Young Warlock
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 328
- 111
atakayepinga hili.....sitafatilia tena mchango wake humu JF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nyinyi mna akili!!Bawacha bhana..mnalialia tuu..
Salary huu umungu aliopewa Mtukufu, hakuna wa kuwa na wazo hiloIli kuleta uwajibikaji kuanzia Ikulu mpaka ofisi ya serikali mtaa, nawashauri wabunge wa CCM na wale wa UKAWA kuungana pamoja na kuifutilia mbali kinga ya Raisi.
Marekebisho hayo pia yaruhusu hata maraisi waliostaafu huku wakiwa na hii kinga nao waweze kushitakiwa iwapo kutakuwa na tuhuma zinazowahusu na zinazostahili wao kufikishwa mahakamani.
Ni matumaini yangu kuwa Magufli atakuwa wa kwanza kuunga mkono hoja/hatua hii kama kweli anaamini katika usawa na anataka kuridisha nidhamu serikalini.
Tujifunze kutoka Afrika kusini kwani inawezekana watu aina ya Zuma waliwahi ishi pale magogoni au wakaja kuishi siku zijazo.
NB:Nimeleta habari kuunga mkono wazo la mwandishi,Prudence Karugendo katika makala yae katika gazeti la Mwanahalisi la leo ukurasa wa 14.Makala hiyo mwandishi ameipa kichwa cha habari kinachosomeka: "JPM atumbue kinga ya maraisi wastaafu."
Tofauti na alivyopendekeza mwandishi Karugendo,mimi nimeona ni vizuri jukumu hili likafanywa na Bunge ili kumtomjenga raisi uadui unaoweza kujitokeza baina yake na watangulizi wake.
Ni ujinga tu huu.Iweje nchi zilizoendelea maraisi wao wanashitakiwa alafu sisi nchi ombaomba maraisi hawaguswi ili hali kila kukicha wanatuhmiwa?Salary huu umungu aliopewa Mtukufu, hakuna wa kuwa na wazo hilo
Sslary huu umungu tunaompa Mtukufu nadhani humu JF kuna watu akisema mimi ndiye baba yako watawakana baba zao. Kufikiri kumekufa kuwa presidents are not infallibleNi ujinga tu huu.Iweje nchi zilizoendelea maraisi wao wanashitakiwa alafu sisi nchi ombaomba maraisi hawaguswi ili hali kila kukicha wanatuhmiwa?
Kwani alichomeka?hapo JK achomoi
Ili kuleta uwajibikaji kuanzia Ikulu mpaka ofisi ya serikali mtaa, nawashauri wabunge wa CCM na wale wa UKAWA kuungana pamoja na kuifutilia mbali kinga ya Raisi.
Marekebisho hayo pia yaruhusu hata maraisi waliostaafu huku wakiwa na hii kinga nao waweze kushitakiwa iwapo kutakuwa na tuhuma zinazowahusu na zinazostahili wao kufikishwa mahakamani.
Ni matumaini yangu kuwa Magufli atakuwa wa kwanza kuunga mkono hoja/hatua hii kama kweli anaamini katika usawa na anataka kuridisha nidhamu serikalini.
Tujifunze kutoka Afrika kusini kwani inawezekana watu aina ya Zuma waliwahi ishi pale magogoni au wakaja kuishi siku zijazo.
NB:Nimeleta habari kuunga mkono wazo la mwandishi,Prudence Karugendo katika makala yae katika gazeti la Mwanahalisi la leo iliyoko katika ukurasa wa 14 wa gazeti hilo.Makala hiyo mwandishi ameipa kichwa cha habari kinachosomeka: "JPM atumbue kinga ya maraisi wastaafu."
Tofauti na alivyopendekeza mwandishi Karugendo,mimi nimeona ni vizuri jukumu hili likafanywa na Bunge ili kumtomjenga raisi uadui unaoweza kujitokeza baina yake na watangulizi wake.
