Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana aisee, Mm Siwez kuangalia huo upuuziMwanaume anafungua ili ashangae ujinga wa huyu bro
ameenda arusha, kule kulee kwenye wazungu wengi na watu wanaoweza kuukubali ushoga kirahisi.King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako
Jamaa view ya mbele kakaa poa tu kifua kiko fresh shida akigeuka tu...Kweli bro anazingua huyu jamaa
Hata mi nimewaza hivyo.Aiseee duuh hatari sana ila mchukua Video lengo lake halikuwa zuri kwanini asingechukua sehemu zingne za mwili alitaka kutuonesha sehemu ya makalio
🤣wachuga hawataki kukubaliana na yaliyowafika, mwana kapachagua chuga sijui kavutiwa na nini hukoKuna intavyuu, video iliwekwa hapa nadhani ni millard kama sijakosea, mwamba yupo kwa wadudu huko.....mmefikiwa 😹
Kwa hiyo sisi tuliosadifu matako makubwa ya shangazi zetu ni mashoga siyo!?..tulichagua kusadifu shangazi zetu!?Huyu sijui ni mwanaume wa aina gani siti yote hiyo eti mazoezi 🤔
Chuga,knjaro machoko kibao tu🤣wachuga hawataki kukubaliana na yaliyowafika, mwana kapachagua chuga sijui kavutiwa na nini huko
Inakua trend huko,,,naona panaanza kushindana na mwambao wa pwaniChuga,knjaro machoko kibao tu
Kapost kwenye account yake instagramMmmhh nakuwa na uhakika gani kwa kuona majengo mawili na miti? Hakuna sehemu nyingine panapoweza kuwa na mazingira ya aina hiyo?
Au ulienda ku squat?