UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Jambo la kutuamisha kuwa hao ndiyo wa ukweli?Bunge la jmt lina wabunge wa ukweli kutoka upinzani tu,hao wengine ni bora liende
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jambo la kutuamisha kuwa hao ndiyo wa ukweli?Bunge la jmt lina wabunge wa ukweli kutoka upinzani tu,hao wengine ni bora liende
Rais ana kinga ya kutoshitakiwa kikatiba. Lakini katiba hiyo hiyo, inaruhusu kuondolewa kwa kinga hiyo iwapo inabidi afunguliwe mashitaka. Azimio la kuondoa kinga kwa muda lazima liungwe mkono na majority (2/3?) bungeni.
Hivyo ndivyo inavyokuwa kwa vyama vyote,na ndiyo maana wengine sasa wanaitwa wasaliti kwa waliyoenda kinyume.ni wazo zuri lakini hapo usitegemee kuungwa mkono na mwana ccm yeyote kwa jinsi navyowafahamu wana ccm na viongozi wao watasubiri mpaka waone Makufuli anaelekea wapi katika hiyo hoja ndio waunge mkono wa ndio maana wao kutoa wazo tofauti na rais wao ni kosa kubwa sana kwa sasa wamejikita kuunga mkono kila kitu kinachosemwa na Rais
Mkuu naomba unifafanulie vizuri, iwapo kinga hiyo itaondolewa hawa wastaafu(waliofanya kazi wakati wa kinga hiyo) wanaweza kuwa hatiani.?
Kama ni serikali tatu hilo ni swala la muda tutalikataa leo lakni tupnde tusipendewakati utafikaNa hao wengine wanaitaka hiyo katiba kwa sababu ya serikali tatu.
NB:Nimeleta habari kuunga mkono wazo la mwandishi,Prudence Karugendo katika makala yae katika gazeti la Mwanahalisi la leo iliyoko katika ukurasa wa 14 wa gazeti hilo.Makala hiyo mwandishi ameipa kichwa cha habari kinachosomeka: "JPM atumbue kinga ya maraisi wastaafu."
(3) Except where he ceases to hold the office of President pursuant to theMkuu naomba unifafanulie vizuri, iwapo kinga hiyo itaondolewa hawa wastaafu(waliofanya kazi wakati wa kinga hiyo) wanaweza kuwa hatiani.?
Alichomeka wapi?hapo JK achomoi
Serikali tatu kwa faida ya nani?Kama ni serikali tatu hilo ni swala la muda tutalikataa leo lakni tupnde tusipendewakati utafika
(3) Except where he ceases to hold the office of President pursuant to the
provisions of Article 46A(10) it shall be prohibited to institute in court criminal or
civil proceedings whatsoever against a person who was holding the office of
President after he ceases to hold such office for anything he did in his capacity as
President while he held the office of President in accordance with this
Constitution.
Jambo linalogomba hapa "anything he did in his capacity as President while he held the office of President" sijajua watafsiri wa sheria watatafsiri vipi. Ila naona kama kuna mlango wa kuwawajibisha hao waliotangulia iwapo tu unaweza kutofautisha jambo alilolifanya kwa capacity yake kama Rais na ambalo alilifanya binafsi. Hapo ndipo shida inapotokea. Aidha ni kweli kuwa kwa mfumo wa nchi hizi za kiafrika ambapo wanajijengea dhana ya kuwa mkubwa hakosei itaonekana ni kama utovu wa nidhamu kumfungulia mashtaka kiongozi aliyekuwa mkuu wa nchi. Jambo la msingi kwanza tafsiri ya kifungu hicho cha katiba ikoje. Ni kweli kuwa Rais wa nchi akishastaafu hawezi kufunguliwa mashtaka au la?
Nchini Zambia walikuwa na sheria inayofanana na hii ya kwetu, lakini Chiluba alipoondoka madarakani aliondolewa kinga akashtakiwa. Kinga inaweza kuondolewa kwa marais waliotangulia na wakashtakiwa.
Maneno mengi point sifuri!Kila kitu kwako wewe ni uchochezi!Wewe unawakilisha fikra na mawazo ya watanzania wengi na watu kama nyinyi ndio sababu ya CCM kuendelea kutawala nchi hii.
Duh..kususa dot com..atakayepinga hili.....sitafatilia tena mchango wake humu JF
Naunga hoja 100%Ili kuleta uwajibikaji kuanzia Ikulu mpaka ofisi ya serikali mtaa, nawashauri wabunge wa CCM na wale wa UKAWA kuungana pamoja na kuifutilia mbali kinga ya Raisi.
Marekebisho hayo pia yaruhusu hata maraisi waliostaafu huku wakiwa na hii kinga nao waweze kushitakiwa iwapo kutakuwa na tuhuma zinazowahusu na zinazostahili wao kufikishwa mahakamani.
Ni matumaini yangu kuwa Magufli atakuwa wa kwanza kuunga mkono hoja/hatua hii kama kweli anaamini katika usawa na anataka kuridisha nidhamu serikalini.
Tujifunze kutoka Afrika kusini kwani inawezekana watu aina ya Zuma waliwahi ishi pale magogoni au wakaja kuishi siku zijazo.
NB:Nimeleta habari kuunga mkono wazo la mwandishi,Prudence Karugendo katika makala yae katika gazeti la Mwanahalisi la leo iliyoko katika ukurasa wa 14 wa gazeti hilo.Makala hiyo mwandishi ameipa kichwa cha habari kinachosomeka: "JPM atumbue kinga ya maraisi wastaafu."
Tofauti na alivyopendekeza mwandishi Karugendo,mimi nimeona ni vizuri hoja hii ianzie Bungeni moja kwa moja badala ya kusubri serikali ndio ipeleke hoja hiyo Bungeni ili kumtomjenga raisi uadui unaoweza kujitokeza baina yake na watangulizi wake.
"KILA MTU ABEBE MZIGO WAKE."
mtizamo wako ni nin juu ya jambo hilo?Unaona ni sawa Rais hata akimpiga Risasi baba yako hadharani apete tu,huu umungu mtu umekaa vp?Bawacha bhana..mnalialia tuu..
Kama ni hivyo haya mapambano yake hayawezi kuwa endelevu, akimaliza muda wake ataondoka nayo! It shall have been some effort to futility!Labda kama alikuwa mgombea huru/binafsi lkn kama alivaa nguo za kijani hilo jambo sahau