KINANA: Rais Samia anaongea polepole ila matendo yake ni mazito

KINANA,Rais Samia anaongea polepole haisaidii Hali ya maisha imekuwa ngumu Ndio sababu kila unakokwenda unapokelewa na mabango. Samia hauziki Mkuu.​

 
Ulitaka niweke nini kubwa jinga? Au huelewi hata neno kuwa paralysed?

Unadhani Afya ya Rais inakaguliwa na wajinga wajinga kama wewe? Kamfufueni Mwendazake aje awaongezee..

Ila Samia Ameongeza 23%,amepunguza Paye kwa 1%,amelipa malimbikizo,amelipa wastaafu,amelipa walikofukuzwa Kazi Kwa visingizio vya vyeti feki,amewarudisha std seven kazini walifukuzwa na Mwendazake,amefuta Value Retention Fee na mwisho amepandisha madaraja watumishi..

Yote hayo kafanya kwa mwaka mmja,nani unadhani kawasaidia watumishi?
 
23% Samia aliyoongeza bora Angelica SGR kipande cha Tabora kwenda kigoma value for money ingeonekana.
Kwa kifupi Maza ni kama karani ofisini anayeelekezwa cha kufanya Ili ikifika Jioni anaambiwa funga Ofisi.
 
Magufuli has nothing to do na kubeza kundi la watumishi. Wape heshima yao na sio kusema hawana umuhimu. Ishu yangu mi na wewe ni kuona watumishi ni kikundi kischo na umuhimu futa huo ujinga kichwani. Na ninaona magufuli kakukaa kichwani kama ulimpenda sana mpitie mama jane ukapige deki kwenye kaburi lake.
 
Nani anabeza? Mwendazake ndio aliwabeza kwa sababu aliwaambia live kama hawataki waache Kazi.Serikali hiwezi acha kujenga sgr Ili kuwaongezea salary..

Wewe ndio unaebeza jitihadi za Serikali ya awamu ya 6 licha ya kufanya yote hayo nilivyokueleza hapo juu.
 
Hakuna kitu chochote cha maana alichokifanya zaidi ya tozo, nyongeza fake ya mishahara na kusafiri.

Utawala huu ndio tunashuhudia ugumu wa maisha ambao haujawahi kushuhudiwa. Gharama ya maisha kupanda kwenye kila kitu.


Hii nchi haijapata rais bado.
Unapiga haya makelele ya maumivu ukiwa Dar tena mbele ya computer yako!, tembea huko mikoani uone mabadiliko ya maana yanayofanyika nchi nzima.
 
23% Samia aliyoongeza bora Angelica SGR kipande cha Tabora kwenda kigoma value for money ingeonekana.
Kwa kifupi Maza ni kama karani ofisini anayeelekezwa cha kufanya Ili ikifika Jioni anaambiwa funga Ofisi.
Kuongeza mshahara sio swala la kusaidia watumishi tuu bali pia kuchepua uchumi..

Wewe as individual utaona haina maana ila hiyo pesa kwa ujumla wake ni zaidi ya Til.2.5 zitaingia kwenye uchumi hivyo ku stimulate consumption na investments..

Uchumi sio sgr tuu.
 
Bila shaka unasumbuliwa na tatizo la loss of memory
 
Unapiga haya makelele ya maumivu ukiwa Dar tena mbele ya computer yako!, tembea huko mikoani uone mabadiliko ya maana yanayofanyika nchi nzima.
Wewe punguani hayo mabadiliko gani ambayo unashindwa kuyataja hadi nitembee niyaone?

Acha kujifanya mke wangu kujua napatikana wapi, wewe mke wangu tu ndio anajua ratiba zangu na location yangu, kama unataka nikuoe wewe sema
 
Yataje hayo mabadiliko? Hata changu doa wamepanda bei. Hata dagaa hawanunuliki.
Unawaza maendeleo ya kweli kwa kuongelea bei za changu doa!, utakuwa kijana mdogo fulani hivi.

Nenda zilipo bandari zetu utazame yanayofanyika huko, pitia viwanja vya ndege vyote utazame yaliyofanyika huko.

Nenda Dodoma kuna mapinduzi ya usimamiaji wa kilimo yanayofanyika mahali pale.
 
Ukimuona mtu mwenye akili timamu anaitetea serikali ya awamu ya sita ujue anakula na kulala bure .
 
Mnamtetea sana Hata mume wake anawashangaa kwa sababu anamfahamu uwezo wake .
 
Ila wanasiasa Huwa hawaoni ugumu wa maisha ya watu hatu tuandamane?

Walamba Asali wakubwa ninyi.
Yakiwagonga wao ndio utasikia hadi clip wakifoka. Magu aliwakanyagia wakaanza hadi kumsema kwenye simu. Ukiona watu wenye skendo nzito kwenye nchi kama kina Kinana wanakusifia ujue nchi imegeuka shamba la bibi. Na rais aliyepo hatoshi.
 
Wewe punguani hayo mabadiliko gani ambayo unashindwa kuyataja hadi nitembee niyaone?

Acha kujifanya mke wangu kujua napatikana wapi, wewe mke wangu tu ndio anajua ratiba zangu na location yangu, kama unataka nikuoe wewe sema
Povu jiiingi unachokiongea hakieleweki. Tembea TZ nzima uone yanayofanyika usiishie kuandika ukiwa mbele ya computer yako.

Katazame ujenzi wa bandari zote mwambao, katazame ujenzi wa viwanja vya ndege kila sehemu, tazama kilimo kinavyofanyiwa mapinduzi nchi nzima.
 
Mnamtetea sana Hata mume wake anawashangaa kwa sababu anamfahamu uwezo wake .
Tatizo lenu ni hili hili kila siku, mfumo dume umeota mizizi ndani kabisa ya damu hivyo hata akifanya maajabu kiasi gani mnamtazama kama mwanamke kwanza na sio kama mtanzania mwenye uwezo.

Hili ni tatizo la akili zaidi, na litapatiwa ufumbuzi kadri dawa inavyopatikana.
 
Utopolo. Miradi ya kuunga unga. Haina viwango. Yale yale ya kisima cha million 2 kinajengwa kwa mil 20.
 
Akitoka madarakani mtaanza kumtukana sana bora tuanze sasa. Ila anakotupeleka bora mwaka 2025 ufike mapema tufanye yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…