Well said,Mkimshtaki Mkapa mtapata nini? Je ndo ita-solve solution ya wizi wa mali za umma? Tatizo sio Mkapa, tatizo ni system ya utendaji Tanzania. Wafanyakazi wa Umma ni waoga. Kwa nini waoga? Ni kwa sababu nchi yetu haina msingi mzuri wa sheria. Kuna watu kibao wanaojua haya maovu yanayoendelea kila siku. Bila kuwapa hawa watu sauti za kuongea ni bure tu! Mtapelekana mahakamani na kulana pesa! Narudia tena, Nchi inahitaji misingi bora ya sheria kwa kusudi la kuendelea. Bila misingi ya sheria, wakubwa wataendelea kunyonya wanyonge. Ivi Tanzania kuna Legal Aid?
Mkimshtaki Mkapa mtapata nini? Je ndo ita-solve solution ya wizi wa mali za umma? Tatizo sio Mkapa, tatizo ni system ya utendaji Tanzania. Wafanyakazi wa Umma ni waoga. Kwa nini waoga? Ni kwa sababu nchi yetu haina msingi mzuri wa sheria. Kuna watu kibao wanaojua haya maovu yanayoendelea kila siku. Bila kuwapa hawa watu sauti za kuongea ni bure tu! Mtapelekana mahakamani na kulana pesa! Narudia tena, Nchi inahitaji misingi bora ya sheria kwa kusudi la kuendelea. Bila misingi ya sheria, wakubwa wataendelea kunyonya wanyonge. Ivi Tanzania kuna Legal Aid?
I don't think so! na mfano wako siyo sahihi,Mwizi wa kuku anapokamatwa na kushtakiwa tunapata nini? Je, hiyo inasolve solution ya wizi wa kuku nchini? Jibu ni hapana. Lakini sheria inasema ukiiba unakamatwa na kuswekwa lupango. Vivyo hivyo na Mkapa. Akikamatwa utakuwa ni mwazo wa kubadilisha system ya utendaji Tanzania. Marais watakaofuata watakuwa waadilifu zaidi wakizingatia kanuni za kisheria. Kama kweli tunataka kubadilkisha mindset na kuweka misingi bora ya sheria ni lazima tuanze na wale waliopewa dhamana ya kulinda sheria zetu. Tena kwa hao lazima tuwe wakali zaidi ili wananchi wa kawaida waweze kurejesha imani kuwa tunaishi chini ya utawala wa kisheria, ebo!
Mwizi wa kuku anapokamatwa na kushtakiwa tunapata nini? Je, hiyo inasolve solution ya wizi wa kuku nchini? Jibu ni hapana. Lakini sheria inasema ukiiba unakamatwa na kuswekwa lupango. Vivyo hivyo na Mkapa. Akikamatwa utakuwa ni mwazo wa kubadilisha system ya utendaji Tanzania. Marais watakaofuata watakuwa waadilifu zaidi wakizingatia kanuni za kisheria. Kama kweli tunataka kubadilkisha mindset na kuweka misingi bora ya sheria ni lazima tuanze na wale waliopewa dhamana ya kulinda sheria zetu. Tena kwa hao lazima tuwe wakali zaidi ili wananchi wa kawaida waweze kurejesha imani kuwa tunaishi chini ya utawala wa kisheria, ebo!
Mwizi ni wewe, Kama angelikuwa ni mwizi si angeondoka na Ndege ile au akaiuza na kupata 10%? Tumshukuru mtu huyu badala ya kumtukana kwani hata hiyo ndege aliinunua na kwa ajili ya Rais (Ajaye) wa sasa, tena kutokana na fedha zetu siyo za kukopa!!!Kwa kufupisha stori MKAPA ni Mwizi na Mlarushwa. Ndani ya hayo mawili kuna mlolongo wa tuhuma za ubadhirifu na coraption ukianzia Manunuzi ya Ndege ya Raisi , Rada, Kujiuzia Kiwira na mengineyo the list is long enough.
Anachosema Semenya - pamoja na hisia za wananchi kama inavyoonerkana katika post hiyo hapo juu, je was there wilful wrong doing by Mkapa personally that would make him liable in court with concrete evidence? What about his immunity? Watu wasidhani kufikiria na moyo, na kushikwa na hasira au hata kuhisi, ni ushahidi tosha wa makosa ya Mkapa na wengineo.Mnasahau kinga ya kikatiba aliyo nayo?Kwa kufupisha stori MKAPA ni Mwizi na Mlarushwa. Ndani ya hayo mawili kuna mlolongo wa tuhuma za ubadhirifu na coraption ukianzia Manunuzi ya Ndege ya Raisi , Rada, Kujiuzia Kiwira na mengineyo the list is long enough.
