Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
CHADEMA kimekuwa ni chama NDOIGE. Ukikipenda ndiyo umekipenda na ukikichukia ndiyo umekipenda pia!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifa kuu ya HORSE ni uwezo wake wa kunusa harufu ya ......inayotokea mbali.Ndio màana mazoezi kila kona!!
Kumbe wanajua!!
Ni lini chadema walifungua kesi mahakamani?Kinana atakuwa anawafundisha siasa...waachane na harakati za mahakamani..wajue siasa..
Wajue Ku compromise madogo ili wapate makubwa...
Siasa sio kushinda Kesi mahakamani
Ni lini chadema walifungua kesi mahakamani?
Wao ndio huwa wanashtakiwa lkn wanashinda
Waliopeleka hil shauri mahakamani i akina Mdee.Hii ya wabunge 19 wameshtakiwa?
Ndio wameshtakiwaHii ya wabunge 19 wameshtakiwa?
Kumbuka waliofungua kesi ni wanachama wenu 19 mliowapa ubunge kihuniKinana atakuwa anawafundisha siasa...waachane na harakati za mahakamani..wajue siasa..
Wajue Ku compromise madogo ili wapate makubwa...
Siasa sio kushinda Kesi mahakamani
Ni kama unasema "Chui anawafundisha Swala jinsi ya kukimbia wasikamatwe na simba" INAWEZEKANA??Kinana atakuwa anawafundisha siasa...
Lini maisha yaliwahi kuwa mepesiHivyo vikao vyao havina manufaa kwa maisha ya mtanzania wa kawaida.
Ugumu wa maisha uko pale pale.
Hoja ya hovyo kabisa kwenda mahakamani ni njia mojawapo ya kudai hakiKinana atakuwa anawafundisha siasa...waachane na harakati za mahakamani..wajue siasa..
Wajue Ku compromise madogo ili wapate makubwa...
Siasa sio kushinda Kesi mahakamani
Hela gani za Bure walizonyimwa na Magufuli ambazo Samia kawapa??MAGUFULI ALIWANYIMA MAZINGIRA YA KUFANYA SIASA NA KULA PESA ZA BURE... SAMIA KAWAPA..
Sifa kuu ya HORSE ni uwezo wake wa kunusa harufu ya ......inayotokea mbali.
Pana unabii wa kidunia juu ya mwaka mpya wa kiyahudi unaoquote Oct Hadi march 2023.
Mwaka ujao patakuwa na ......halisi ktk mataifa mbalimbali na Si TETESI tu kama ilivo sasa.
Mmoja wa waonaji ameona kundi la watu wakikimbia naye akiwemo amebeba mtoto mgongoni na wanashambuliwa Kutoka JUU na maadui Kutoka nje.
Tuendelee kuomba Kila mmoja Kwa nafasi yake Ili Mungu atuepushe nafsi zetu tusiangamie, maana kuzuia ni ngumu sababu hayo yameruhusiwa yaje duniani baada ya muhuri wa nne kufunguliwa sawasawa na kitabu Cha UFUNUO.
Mwizi azidi kuiba, Mwovu aongeze UOVU, bt Mtakatifu azidi kujitakasa.
Ameeeen.
Nawewe unaona ugumu wa maisha duu ama kweli hujafa hujaumbikaHivyo vikao vyao havina manufaa kwa maisha ya mtanzania wa kawaida.
Ugumu wa maisha uko pale pale.
Je ni kwasababu hatukuchagua upande!!?Sifa kuu ya HORSE ni uwezo wake wa kunusa harufu ya ......inayotokea mbali.
Pana unabii wa kidunia juu ya mwaka mpya wa kiyahudi unaoquote Oct Hadi march 2023.
Mwaka ujao patakuwa na ......halisi ktk mataifa mbalimbali na Si TETESI tu kama ilivo sasa.
Mmoja wa waonaji ameona kundi la watu wakikimbia naye akiwemo amebeba mtoto mgongoni na wanashambuliwa Kutoka JUU na maadui Kutoka nje.
Tuendelee kuomba Kila mmoja Kwa nafasi yake Ili Mungu atuepushe nafsi zetu tusiangamie, maana kuzuia ni ngumu sababu hayo yameruhusiwa yaje duniani baada ya muhuri wa nne kufunguliwa sawasawa na kitabu Cha UFUNUO.
Mwizi azidi kuiba, Mwovu aongeze UOVU, bt Mtakatifu azidi kujitakasa.
Ameeeen.
Ulitaka wafanyaje?? Njia aliyokuwa anatumia mwendazake haijaleta matunda yoyote yale. Umesahau enzi zile walivyotaka kumteka Msigwa akitokea Gereza la Segerea??Eti leo ccm imekua ya kuibembeleza chadema.
Tutaona mengi awamu hii
Zito ndo anapewa na s100 baada ya Magu kumpotezea.KWAO NI KUBORESHA MAZINGIRA YA SIASA.. SIO MAISHA YA MTANZANIA...
LILE SWALI MLIKUWA MNAULIZA WALE AKINA ZITO NA MBOWE MBONA KIMYA... HILI NDILO JIBU...
MAGUFULI ALIWANYIMA MAZINGIRA YA KUFANYA SIASA NA KULA PESA ZA BURE... SAMIA KAWAPA..