King Rover: Billionea kijana mwenye madharau Dar es Salaam anayekimbiza Bongo nzima

King Rover: Billionea kijana mwenye madharau Dar es Salaam anayekimbiza Bongo nzima

anachefua wenzie roho tuu kwa hela hana,aseme amezipata wapi usishangae kama hakumfanya mzazi wake Dondocha
ndio akapata vijisenti wenye Hela ao kimnyaaaaaaaa wale wenye vi chenchi wanapiga kelele kama kama konda wa mabasi...
 
" ... When you make that paper, there are rules that go with it.You got to learn the difference between guns
and butter.There are two types of niggas, niggas with guns and niggas with butter.

What are the guns? That's the real estate...the stocks and bonds, art work. Shit that appreciates with value.
What's the butter? Cars, clothes, jewellery, all the bullshit that don't mean shit after you buy it.That's what
it's all about: Guns and butter, You little, dumb motherf@#&*!s. "

Ving Rhames character in Baby Boy.
 
Huyu ni mpuuzi mmoja tu hana lolote Range Rover yenyewe tangu mwaka majuzi old model kula kulala mmoja hivi anaelelewa home....
 
Au wale WA stanbic Mayfair? Kikilia paaa jamaa kwenye instangram anatesa
 
huyu jamaa wa kawaida sana mara nyingi nakutana naye pale kwa mzungu segerea sehemu ya kawaida sana na hizo nguo ndio hizohizo huvaaga hata u lakionea hajavuka nashangaaa kusikia bilionea ushuziii mtupu
 
kumbe unakujaga kwa mzungu daaaa palikua kwetu pale sema dingi aliuza ding nae ,roho inaniuma sana nikiona lile swimming pool pale ndipo nilikua napendaga kubigia mswaki aisee
 
kumbe unakujaga kwa mzungu daaaa palikua kwetu pale sema dingi aliuza ding nae ,roho inaniuma sana nikiona lile swimming pool pale ndipo nilikua napendaga kubigia mswaki aisee[/QUOTE

Mhh pole.
 
Girls si huwa mnasema mnapenda hela,mbona mnaponda?
 
" ... When you make that paper, there are rules that go with it.You got to learn the difference between guns
and butter.There are two types of niggas, niggas with guns and niggas with butter.

What are the guns? That's the real estate...the stocks and bonds, art work. Shit that appreciates with value.
What's the butter? Cars, clothes, jewellery, all the bullshit that don't mean shit after you buy it.That's what
it's all about: Guns and butter, You little, dumb motherf@#&*!s. "

Ving Rhames character in Baby Boy.

Watu humu hawajakuelewa lakini kama mtu kaelewa hawezi kuendelea kuchangia lolote hapa!
 
Hela ya kushika mkononi nayo hela jamani? Eti bilionea!!!!. Pesa unakaa nayo nyumbani unasema bilionea? Ujinga gani huu.?
 
hamuwezi mzee mwambapa tajiri wa nguruwe pale makabe kwa ripelanya
 
Back
Top Bottom