KINANA: Rais Samia anaongea polepole ila matendo yake ni mazito

Ila CCM hujua kusifia aisee, yani kwao KILA aliyekomadarakani anafanya vizuri, akiondoka wanaanza kumnanga
 
Mimi nitamwaMimi akimtoa waziri wa fedha na waziri wa afya.
 
Hili nalo sijui wameliokota wapi,badala lilee wajukuu kama mwenzake Yusuf Makamba lenyewe liko kwa madaraka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…