabebe abiria zaidi ya 1 (mshikaki)

FB_IMG_1687975860493.jpg
 
Nimeshangaa kuona na kusikia Kinana akiwaambia bodaboda kuwa ataiambia mamlaka ya usimamizi usalama barabarani waondie zuio la mishkaki yaani kubeba hadi abiria 3.

Una mtazamo gani juu ya kauli hii?.
Lema alitoa point muhimu san lkn alishia kushambuliwa na uvccm. Vijana wa bodaboda kaz kwenu... CCM mbele kwa mbeleee 🎶🎶🎶
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaishauri Serikali iwasikilize Wananchi inapotaka kutengeneza sheria mbalimbali zinazogusa maisha yao ili kupunguza migogoro na kero mbalimbali.

Akizungumza leo Julai 27, 2023 baada ya kupokelewa Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu, Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amesema upo umuhimu wa kuangaliwa upya kwa sheria zinazowaumiza Wananchi kama Ile ya usafiri wa bodaboda ambayo kwa sasa inakataza kubeba abiria zaidi ya mmoja.

“CCM inakwenda kuzungumza na Serikali kuiangalia sheria ya usafiri wa pikipiki (bodaboda) ili iruhusu kubeba abiria zaidi ya mmoja” ——— Kinana.

My Take
Wakati wenzenu wanabeba bandari nyinyi mtabeba abiria watatu
 
Nimeshangaa kuona na kusikia Kinana akiwaambia bodaboda kuwa ataiambia mamlaka ya usimamizi usalama barabarani waondie zuio la mishkaki yaani kubeba hadi abiria 3.

Sababu kuu anasema hii itaongeza kipato kwa waendesha boda boda.

Kibaya zaidi akasema kuwa...kuna shida gani kama abiria wenyewe wametaka kubebwa hadi watatu.

Huu sio uongozi kwani wote tunafahamu jinsi boda boda zinapoteza maisha ya watu wengi.

Kiongozi asiyejali maisha ya raia huyo ni muuaji

========

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana amesema CCM inakwenda kuzungumza na Serikali kuangalia sheria ya kuzuia usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda kuruhusia kubeba abiria zaidi ya mmoja (mshikaki)

Kinana amesema hayo wakati akipokelewa na Viongozi, Wanachama wa CCM na Wananchi wa Bariadi mkoa wa Simiyu, ikiwa ni mendelezo wa ziara yake ya kuangalia uhai wa chama, utekelezaji wa llani ya CCM na kuongea na Wananchi katika maeneo mbalimbali.

Una mtazamo gani juu ya kauli hii?.
Cjaona shida ya kinana mm Kama ombi Hilo limeletwa na waendesha boda boda sioni tatizo kbsa

Huku niliko hata wanne fresh tu
 
Nimeshangaa kuona na kusikia Kinana akiwaambia bodaboda kuwa ataiambia mamlaka ya usimamizi usalama barabarani waondie zuio la mishkaki yaani kubeba hadi abiria 3.

Sababu kuu anasema hii itaongeza kipato kwa waendesha boda boda.

Kibaya zaidi akasema kuwa...kuna shida gani kama abiria wenyewe wametaka kubebwa hadi watatu.

Huu sio uongozi kwani wote tunafahamu jinsi boda boda zinapoteza maisha ya watu wengi.

Kiongozi asiyejali maisha ya raia huyo ni muuaji

========

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana amesema CCM inakwenda kuzungumza na Serikali kuangalia sheria ya kuzuia usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda kuruhusia kubeba abiria zaidi ya mmoja (mshikaki)

Kinana amesema hayo wakati akipokelewa na Viongozi, Wanachama wa CCM na Wananchi wa Bariadi mkoa wa Simiyu, ikiwa ni mendelezo wa ziara yake ya kuangalia uhai wa chama, utekelezaji wa llani ya CCM na kuongea na Wananchi katika maeneo mbalimbali.

