The mountain lion
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 1,153
- 418
Yaani huyu pesa hana wenye pesa utaona tuu unapishana na semi trela limeandikwa namba 1600 kudadeki ndo utajua pesa manake nini. Yaani huyo akishika pesa anakasirika huyu anafurahia loooh.
halafu hili punga lipo jf pia angalia katika notification juu hapo ipo ya jf pia na ndio akina chonji walimlamba ndogo akaenda kusema kwa baba ambae ni shimbo nadhan ishu ikabumbuluka
Ndo bilionea huyu?
Shangaa na wewe.
Huyu jamaa bwana sio mtu mzuri luna siku alituita kwenye bar moja inaitwa java tulikua watu kama 9 hiv akatununuliwa henken then alikua anaongoza nyingine kila ukimimina funda moja ikabidi tukimbie kusalimisha maisha yetu maana angetuua that day nilikunywa kama kum na nane kwa kumbukumbu zangu
Katika yooote ambayo anaweza kufanya na hizo hela, hicho ndio umekiona cha maana kwako..
Hawa Ndio mabilionea wa Arusha mtu akimiliki boda boda nakaduka ka ujenzi ni bilionea
huyo limbukieni tu
mengi na bakhresa nawao waitweje?
Le Mburulaz
MstahikiMeya
Hawa Ndio mabilionea wa Arusha mtu akimiliki boda boda nakaduka ka ujenzi ni bilionea
huyo limbukieni tu
mengi na bakhresa nawao waitweje?
Le Mburulaz
MstahikiMeya
Huyu jamaa bwana sio mtu mzuri luna siku alituita kwenye bar moja inaitwa java tulikua watu kama 9 hiv akatununuliwa henken then alikua anaongoza nyingine kila ukimimina funda moja ikabidi tukimbie kusalimisha maisha yetu maana angetuua that day nilikunywa kama kum na nane kwa kumbukumbu zangu
Wewe jamaa kwa offer tu hujambo...umewahi kusema ulipewa offer na Ali Kiba pia