keshokutwa
Member
- Oct 14, 2014
- 66
- 17
Nae bilionea huyu....wawapi?!
Tanzania ni nchi inayoongoza kwa kuwa na mabililionea wengi
huyu jamaa wa kawaida sana mara nyingi nakutana naye pale kwa mzungu segerea sehemu ya kawaida sana na hizo nguo ndio hizohizo huvaaga hata u lakionea hajavuka nashangaaa kusikia bilionea ushuziii mtupu
kumbe unakujaga kwa mzungu daaaa palikua kwetu pale sema dingi aliuza ding nae ,roho inaniuma sana nikiona lile swimming pool pale ndipo nilikua napendaga kubigia mswaki aisee[/QUOTE
Mhh pole.
wa hapahapa mpinzani wa billionaire dimond plutnum ndiyo huyu sasa
kumbe unakujaga kwa mzungu daaaa palikua kwetu pale sema dingi aliuza ding nae ,roho inaniuma sana nikiona lile swimming pool pale ndipo nilikua napendaga kubigia mswaki aisee[/QUOTE
Mhh pole.
yote maisha itabaki milele ni milima mali tutaziacha tu
" ... When you make that paper, there are rules that go with it.You got to learn the difference between guns
and butter.There are two types of niggas, niggas with guns and niggas with butter.
What are the guns? That's the real estate...the stocks and bonds, art work. Shit that appreciates with value.
What's the butter? Cars, clothes, jewellery, all the bullshit that don't mean shit after you buy it.That's what
it's all about: Guns and butter, You little, dumb motherf@#&*!s. "
Ving Rhames character in Baby Boy.
lol mfano umenifanya nisisimke nimekuvutia pichaHaha hahaaaa aisee huo mfano siutaki kabisa...