Wasanii wakubwa Tanzania (alikiba &diamond) ni dhahiri kwamba kwa sasa alikiba amechoka kuvumilia maneno ya na kauli mbaya kutoka kwa diamond.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram alikiba alipost picha ikionyesha amevaa Pete na kuandika "Pete ya kijani"
Baada ya mda kidogo alipost picha na kuandika "simba original"
Akiwa yupo katika mapumziko ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Kauli tata za diamond kwa kiba
1.Kama mziki ni sauti ningemasign wema sepetu (angekuwa msanii mkubwa)
2.shoo zenyewe akipata ni Mombasa au Nairobi kwa kupitia connection za rafiki yake (Ali joh)
3.Mimi sivai Pete ya kijani Kama wao
4.Kama wao wakali tuandae show tujue nani mkali lakini wananiogopa nimetuma mpaka watu wamekataa
Hizo ni baadhi ya chache ila zipo nyingi,kwa kinachoendelea Instagram page ya alikiba yupo sahihi ameamua kuvunja ukimya
Ngoja tuone runner up and winner (team Tanzania)