Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

Status
Not open for further replies.
Lizaboni jambo usilolojua ni kwamba CCM ni kama nyati aliepigwa risasi kadhaa (ndio haya matukio yote)na UKAWA.Kilichopo sasa hivi ni mwindaji UKAWA anafuatilia matone ya damu ajichinjie mzoga wake.Ni suala zima la timing tu
Duh! Endeleeni kujifariji. Hiyo UKAWA ya Lowasa itakayoiangusha CCM?
 
Watashindwa kumzuia Magufuli kushika chama.!
 
Mkulu lizaboni ktk ubora wake.
Nimezoea kuona unaandika mistari miwili ikizidi mitatu
Hapa utakuwa umeguswa sana
 
Taarifa za kiintenjensia kutoka kwa kamanda wa dodoma kuhusu hili zinasemaje? Wataandamana tena kama jana?
 
Raisi wa JMT na mwenyekiti wa CCM JPM 2016-2030
 
Taarifa za kiintenjensia kutoka kwa kamanda wa dodoma kuhusu hili zinasemaje? Wataandamana tena kama jana?
 
Lizaboni jambo usilolojua ni kwamba CCM ni kama nyati aliepigwa risasi kadhaa (ndio haya matukio yote)na UKAWA.Kilichopo sasa hivi ni mwindaji UKAWA anafuatilia matone ya damu ajichinjie mzoga wake.Ni suala zima la timing tu
UKAWA ilishakufa, sema Chadema na wanachama wake wapya ambao ni James Mbatia na Seif Sharif
 
Labda katumwa aiue ccm. Maana kwa sasa ccm bila JPM hakuna chama. Leo JPM akiondoka ccm inabaki mabua.
 
Chama kimezaliwa upya. Wasaliti wanapaswa kwenda kutafuta maficho yao CHADEMA
leo umeandika vizuri ila unanikera unapoweka chadema,ukawa. wajumbe wa MM wataamua jinsi ya kufanya ila tusubiri mwanga utokee..
 
Yatakuwa majipu ya mwanzo kbsa kutumbuliwa na JPM
 

Duuh ameumbuka aisee noma kama ni kweli sijui atakimbilia kule nae au anastay tuned
 
Niliwahi kupinga wapi? Nimesema kwenye uzi huu kuwa nilipoona kelele zinazidi, niliamua kuingia chimbo na haya ndo niliyoyabaini
Mwambie Sirro amwachie Baba Askofu wetu sasa. Maana haya waneno yalisemwa na Baba Askofu mkamsaka eti mchochezi sasa yanaanza kudhihirika kweli yapo. Mbona Sirro anaendelea kumsumbua Baba Askofu? Alichokisema Baba Askofu ndicho ulichokiandika hapa. Tofauti zetu ni Kwamba wewe umetaja jina la engineer, wakati Baba Askofu hakutaja mtu aliye nyuma ya njama hizo. Lakini Kwa ujumla ujumbe wenu una mahudhuhi yale yale.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…