Mwizi ni wewe, Kama angelikuwa ni mwizi si angeondoka na Ndege ile au akaiuza na kupata 10%? Tumshukuru mtu huyu badala ya kumtukana kwani hata hiyo ndege aliinunua na kwa ajili ya Rais (Ajaye) wa sasa, tena kutokana na fedha zetu siyo za kukopa!!!
Anachosema Semenya - pamoja na hisia za wananchi kama inavyoonerkana katika post hiyo hapo juu, je was there wilful wrong doing by Mkapa personally that would make him liable in court with concrete evidence? What about his immunity? Watu wasidhani kufikiria na moyo, na kushikwa na hasira au hata kuhisi, ni ushahidi tosha wa makosa ya Mkapa na wengineo.Mnasahau kinga ya kikatiba aliyo nayo?
JAMANI - TRUTH BE TOLD.... KUDHANI KUNA SIKU MKAPA ATABURUTWA MAHAKAMANI - IS JUST A WISHFUL THINKING.HAKUNA KITU KAMA HICHO.TULIZENI MUNKARI, TUJIFUNZE KUTOKANA NA MAKOSA NA TUJISAHIHISHE.Najua wengi watachukizwa na mchango huu lakini habari ndio hiyo.
Basi nikawa natafuta Net Problems... Ndo Net Group Solutions?Semenya,
Umeuliza Mkapa ashtakiwe kwa kosa gani. Kosa kubwa alilofanya Mkapa ni kula rushwa akiwa rais wa TZ. Aliuza NBC kwa rushwa. Alileta Net Problems kwa rushwa. Alijiuzia Kiwira kwa kukiuka taratibu za nchi. Hii inaweza kuangukia chini ya sheria za uhujumu uchumi. Na ushahidi upo.
The truth hurts 🙁Anachosema Semenya - pamoja na hisia za wananchi kama inavyoonerkana katika post hiyo hapo juu, je was there wilful wrong doing by Mkapa personally that would make him liable in court with concrete evidence? What about his immunity? Watu wasidhani kufikiria na moyo, na kushikwa na hasira au hata kuhisi, ni ushahidi tosha wa makosa ya Mkapa na wengineo.Mnasahau kinga ya kikatiba aliyo nayo?
JAMANI - TRUTH BE TOLD.... KUDHANI KUNA SIKU MKAPA ATABURUTWA MAHAKAMANI - IS JUST A WISHFUL THINKING. HAKUNA KITU KAMA HICHO. TULIZENI MUNKARI, TUJIFUNZE KUTOKANA NA MAKOSA NA TUJISAHIHISHE.
Najua wengi watachukizwa na mchango huu lakini habari ndio hiyo.
Mwizi wa kuku anapokamatwa na kushtakiwa tunapata nini? Je, hiyo inasolve solution ya wizi wa kuku nchini? Jibu ni hapana. Lakini sheria inasema ukiiba unakamatwa na kuswekwa lupango. Vivyo hivyo na Mkapa. Akikamatwa utakuwa ni mwazo wa kubadilisha system ya utendaji Tanzania. Marais watakaofuata watakuwa waadilifu zaidi wakizingatia kanuni za kisheria. Kama kweli tunataka kubadilkisha mindset na kuweka misingi bora ya sheria ni lazima tuanze na wale waliopewa dhamana ya kulinda sheria zetu. Tena kwa hao lazima tuwe wakali zaidi ili wananchi wa kawaida waweze kurejesha imani kuwa tunaishi chini ya utawala wa kisheria, ebo!
Ahsante sana Mkuu Jasusi.. Tanzania hakuna yeyote yule ambaye yuko above the law. Kama kuna mambo ambayo ameyafanya yamekiuka sheria za nchi basi ni lazima sheria ziachwe zichukue mkondo wake na siyo kuuliza maswali eti mkishtaki Mkapa mtapata nini!!! 😕
Kama Mkapa atashtakiwa basi Viongozi mbali mbali wa sasa na wa baadaye akiwemo Rais watakuwa wanafikiria mara mbili mbili kufanya ufisadi wanapokuwa madarakani lakini kwa hali ilivyo sasa Kiongozi anaweza kusema mbona Mkapa hakushtakiwa kwa ufisadi wake, mbona Mzee wa Vijisenti, Idrissa Rashid, Rostam na wengi wengine hawakushtakiwa. Hivyo na Kiongozi huyo kuamua kufanya ufisadi akiwa madarakani bila woga wowote.