Hawawezi kuondoa kwani kipenzi chao mstaafu kitamgusa hiyo sahau.Ili kuleta uwajibikaji kuanzia Ikulu mpaka ofisi ya serikali mtaa, nawashauri wabunge wa CCM na wale wa UKAWA kuungana pamoja na kuifutilia mbali kinga ya Raisi.
Marekebisho hayo pia yaruhusu hata maraisi waliostaafu huku wakiwa na hii kinga nao waweze kushitakiwa iwapo kutakuwa na tuhuma zinazowahusu na zinazostahili wao kufikishwa mahakamani.
Ni matumaini yangu kuwa Magufli atakuwa wa kwanza kuunga mkono hoja/hatua hii kama kweli anaamini katika usawa na anataka kuridisha nidhamu serikalini.
Tujifunze kutoka Afrika kusini kwani inawezekana watu aina ya Zuma waliwahi ishi pale magogoni au wakaja kuishi siku zijazo.
NB:Nimeleta habari kuunga mkono wazo la mwandishi,Prudence Karugendo katika makala yae katika gazeti la Mwanahalisi la leo iliyoko katika ukurasa wa 14 wa gazeti hilo.Makala hiyo mwandishi ameipa kichwa cha habari kinachosomeka: "JPM atumbue kinga ya maraisi wastaafu."
Tofauti na alivyopendekeza mwandishi Karugendo,mimi nimeona ni vizuri jukumu hili likafanywa na Bunge ili kumtomjenga raisi uadui unaoweza kujitokeza baina yake na watangulizi wake.
Mie napinga, nachosema watete mchakato mpya wa katiba mpya, vyote hivyo vitajibiwa humo. Kutoa kinga ya rais bado haijatatua tatizo la Dira la taifa letu i-wapiatakayepinga hili.....sitafatilia tena mchango wake humu JF
Kumbuka bunge linweza kumwondolea kinga Rais mstaafu.Ili kuleta uwajibikaji kuanzia Ikulu mpaka ofisi ya serikali mtaa, nawashauri wabunge wa CCM na wale wa UKAWA kuungana pamoja na kuifutilia mbali kinga ya Raisi.
Marekebisho hayo pia yaruhusu hata maraisi waliostaafu huku wakiwa na hii kinga nao waweze kushitakiwa iwapo kutakuwa na tuhuma zinazowahusu na zinazostahili wao kufikishwa mahakamani.
Ni matumaini yangu kuwa Magufli atakuwa wa kwanza kuunga mkono hoja/hatua hii kama kweli anaamini katika usawa na anataka kuridisha nidhamu serikalini.
Tujifunze kutoka Afrika kusini kwani inawezekana watu aina ya Zuma waliwahi ishi pale magogoni au wakaja kuishi siku zijazo.
NB:Nimeleta habari kuunga mkono wazo la mwandishi,Prudence Karugendo katika makala yae katika gazeti la Mwanahalisi la leo iliyoko katika ukurasa wa 14 wa gazeti hilo.Makala hiyo mwandishi ameipa kichwa cha habari kinachosomeka: "JPM atumbue kinga ya maraisi wastaafu."
Tofauti na alivyopendekeza mwandishi Karugendo,mimi nimeona ni vizuri jukumu hili likafanywa na Bunge ili kumtomjenga raisi uadui unaoweza kujitokeza baina yake na watangulizi wake.
Ndio maana nimependekeza hiyo hoja ianzie Bungeni badala ya hoja hii kuanzia serikalini.Kumbuka bunge linweza kumwondolea kinga Rais mstaafu.
Katiba ya sasa ipo wazi kwenye hilo. Inaweza kupelekwa hoja ya kuondoa kinga ya Rais mstaafu ili ashitakiwe. Zambia walishawahi kufanya hivyo kwa short chassis Chiluba.Ndio maana nimependekeza hiyo hoja ianzie Bungeni badala ya hoja hii kuanzia serikalini.