Kinara wa upinzani Tanzania akamatwa kwa tuhuma za madawa

Kinara wa upinzani Tanzania akamatwa kwa tuhuma za madawa

Ningekua Rais wa kenya ningefanya kama Kagame like hakuna kuutaja Hutu or Tutsi like wise ningesema hakuna kutajana makabila ...inaudhi sana sijui nyie mmezoeaje
 
Ningekua Rais wa kenya ningefanya kama Kagame like hakuna kuutaja Hutu or Tutsi like wise ningesema hakuna kutajana makabila ...inaudhi sana sijui nyie mmezoeaje
Wakenya ni tribe first then Country second. Hilo sioni likibailika anytime soon
 
Ningekua Rais wa kenya ningefanya kama Kagame like hakuna kuutaja Hutu or Tutsi like wise ningesema hakuna kutajana makabila ...inaudhi sana sijui nyie mmezoeaje
Ungekuwa rais kwa dakika mbili tu, trust me.
 
Mkuu,tofautisha tuhuma na Kushikwa peupe,kama vile NYS walio pelekwa mahakamani.
Babake Kenyatta alinyakua ardhi na inajulikana mpaka nje ya mipaka ya Kenya...sijui ni ule msemo ni "wacha tufe wote".
Bila shaka hilo la Odinga litakua cha mtoto,afadhali kuiba kwa kiasi wenzako wana tamaa ya kupitiliza na hawabakishi chochote.....😀😀!
Too much of something is poisonous!
Hehehe huwa napenda mnavyojitoa ufahamu likija suala la ufisadi wa Odinga. Jamaa ametajwa ghadi basi, hata juzi ametajwa jinsi anavyo extort wawekezaji. Ufisadi kwenye counties za gavana wake ndio usipime, wengine hata wanatumia hizo hela za ufisadi kugharamia shughuli zake.

Tatizo kama nilivyosema viongozi wa serikali Kenya hakuna anayeweza kumfuata Odinga maana na wao wamejaa uchafu.

Ndivyo tulivyo na hamna jinsi. Binafsi nilikua na mradi pale ofisi za OPM kipindi Odinga akiwa waziri mkuu na niliyoyaona nikajua hakuna suluhisho dhidi ya ufisadi na ukabila kenya. Wote wanafiki na kila mtu anatafuta mwanya.
 
Ningekua Rais wa kenya ningefanya kama Kagame like hakuna kuutaja Hutu or Tutsi like wise ningesema hakuna kutajana makabila ...inaudhi sana sijui nyie mmezoeaje
Halafu hotel za Tanzania mbona huwa lazima wageni wajaze makabila yao. Kwenu nimeona chembechembe za ukabila ila kidogo sana lakini udini ndio zenu kabisa.
Japo kwa suala la ukabila nakiri Kenya limekua ovyo sana hadi kero.
 
mbona mnapenda kutaja makabila nyie wakenya.....duuuu nawashangaa sana

Kilam ni mtanzania na ni yeye aliyewataja wajaluo kwanza.
Watz humu JF hupenda kuwataja wajaluo na wakikuyu.
Huwataja Wajaluo sana sana wanapo kejeli na Wakikuyu wanapotaka kudhihirisha chuki,sijui haya ni kwa nini.
 
Halafu hotel za Tanzania mbona huwa lazima wageni wajaze makabila yao. Kwenu nimeona chembechembe za ukabila ila kidogo sana lakini udini ndio zenu kabisa.
Japo kwa suala la ukabila nakiri Kenya limekua ovyo sana hadi kero.
hiyo ya kuandika makabila in hotels ipo since Nyerere na wala haijaleta shida yoyote,About udini ni All over the world
Mbona hata kenya inasemekana upo u can see hata US upo ila kwa bongo udini haujatuletea shida pia
 
Kilam ni mtanzania na ni yeye aliyewataja wajaluo kwanza.
Watz humu JF hupenda kuwataja wajaluo na wakikuyu.
Huwataja Wajaluo sana sana wanapo kejeli na Wakikuyu wanapotaka kudhihirisha chuki,sijui haya ni kwa nini.
Wajaluo wapo Tanzania na Kenya. Wazungu walichora mpaka wakagawa wengine Kenya wengine Tz. Hata ule utu na ukarimu unaupata kwa mjaluo, never from gikuyu. Jamaa ni manyang'au hatari!
 
Mkuu huyo Odinga ni raisi wa kwel, sema tu familia hizo zingine(kenayatta /moi) pamoja na mabwenyenye/mafia/wanaharamu wa mlimani kule humnyan'ganya ushindi miaka nenda rudi, kwa hofu zitokanazo na mali pamoja na biashara haramu.
Chezea pesa weee!...ilimfanya Yuda Iskarioti kumuuza mkuu wake mchana peupe!

🙁😀😀
Hakuna mwanasiasa mwenye USAFI hata kiduchu Kenya, wote ni WEZI, MABEPARI na MATAJIRI wa KUTISHA Mpaka wakenya wameanza kuchukulia ni kawaida kwasababu ndio wenye nguvu.
 