Duh! mtu anathubutu kuuliza mtapata nini mkishtaki Mkapa!!! Kazi kweli kweli!
Waheshimiwa....I seriously think you guys have missed the point and dont see the big picture. Makosa ya Mkapa sio kama wizi wa kuku. Wizi/makosa ya Mkapa yanawekwa katika ***** lijulikanalo kama 'White Collar Crime". Kwa nini kundi hili? Makosa kama haya yanahitaji sheria na mfumo mzima wa sheria ulio sophisticated kuweza ku-deal nayo. Kwa stage yetu ya sheria, HATUNA UWEZO WA KU-PROSECUTE SUCH CRIMES. Angalia mfano wa Chiluba kule Zambia na pesa iliyotumika na bado akatoka huru. (kwa info zaidi search thread ya Zitto). Mtatumia pesa nyingi, maana yeye atatumia kila trick katika kitabu ku-delay justice. Ukitaka kujua hizi njia, uliza wana-sheria wanaofanya kazi kwenye makampuni ya insurance. Pili, system yetu ya sheria iko very much inter-twined with politics. Hivi kweli utategemea AG (mwenye kadi ya chama) anyanyuke na kumshtaki mwana-chama mwenzake. Kumbuka, na yeye amekula hizo pesa pia. Twende kwa DPP, huyu anachaguliwa na nani? Sio AG? Twende kwa ma-judge? Na ni nani aliyewachagua? Sio Rais? (Tena utakuta ni huyo huyo Mkapa)hahahaha
Tatu, Ivi wana-sheria waliobobea watakaoweza ku-deal na hii Tanzania ni kina nani? Kina Alex Stuart?Sio nao wanasemekana wako linked na hayo ma-deal!! Who else? Mwakembye? Huyu anakula posho mara mbili na wana-kadi ya chama kimoja?
Kwanza yule wa Utamu mwenyewe, imishindikana ku-deal naye...hahaha! Sembuse Mkapa!!! Be serious guys!
At this stage, we can not deal with such crimes. We need to develop our judicial system. Na hii ndo njia pekee ya kuendelea.
Hivyo basi, solution ni nini? Change and improvement of the judicial system. From here, we can then have a serious discussion on helping the country badala ya blah blah za kila siku!!
am out...
Tunaheshimu sana maoni yako kama mwana JF mwenza lakini kiasi unatukwaza kwa kuenda nje ya mada na kutuita wenzako wezi, kwa niaba ya waliokerwa na hili nakupongeza kwa matumizi huru ya uhuru uliopo bila kujali uchokozi dhidi ya utulivu.Hata nyinyi wote hapa ni wezi wa aina yake kwa kuwa mnatumia muda vibaya badala ya kuchapa kazi mnabwata! Kipimo ni number of posts. Jipime ni mwizi grade gani mwenyewe kisha uone kama mkapa anastahili kufunguliwa mashitaka. Mkapa alifanya yaliyomhusu. Wewe je?
Manung'uniko na mijadala mingi imeonekana ikisema Mheshimiwa Rais Mstaafu angefaa kupelekwa mahakamani, na wengine hudiriki kusema 'angestahili kuozea jela'.
Jambo ambalo najiuliza hata akiondolewa kinga,je katiba inaruhusu rais mstaaf kushtakiwa?
na kama inaruhusu, DPP atamshtaki kwa kosa gani na lililopo katika sheria ipi?, Je ushaidi upo wakutosha?
Adhabu ya makosa au kosa hilo ni ipi?, kifungo au fine?
je na kama kinga yakatiba ikitolewa itakua applied retrospectively?yani namaanisha itamgusa Mpaka Rais mwinyi au ni kwa marais wanaofuatia?
Dhumuni lakuuliza maswali haya ni kwasababu inaonekana kama jamii ya Kitanzania tunashabikia tu kwakusema Mkapa apelekwe mahakamani bila ya kusema kwa kosa lipi na lililokatika sheria ipi, na kujua ugum wa kikatiba unaomlinda. Si maanishi kusema tu Kiwira, la hasha hiyo haitoshi. Si maanishi kufungua kampuni ikulu, tunaweza kusema hayo yote, lakini cha muhimu sheria zetu zinasemaje kuhusu mambo kama hayo? na process yake ikoje ya kikatiba?kama nilivyouliza hapo juu.
Naomba tujadili bila matusi au shutuma.
Asanteni.