Una mtazamo gani juu ya kauli hii?.
Huyu Kinana allegeance yake iko Somalia na sio Tanzania!!
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaishauri Serikali iwasikilize Wananchi inapotaka kutengeneza sheria mbalimbali zinazogusa maisha yao ili kupunguza migogoro na kero mbalimbali.

Akizungumza leo Julai 27, 2023 baada ya kupokelewa Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu, Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amesema upo umuhimu wa kuangaliwa upya kwa sheria zinazowaumiza Wananchi kama Ile ya usafiri wa bodaboda ambayo kwa sasa inakataza kubeba abiria zaidi ya mmoja.

“CCM inakwenda kuzungumza na Serikali kuiangalia sheria ya usafiri wa pikipiki (bodaboda) ili iruhusu kubeba abiria zaidi ya mmoja” ——— Kinana.

My Take
Wakati wenzenu wanabeba bandari nyinyi mtabeba abiria watatu
Kuna sababu za msingi zinazoangaliwa katika kutunga sheria, hasa zinazohusu usalama.
Boda boda haikutengenezwa kwa kubeba abiria zaidi ya mmoja.
Kuhatarisha maisha ya watu kwa sababu ya siasa ni changamoto.
 
HILI SUALA LA BODABODA KUPAKIA MISHIKAKI LINACHANGIA KUENEA KWA USHOGA.
UNAKUTA WANAUME WAZIMA WANAPUMULIANA KISOGONI KWENYE BODABODA
 
KWA MTAZAMO HUO, WAENDESHA BODABODA HATA WAKIFA HAWANA MSAADA KTK JAMII,
NI UKWELI... NDIYO MAANA SIKUHIZ HAWAULIZWI LESENI HELMET MISHIKAKI, NA WAKIPATA AJALI WAKIENDA HOSPITAL NOBODY CARES, WATAKATWA VIUNGO WATASHONWA KAMA GUNIA
 
Mbona mshkaki upo to stay,? Hivi utapishana na boda tatu bila kuona mshkaki? Tusitumie mihemko. Mbina hamsemi misongamano kwenye mwendokasi na daladala?
 
Nimeshangaa kuona na kusikia Kinana akiwaambia bodaboda kuwa ataiambia mamlaka ya usimamizi usalama barabarani waondie zuio la mishkaki yaani kubeba hadi abiria 3.

Sababu kuu anasema hii itaongeza kipato kwa waendesha boda boda.

Kibaya zaidi akasema kuwa...kuna shida gani kama abiria wenyewe wametaka kubebwa hadi watatu.

Huu sio uongozi kwani wote tunafahamu jinsi boda boda zinapoteza maisha ya watu wengi.

Kiongozi asiyejali maisha ya raia huyo ni muuaji

========

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana amesema CCM inakwenda kuzungumza na Serikali kuangalia sheria ya kuzuia usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda kuruhusia kubeba abiria zaidi ya mmoja (mshikaki)

Kinana amesema hayo wakati akipokelewa na Viongozi, Wanachama wa CCM na Wananchi wa Bariadi mkoa wa Simiyu, ikiwa ni mendelezo wa ziara yake ya kuangalia uhai wa chama, utekelezaji wa llani ya CCM na kuongea na Wananchi katika maeneo mbalimbali.

Una mtazamo gani juu ya kauli hii?.
Huyu akili zinayeyuka
 
Nakaribia kufika tamati ya uchunguzi wangu! Kwamba watu wenye vichwa visivyo na kisogo, yaani flat akili zao ni ndogo sana"
 
Mwenyekiti wa chama anaingia mikataba ya kilaghai kama Sultan Mangungo

Makamu wake anatoa Kauli za Kilaghai kama Carl Peters.

Hawa watu ni nuksi kwa Taifa
 
Nilishasema na nitasema tena kwamba kiongozi mwenye umri uliokwenda ataongoza watu wake kwenda huko huko anakokwenda yeye, yaani kaburini.
Dah, hii kali, ingawa inaweza kuwa na ukweli ndani yake
 
Back
Top Bottom