Wajaluo wapo Tanzania na Kenya. Wazungu walichora mpaka wakagawa wengine Kenya wengine Tz. Hata ule utu na ukarimu unaupata kwa mjaluo, never from gikuyu. Jamaa ni manyang'au hatari!
Hili kabila ndio chanzo cha matatizo kenya
Kikuyu!!!
 
Halafu hotel za Tanzania mbona huwa lazima wageni wajaze makabila yao. Kwenu nimeona chembechembe za ukabila ila kidogo sana lakini udini ndio zenu kabisa.
Japo kwa suala la ukabila nakiri Kenya limekua ovyo sana hadi kero.
Udini huku ni kwa kiasi kidogo sana.. Japo naskia nyie hadi kwenye vita na alshabab mmeingiza udini.
 
nimesoma chuo in a foreign country kulikua na wakenya pia basi ilikua aibu sana

Watanzania walikua wanaenda kupokea wanafunzi wapya air port kwa umoja wetu bila kujaili dini kabila wala rangi,

ila wakenya utasikia leo wanakuja wasomali wasomali pekee ndio wana showup airport,then wakikuyu then wajaluo nk walikua hata kusaidiana wanasaidiana kiukabila damn walikua wanaishi maisha ya tabu na aibu sana hadi kuna wengine
walikua karibu sana na watanzania na wakawa wanaenjoy company yetu kuliko kukaa na wakenya wenzao

Wakenya wanasikitisha sana
 
at least kenyan wako mbali. waliweza kutoa serikal wakaweka nyingine. ss huko bongo tuna safari ndefu. lakini Mungu yupo tutafika tuu
 
at least kenyan wako mbali. waliweza kutoa serikal wakaweka nyingine. ss huko bongo tuna safari ndefu. lakini Mungu yupo tutafika tuu
Siasa ya Bongo Haina shida sana compared to Kenyan ambayo ina kama kingdomship wanasiasa wao wote wakubwa wazazi wao walikua hivo hivo in 60's sisi leo tumemchagua JPM mtoto wa mkulima hana history yoyote ya kujilimbikizia mbali wala wazazi wake kua politicians before
 
at least kenyan wako mbali. waliweza kutoa serikal wakaweka nyingine. ss huko bongo tuna safari ndefu. lakini Mungu yupo tutafika tuu
Mkuu hakuna kilichabadilika pale, imebadilishwa brand name ya chama, watu walewale . mchezo tu huo gikuyu &Co walicheza.
 
Siasa ya Bongo Haina shida sana compared to Kenyan ambayo ina kama kingdomship wanasiasa wao wote wakubwa wazazi wao walikua hivo hivo in 60's sisi leo tumemchagua JPM mtoto wa mkulima hana history yoyote ya kujilimbikizia mbali wala wazazi wake kua politicians before

Hehehe Siasa zenu hazina shida?? Wakati uongozi mnapokezana Dodoma, yaani nyie mumefugwa kiasi kwamba chochote kinachotawazwa kwenye CCM basi ndio kitaongoza nchi. Mumekaliwa na chama kimoja tangu mwanzo wa nchi, hamuna na hamjui chochote nje ya CCM, ilmradi mnanunuliwa mashuka na kanga vijijini.

Sisi tumethubutu, tumebadilisha vyama, tumebadilisha uongozi na kwa taarifa yako rais wa sasa pekee yake ndiye alikua mwana wa rais, wengine wote hata baba yake walikua watoto wa wakulima. Tulifaulu kuondoa chama kilichokua kimetukalia miaka yote na kuanzia hapo nchi ikawa inaserereka na kupaa kwa njia zote na mifumo yote.

Leo hii nyie hapo hamuwezi chochote maana kuna makaburi mengi sana hata Magu alisema hatayafukua, ni hadi pale mtaamka kiakili na kubadilisha mfumo au chama, lakini kwa sasa mpo bado mbali tena sana.
 
Kilam ni mtanzania na ni yeye aliyewataja wajaluo kwanza.
Watz humu JF hupenda kuwataja wajaluo na wakikuyu.
Huwataja Wajaluo sana sana wanapo kejeli na Wakikuyu wanapotaka kudhihirisha chuki,sijui haya ni kwa nini.

Lakini kiongozi, hapo utakua unamwonea kilam maana wewe kwenye post #2 ndio ulianza kwa kutaja kabila, na kuelekeza mada yote ikawa inajadilia kabila na ukabila. Ndio zenu kabisa, kwamba nyie mnapenda mtaje wengine lakini msitajwe, muongee kabila lakini asiongee mwengine, muelekeze vidole vya lawama lakini kidole kisielekezwe upande wenu.

Nchi hii nakiri tuna ukabila, tena hatuponi hivi karibuni, katuanzishia mzungu alipokua anagawanya watu kwa makundi ya makabila, babu zetu wakaridhi na sie tupo mbioni kuwapokeza watoto wetu.
Ushindani hata wa michezo kama mpira umewekwa kwa misingi ya kikabila, ije kwa siasa ndio usipime, leo hii Odinga na Uhuru kila mtu amehakikisha kwake hamna mtu anayeweza kuingia, halafu nyie wa ughaibuni ndio naskia mnakaa na kuishi kwenye vikundi vya kikabila wakati nilijua mtakua mumeona mataa na kuamka lakini hamkawii kuelekeza vidole vya lawama kwengine.
 
Back
Top Bottom