Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama una kapooint hivi😀Waraka wa TEC na akiangalia na yanayoendelea Afrika ya Magharibi akili zinamruka kabisa. Shida ipo kwao huyu mzee asijitoe akili. Nini maana ya Wabunge kuitwa kama kamati ya Wabunge wa CCM na kuwa na kauli moja ya kuisupport serikali. Aje na wazo Rais kutokuwa Mwenyekiti wa chama. Haya yote ni makelele tu.
Hii ni michezo ya kisiasa tu wapate pahala pa kuchomokea kama chama. Alikuwa wapi muda wote? Au bunge limeanza jana kupitisha kila kitu kinacholetwa na serikali? Uvivu wa mawaziri kauno leo?Makamu Mwenyekiti wa CCM komredi Kinana amesema Chama tawala ni Lazima kiwe na Nguvu ya kuishughulikia Serikali badala ya kuwa sehemu ya walalamikaji kama Wananchi wa Kawaida
Kinana amesema watapeleka pendekezo kwenye Halmashauri Kuu ya CCM ili Chama kujitoa Tamko Waziri fulani hafai basi Kesho yake asubuhi tu awe ameshatumbuliwa, haiwezekani kulea Mawaziri Wavivu Hiki kitakuwa Chama gani kisicho na Nguvu
Aidha Kinana amesema tabia ya Wabunge kupitisha kila Kitu kinacholetwa na Serikali ifike mwisho na Serikali ielezwe Wazi kwamba Watendaji wake ni Wavivu
Mzee Kinana amesema hayo kwa hasira sana kwenye mkutano wa hadhara ambapo Wananchi walimshangilia sana
Chanzo: Clip ya Kinana kwenye ukurasa wa twitter wa Ananilea Nkya
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
[emoji23][emoji23][emoji23]Hii ni michezo ya kisiasa tu wapate pahala pa kuchomokea kama chama. Alikuwa wapi muda wote? Au bunge limeanza jana kupitisha kila kitu kinacholetwa na serikali? Uvivu wa mawaziri kauno leo?
Awamu ya 4 ilikuwa na " Mawaziri Mizigo"Hii ni michezo ya kisiasa tu wapate pahala pa kuchomokea kama chama. Alikuwa wapi muda wote? Au bunge limeanza jana kupitisha kila kitu kinacholetwa na serikali? Uvivu wa mawaziri kauno leo?
Nadhani vumbi la akina Lisu kwenye +255 Katiba Mpya Okoa Bandari limewatisha!Niliona hiyo clip.
Kama ni ya karibuni, wameshtuka; akili zinawarudia!
Mzee Kinana amesema hayo kwa hasira sana kwenye mkutano wa hadhara ambapo Wananchi walimshangilia sana
Makamu Mwenyekiti wa CCM komredi Kinana amesema Chama tawala ni Lazima kiwe na Nguvu ya kuishughulikia Serikali badala ya kuwa sehemu ya walalamikaji kama Wananchi wa Kawaida
Kinana amesema watapeleka pendekezo kwenye Halmashauri Kuu ya CCM ili Chama kujitoa Tamko Waziri fulani hafai basi Kesho yake asubuhi tu awe ameshatumbuliwa, haiwezekani kulea Mawaziri Wavivu Hiki kitakuwa Chama gani kisicho na Nguvu
Aidha Kinana amesema tabia ya Wabunge kupitisha kila Kitu kinacholetwa na Serikali ifike mwisho na Serikali ielezwe Wazi kwamba Watendaji wake ni Wavivu
Mzee Kinana amesema hayo kwa hasira sana kwenye mkutano wa hadhara ambapo Wananchi walimshangilia sana
Chanzo: Clip ya Kinana kwenye ukurasa wa twitter wa Ananilea Nkya
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Michezo ya kisiasa wote dugu moja!Niliona hiyo clip.
Kama ni ya karibuni, wameshtuka; akili zinawarudia!
This is good,kama itakubalika kuwa ndio mwendo halisi wa chama...Makamu Mwenyekiti wa CCM komredi Kinana amesema Chama tawala ni Lazima kiwe na Nguvu ya kuishughulikia Serikali badala ya kuwa sehemu ya walalamikaji kama Wananchi wa Kawaida
Kinana amesema watapeleka pendekezo kwenye Halmashauri Kuu ya CCM ili Chama kujitoa Tamko Waziri fulani hafai basi Kesho yake asubuhi tu awe ameshatumbuliwa, haiwezekani kulea Mawaziri Wavivu Hiki kitakuwa Chama gani kisicho na Nguvu
Aidha Kinana amesema tabia ya Wabunge kupitisha kila Kitu kinacholetwa na Serikali ifike mwisho na Serikali ielezwe Wazi kwamba Watendaji wake ni Wavivu
Mzee Kinana amesema hayo kwa hasira sana kwenye mkutano wa hadhara ambapo Wananchi walimshangilia sana
Chanzo: Clip ya Kinana kwenye ukurasa wa twitter wa Ananilea Nkya
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Huo ukorofi sasa😂Hivi katiba ya ccm haina nafasi ya naibu makamo mwenyekiti wa chama?