Kinana: Tusipendeleane, tusibebane

Waraka wa TEC na akiangalia na yanayoendelea Afrika ya Magharibi akili zinamruka kabisa. Shida ipo kwao huyu mzee asijitoe akili. Nini maana ya Wabunge kuitwa kama kamati ya Wabunge wa CCM na kuwa na kauli moja ya kuisupport serikali. Aje na wazo Rais kutokuwa Mwenyekiti wa chama. Haya yote ni makelele tu.
 
Ni kama una kapooint hivi😀
 
Acha wararuane mpaka kufika 2025 mambo yawe yamekorogeka sawasawa ili wananchi tujikomboe kutoka kwenye mikono ya hawa CC M
 
Hii ni michezo ya kisiasa tu wapate pahala pa kuchomokea kama chama. Alikuwa wapi muda wote? Au bunge limeanza jana kupitisha kila kitu kinacholetwa na serikali? Uvivu wa mawaziri kauno leo?
 
Hii ni michezo ya kisiasa tu wapate pahala pa kuchomokea kama chama. Alikuwa wapi muda wote? Au bunge limeanza jana kupitisha kila kitu kinacholetwa na serikali? Uvivu wa mawaziri kauno leo?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ni michezo ya kisiasa tu wapate pahala pa kuchomokea kama chama. Alikuwa wapi muda wote? Au bunge limeanza jana kupitisha kila kitu kinacholetwa na serikali? Uvivu wa mawaziri kauno leo?
Awamu ya 4 ilikuwa na " Mawaziri Mizigo"

Sasa kuna Mawaziri Wavivu
 
Hawa chaguo la Magu ili kupitisha azmio la atawale Milele halikuwa chagua la wananchi
 
Spinning, wastage of time hata kusikiliza, mbinu za zamani hizi, Mwamba alikuwa Magufuli, kabla ajaongea anaitwa mungu "mungu ya herufi ndogo lakini.
 
This is good,kama itakubalika kuwa ndio mwendo halisi wa chama...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…