UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Kwani kumechorwa nini bwashee? 😂😂Na hiko ni kitu gani kilichochorwa hapo chini, ni ufalme ndo umechora au ndo raia wamechora
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kumechorwa nini bwashee? 😂😂Na hiko ni kitu gani kilichochorwa hapo chini, ni ufalme ndo umechora au ndo raia wamechora
Umeongea kwa mafumbo, sielewi. Megabytes (mb) inaingiaje hapo?mb<><>
m b 0 0Umeongea kwa mafumbo, sielewi. Megabytes (mb) inaingiaje hapo?
Hawawezi hata jana waliandamana wengine wakaishia kukamatwa lakini mdogomdogo mambo huanzaLakin hawawez kuubadilisha
Heshima ya ufalme siyo hela hata awe bilionea wa dola kama hajapewa heshima ya kifalme atabaki hivyo hivyo kuheshimika na masikini.Angeenda na mkewe angezua mambo.
Attention ingegeukia kwao
Angemfunika hata mafalme
Na huwezi Jua wanaweza hata mdhuru Megan.
Bora mkewe hajaenda
Harry anapaswa kusaka hela kweli kweli ndio heahima yake itakuja
Otherwise watamuona takataka tu.
Nimeiona ni UingerezaHawa wa nchi ganiView attachment 2611959