Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Yaani hilo likitokea tu wengi watakufa kwa pressure au kwa kuhara kwa woga. Hamna mstaafu wa Afrika atakayesalimika...mijizi tu
 
Kimbunga kinachoanzia pale ulipo huwa ni kibaya sana kwa wengine ambao huwafikia baadaye kwani huwa kina nguvu.Haua mambo ni mabaya sana kwa nchi ambazo hazijafikiwa sasa.Nadhani Tanzania inahusika.
 
Hamna cha huruma kwa watu kama hao.
Kama Korea Kusini wangesema Oh huyu ni mwanamke tumhurmie aende grezani miaka 2 sijui nini.
Hawakuangalia GENDER yake. FISADI ni FISADI awe mwanamke ama mwanamme.
Ni kweli Pressure ita pandaLakini wakirudisha hela yetu. Tunaweza kuangalia.
 
Kimbunga kinachoanzia pale ulipo huwa ni kibaya sana kwa wengine ambao huwafikia baadaye kwani huwa kina nguvu.Haua mambo ni mabaya sana kwa nchi ambazo hazijafikiwa sasa.Nadhani Tanzania inahusika.
Fafanua kidogo mkuu. Sijakuelewa sentensu ya mwisho "Tanzania inahusika" Yaani ulitaka kusema nini?
Samahani lakini.
 
Yaani hilo likitokea tu wengi watakufa kwa pressure au kwa kuhara kwa woga. Hamna mstaafu wa Afrika atakayesalimika...mijizi tu
Watu wameifilisi nchi. Ukienda vijijini watu wanaishi maisha ya shida na tabu sana.
Hawa watu hawahitaji HURUMA.
 
Kimbunga kinachoanzia pale ulipo huwa ni kibaya sana kwa wengine ambao huwafikia baadaye kwani huwa kina nguvu.Haua mambo ni mabaya sana kwa nchi ambazo hazijafikiwa sasa.Nadhani Tanzania inahusika.
Kimbinga chaja huo ni ukweli. Tusubirini tu.
 
Mm naona ulianza vzr mwanzoni..ila ulipoanza tu kuiporomoshea misifa serikali ya awamu hii nikashangaa na kukuona mchumia tumbo!..hii serikali ndo itakuwa ya kwanza kustakiwa kutokana na vitendo vyake vya kibabe na maamuzi ya kukurupuka!Ufisadi mkubwa unaendelea kichinichini..kujenga uwanja Chato...kununua ndege zisizo na faida!..kashfa ya kutengeneza passport mpya!..haya yote ni uamuzi wa kukrupuka wa mtu moja!..mauaji na utekaji..haya yote yatafukuliwa awamu zijazo..Hakuna kupona hivi sasa wanachimba makaburi yao ili waje wazikwe...hili lipo wazi ..apende asipende..pingu na msoto wa jela unamsubiri kama anavyotesa wengine..yeye atauonja moto mkali zaidi na vibaraka wake!
Nimekumbuka tena.Mimisi mchumia tumbo. Bali mtumia maoni. Kama ni tumbo kila mtu ana lake.Hahaaaa!!
 
Zuma alishitakiwa akiwa rais kwa kutumia fedha za umma kukarabati jumba lake na mahakama ikatoa hukumu kuwa alipe. Hii ya jana wamefukua makaburi, hata huku kwetu wangefanya hivyo ingekuwa somo zuri kwa future presidents.

Vv
WOGA wetu ndo unaotuponza.
 
Una maoni gani mbadala?
Kinga ya kushitakiwa rais iondolewe kwenye katiba. Hapo tutapunguza idadi ya wanaoutafuta urais kwa udi na uvumba ili kujikinga na jinai walizofanya na kuleta uwajibikaji kwa wanasiasa na wote wanaotaka kukimbilia huko .

Mkuu SIKUBALIANI na hiyo.ISIPOKUWA kinga iondolewe na KUFAFANULIWA. Kwa mfano:
1.Rais HAWEZI kushitakiwa kwa MAKOSA yoyote yale yanyohusiana na UTENDAJI wa kazi zake za URAIS.
Kwa mfano KUSAMEHE mtu
Kumfunga mtu anyehatarisha usalama wa nchi
KUMFILISI MFISADI

Ama kama amri jeshi wa majeshi yetu yote ya ulinzi na Usalama akayaamrisha kuzuia VURUGU ama kuingia VITANI kulinda taifa na watu pengine wakauawa kwa bahati mbaya.Nk. nk. HAWEZI kushitakiwa.

