Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

kwa tz hii na maiti hawa wanaoitwa wananchi ni vizuri kuota
Kama kuna wahuni wanafanya hayo. Sheria itawapata siku moja.
Hata hivyo mkuu wa nchi yetu hana moyo wa KUUA.
Labda wewe unajua zaidi unaweza kutuwekea uwazi. Ili tusitetee kilicho wazi.
Weka hapa.
 
Wanatia huruma
Umajua binadamu hujisahau sana anapokuwa madarakani.Awe ni Kiongozi wa Shirika ama Waziri ama wa Kitengo chochote.
Mambo yanapobadilika hao hao nao wanakugeuka hawakuiti tena AFANDE.
Ni jambo amabalo silielewagi sana.
 
Hiyo ya kujenga nyumba iliishaisha dogo. Acha kuchanganya mafaili kwasababu ya chuki. Chuki mbaya sana.
 
Habari Iko vizuri sema tu kumsifia huyo jamaa mambo ya elimu bure sijui na nini, hapo sijakusoma
 
Kwa mujibujibu Wa katiba yetu ...raisi hawez kushtakiwa kwa jambo alilolifanya akiwa madarakani.

Kuto kuwashtaki ni kitu kizuri.
 
Hiyo ya kujenga nyumba iliishaisha dogo. Acha kuchanganya mafaili kwasababu ya chuki. Chuki mbaya sana.
Hii si mambo yanayohusiana na CHUKI. Mbona mkuu hili la MAFISADI kushitakiwa mbona linakuumiza sana?
Are you a beneficiary ?
 
Habari Iko vizuri sema tu kumsifia huyo jamaa mambo ya elimu bure sijui na nini, hapo sijakusoma
Pia usisahau kuwa habari hii NI NZURI TU KWA wale WANAOONA. Ila kwa vipofu hii ni habari mbaya sana, Ama vipi?
 
Naona kuna mmoja asije kuugua tumbo la kuharisha!!! Acha wazee wapumzike japo ni kweli kuna baadhi "walipiga"
 
Kwa mujibujibu Wa katiba yetu ...raisi hawez kushtakiwa kwa jambo alilolifanya akiwa madarakani.

Kuto kuwashtaki ni kitu kizuri.
Aisee. Hivyo, Waziri, na yeyote aliyeiibia serikali na kuwafanya kuwa maskini wabaki tu.
Hili haliko mbali
Watu hawawezi kuwa WANAIBA halafu wanajificha kwenye Immunity ya kushitakiwa.
ISIPOKUWA. Yale ambayo RAIS aliyafanya akiwa katika utendaji WAKE WA kazi HAPO nakubaliana nawe Rais asishitakiwe.
Isipokuwa RUSHWA na UFISADI si jukumu la utendaji wa Mtawala yeyote yule duniani.
Rais NIXION alishitakiwa KWA kukiuka tartibu za uongozi na kuvunja sheria makusudi.
Alishitakiwa akiwa Madarakani mapka akatoka.
Tukiruhusu tuibiwe na tukae kimya hasara ni ya Watanzania.
 
Iwahi hata kesho tu
 
Naona kuna mmoja asije kuugua tumbo la kuharisha!!! Acha wazee wapumzike japo ni kweli kuna baadhi "walipiga"
Sheria HAINA HURUMA.
Angalia mama wa watu huko Korea Kusini. Miaka 24 BILA HURUMA.
Ndo maana wamefanikiwa kuliko sisi tunalindana. Hilo la kulindana halitadumu.
 
Tanzania hatuna shida sana na Viongozi wetu wastafu kama hizo nchi. Naomba wimbi la kushitaki viongozi waliobariki/walioua raia wasio na hatia kule Iraq, Cossovo, Libya, Palestine, Nagasaki, Syria, Yemen, Soweto, Vietinam n.k wapelekwe The Hague
Hapana tunayo sana mkuu ila serikali inajitahidi kuweka vikwazo but one day yes
 
kwa tz hii na maiti hawa wanaoitwa wananchi ni vizuri kuota
Wimbi huwa likianza huleta kimbunga. Huangusha miti mikubwa.
Tumechoka KUIBIWA.Tanzania lazima watu washutakiwe.
Wengine wanaishi kama ........Na wengine wanaishi maisha ya umaskini wa kutupwa eti sababu
Tunalindana. This should come to an end.
WABUNGE wajadili hilo kwa KINA bila hivyo kila mtu akija NUKULA na KUPIGA dili.
hATUWEZI kuwa na nchi ya namana hiyo mkuu.
 
katiba hairuhusu hicho kitu.
As ana ACT of parliament inweza kuwa amended.
Kama mtu ALIIBIA serikali ashitakiwe.
Si kumshitaki kwa majukumu yake aliyokuwa akiyafanya akiwa uongozini. Bali
Kiongozi MWIZI lazima WABUNGE waliangalie hili. Na kulibadilisha.
KATIBA iliandikwa na wanadamu.N a wanadamu ndo watakaoi badilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…