Hafai kabisa!
afaiHuu ni ujuha kwenye siasa kaka yangu Kinana.
Kila siku askari wa usalama barabarani wanapambana kukomesha upakiaji wa mishikaki kwenye bodaboda.
Wewe kwa kutaka kupata wapiga kura unaamua kuwaruhusu hao bodaboda wabebe mishikaki?
Yaani unathamini kura kuliko uhai wa watanzania?
Kinana hapa umekengeuka.
Watanzania tuamke hawa ccm wamekusudia kutumaliza makusudi.
View attachment 2701108