2. ISIPOKUWA makosa yeyote ya KUTOTII KATIBA, mnaweza kupata rais MWIZI wa mali ya UMMA anaanza kujitajirisha na kutumia THIRD PARTY/washenga KAMA wapiga dili wake.
Akitoka madarakani ASHITAKIWE kama RAIA.

Ndo hayo ya ZUMA. Alimtumia sana huyu Muhindi anayeitwa GUPTA.
Sasa anashitakiwa si kwa makosa ya KIUTENDAJI kama rais mstaafu bali kama FISADI.

Hatuwezi kushitaki shitaki kiholela. Basi haitakuwa nchi tena rais atakuwa ana kazi gani basi???
Jambo kuu KATIBA ISIKIUKWE. Period.
 
Mkuu SIKUBALIANI na hiyo.ISIPOKUWA kinga iondolewe na KUFAFANULIWA. Kwa mfano:
1.Rais HAWEZI kushitakiwa kwa MAKOSA yoyote yale yanyohusiana na UTENDAJI wa kazi zake za URAIS.
Kwa mfano KUSAMEHE mtu
Kumfunga mtu anyehatarisha usalama wa nchi
KUMFILISI MFISADI

Ama kama amri jeshi wa majeshi yetu yote ya ulinzi na Usalama akayaamrisha kuzuia VURUGU ama kuingia VITANI kulinda taifa na watu pengine wakauawa kwa bahati mbaya.Nk. nk. HAWEZI kushitakiwa.

2. ISIPOKUWA makosa yeyote ya KUTOTII KATIBA, mnaweza kupata rais MWIZI wa mali ya UMMA anaanza kujitajirisha na kutumia THIRD PARTY/washenga KAMA wapiga dili wake.
Akitoka madarakani ASHITAKIWE kama RAIA.

Ndo hayo ya ZUMA. Alimtumia sana huyu Muhindi anayeitwa GUPTA.
Sasa anashitakiwa si kwa makosa ya KIUTENDAJI kama rais mstaafu bali kama KIFISADI.

Hatuwezi kushitaki shitaki kiholela. Basi haitakuwa nchi tena rais atakuwa ana kazi gani basi???
Jambo kuu KATIBA ISIKIUKWE. Period.

Mkuu, Rais hana mamlaka ya kipekee kuamuru nchi iingie vitani. Hilo la kinga kutokana na makosa ktk utendaji wake nakubaliana nawe na ndivyo ilivyo. Mengine yaliyosalia kama vile wizi, rushwa na jinai nyinginezo, hakuna sababu ya kinga, ndivyo ilivyo kwa wenzetu wenye demokrasia pevu wanafanya hivyo.

Vv
 
Mkuu hapo umekosea. Heshima si utumwa. Ni vizuri tuiheshimu taasisi ya URAISI hata kama hukubalini naye.
Ni MTANZANIA mwenzetu na wala si hivyo usemavyo.
Tujadili hoja badala ya matusi na kubezana. Ama vipi mkuu?

Nakumbuka wazee wa zamani wakisema punda akijamba kwa nguvu ujue kuna kipigo kimempata bila kujua. Na wewe fimbo imekupata ndiyo maana unahanyahanya.
 
Taasisi ya URAISI/PRESIDENCY, ni kiunganisho cha taifa.Hata kama hukubaliani naye.
Ndo ilivo.
Mambo ya punda sijui kafanya nini hayo ni yako
HESHIMA si UTUMWA
 
Mkuu, Rais hana mamlaka ya kipekee kuamuru nchi iingie vitani. Hilo la kinga kutokana na makosa ktk utendaji wake nakubaliana nawe na ndivyo ilivyo. Mengine yaliyosalia kama vile wizi, rushwa na jinai nyinginezo, hakuna sababu ya kinga, ndivyo ilivyo kwa wenzetu wenye demokrasia pevu wanafanya hivyo.

Vv
Tuko pamoja katika hilo ili kukuza demokrasia.
Napenda uchambuz iwako na mchango wako.
Hauna matusi wala dharau.
Hongera mkuu.
 
Tanzania hatuna shida sana na Viongozi wetu wastafu kama hizo nchi. Naomba wimbi la kushitaki viongozi waliobariki/walioua raia wasio na hatia kule Iraq, Cossovo, Libya, Palestine, Nagasaki, Syria, Yemen, Soweto, Vietinam n.k wapelekwe The Hague
Hatuko mbali sana sheria kuanza kubadilika na ngoma kuanza.
 
Back
Top Bottom