Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Wewe taahira ukiwa dar unadhani kila mtu yuko Dar, sio? Halafu, hayo mabadiliko ambayo yanafanyika tu mikoani na Dar hayafanyiki ni mabadiliko ya aina gani? Ama Dar sio Tanzania?Povu jiiingi unachokiongea hakieleweki. Tembea TZ nzima uone yanayofanyika usiishie kuandika ukiwa mbele ya computer yako.
Katazame ujenzi wa bandari zote mwambao, katazame ujenzi wa viwanja vya ndege kila sehemu, tazama kilimo kinavyofanyiwa mapinduzi nchi nzima.
Kwamba napinga kwa sababu niko Dar ila mikoani hawapingi kwa sababu maendeleo wanayaoana, kwa hiyo Dar haistahili maendeleo?
Mabadiliko gani hayo mbona huyasemi, maneno ya jumla jumla hayana maana. Nitajie alichokifanya zaidi ya tozo, kupanda kwa gharama ya maisha kwa kila kitu hata kisichohusiana na vita ya Ukraine, nini amefanya?
Nitajie barabara mpya aliyoanza kujenga yeye basi niijue.