Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Tatizo lipo kwa wengi picha hazifunguki sorryHawa wa nchi ganiView attachment 2611959
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lipo kwa wengi picha hazifunguki sorryHawa wa nchi ganiView attachment 2611959
Aliondoka baada ya mzee kuapishwa tu tena peke yakeKama walikuwepo wamewekwa mbali sana.
Nimefurahi kuona waimbisha kwaya na bendi ya taifa. Waimbishaji ni watu wazima sana.
Nimemuona prince Harry kakaa hukoo, naona wanambagua mno.
Maisha ya watu wewe ya nini sasaAsilimia kubwa ya Waingereza wameuchoka huo mfumo wa Monarchy wanataka full republican form of government
Waache wapambane na hali yaoMaisha ya watu wewe ya nini sasa
Sio anajibagua mwenyewe ? Hata mkewe hayupo hapo!Kama walikuwepo wamewekwa mbali sana.
Nimefurahi kuona waimbisha kwaya na bendi ya taifa. Waimbishaji ni watu wazima sana.
Nimemuona prince Harry kakaa hukoo, naona wanambagua mno.
Umeoona eee wenzetu stress mara tozo zisizo eleweka hakuna, mara maji hakuna, barabara hazipitiki hamna acha washerekee hata maisha hayo ya kfalme.Waache wapambane na hali yao
Kabisa ijapokuwa wanapambana na inflation kwa sasaUmeoona eee wenzetu stress mara tozo zisizo eleweka hakuna, mara maji hakuna, barabara hazipitiki hamna acha washerekee hata maisha hayo ya kfalme.
Hapo Ndiyo Walipomaliza Hatoki Mpaka Afe Hakuna Kujiuzuru Kama Papa VileHapo zindiko linafanyika
Haiwezi kuwa kama sisi huku na matimango yetu, ukiita bodaboda anajiulizia mara mbili mbili kuja [emoji3][emoji3][emoji3]Kabisa ijapokuwa wanapambana na inflation kwa sasa
Mwanzo mwenga hiyo kifo tu kinamtoaHapo Ndiyo Walipomaliza Hatoki Mpaka Afe Hakuna Kujiuzuru Kama Papa Vile
Inflation UK inacheza 10.1%Haiwezi kuwa kama sisi huku na matimango yetu, ukiita bodaboda anajiulizia mara mbili mbili kuja [emoji3][emoji3][emoji3]
Angeenda na mkewe angezua mambo.Sio anajibagua mwenyewe ? Hata mkewe hayupo hapo!
Asilimia kubwa ya Waingereza wameuchoka huo mfumo wa Monarchy wanataka full republican form of government
Na ni 10.1% za kweli. Sio hapa inflation rate ni above 100% halafu tunaambiwa ni 4% pekeeInflation UK inacheza 10.1%
Lakin hawawez kuubadilishaAsilimia kubwa ya Waingereza wameuchoka huo mfumo wa Monarchy wanataka full republican form of government
Sasa umejibu nini mzee wa kupambania ile chafu?😂😂😂Asilimia kubwa ya Waingereza wameuchoka huo mfumo wa Monarchy wanataka full republican form of government
Na hiko ni kitu gani kilichochorwa hapo chini, ni ufalme ndo umechora au ndo raia wamechoraHawa wa nchi ganiView attachment 2611959
mb<><>kitu gani kilichochorwa hapo chini,