Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Mke wa Mugabe kilichomwokoa akiwemo Mugabe mwenyewe ni UMRI tu.

La sivyo huyo Grace mpiga dili za dhanabu amgekuwa kizimbani.Hawataki mzee aumie moyoni maana atakosa mtu wa kumsaidia.
 
Noted!
 
Inategemea na sheria ya nchi inasemaje juu ya watu hawa hata wanapoachia nyazifa zao za uongozi
 
upinzani ukishika dola Tanzania ex president atakayepona kibano labda ni mzee Ruksa pekee.
Unaakili sawasawa yaani upinzani ushike dola la Tanzania. Safiri nenda zanzibar kakutane wa waasisi wa CUF. Chagadema mnapoteza muda nendeni milimani mkafufue kahawa iwasaidie kiuchumi. Dola siyo saizi yenu
 
Unaakili sawasawa yaani upinzani ushike dola la Tanzania. Safiri nenda zanzibar kakutane wa waasisi wa CUF. Chagadema mnapoteza muda nendeni milimani mkafufue kahawa iwasaidie kiuchumi. Dola siyo saizi yenu
Duh! umesikika.
Nafikiri Mada hukuielewa.
 
Watu wameifilisi nchi. Ukienda vijijini watu wanaishi maisha ya shida na tabu sana.
Hawa watu hawahitaji HURUMA.
Si mnaye huko na mwezie. L&S sasa wadaini tu msitupigie kelele humu
 
Si mnaye huko na mwezie. L&S sasa wadaini tu msitupigie kelele humu
Mimi sihusikina hao unaowataja. Mada yangu ni huru na Kizalendo. Bila kumlenga mtu yeyote.
Mambo ya kuniambia "Si mnaye huko na mwenzie"Halafu neno "MSITUPIGIE kelele"
Una maana gani. Ni mimi na nani?
Nitashikuru ukinijibu.
Shukurani.
 
Nakumbuka wazee wa zamani wakisema punda akijamba kwa nguvu ujue kuna kipigo kimempata bila kujua. Na wewe fimbo imekupata ndiyo maana unahanyahanya.
Nashukuru kwa kunielewa kama nilivyosema kuwa mimi ni mimina a wao ni wao!!!
Shukrani.
 
Kwa wananchi wa kawaida ukiwambia Magufuli ni MBAYA watakuona wewe hauko sawa sawa. Maana KOROSHO zimepata SOKO na kwa bei nzuri. Nk nk.
Kama Korosho zimepata soko tamu hivyo, Mb Nape Nnauye aingelalamika Bungeni juzi..
Kwa Serikali hii, na chama hiki cha kuminya uhuru wa habari, tutalishwa matango pori kila siku..
 

Kama ilivyo mbali mbingu na ardhi, vivyo hivyo huu ushauri na ccm. Katika nchi ambayo mahakama na bunge havipo huru sahau kabisa hilo bwasheee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…