Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Hivi Lijualikali amesema mawaziri wakuu kama wanahusika wasishtakiwe. Kweli kiwango cha ufahamu cha supika kimeathirika. Hoja nyeupe majibu meusi? Kwa hiyo kinachofanya Marais wastaafu wasishtakiwe ni kutokana na huruma kwa Mawaziri wakuu?
 
Dodoma. Spika wa Bunge, Job Ndugai amewakumbusha wabunge wa upinzani wanaotaka marais wastaafu washtakiwe kuhusu sakata la mchanga wa madini, wakumbuke wanao mawaziri wakuu wastaafu wawili ambao watahusika pia.
Chanzo: Mwananchi

Unaona jinsi gani Tanzania tumefikia kuwa na akili ndogo sana (akili ndogo mamlaka makubwa)? Watu tunaongelea kuwawajibisha viongozi kwa makosa makubwa yaliyotangulia, Speaker mzima, anatoa comment zisizo na mshiko kama hi!!! Kwani kama hao Mawaziri waliotangulia wana makosa kwa nini wasishitakiwe wawe CCM au upinzani?

Kwa nini mtu mzima kama Ndugai anadhani kila upnzani wakiongea ni kwa ajili ya kutetea maslahi yao na kukandamiza CCM? How can a person like Ndugai think in such an impotent manner?!? Labda matusi anayotukanwa yanastahili, kama kweli ametoa comment hama hiyo na yeye ni Speaker.

Yaani Ndugai anaona point ya kuwashitaki viongozi waliopita ni point dhidi ya CCM sio taifa? Aliyesema wastaafu waliohamia upinzani wasishitakiwe nani? Kwa nini unaleta uvyama kwenye comment zinazotolewa kwa maslahi ya taifa, na wewe ndio Speaker?

Kwa hili Ndugai amedhihirisha wazi hana uwezo, busara wala akili ya kuwa Speaker.
 
Ndugai amesema hayo leo (Jumanne) bungeni baada ya mchango wa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali kusema haiwezekani mawaziri na watendaji wengine wa Serikali wakafanikisha mikataba mibovu ya madini bila ridhaa ya Rais.

Dodoma. Spika wa Bunge, Job Ndugai amewakumbusha wabunge wa upinzani wanaotaka marais wastaafu washtakiwe kuhusu sakata la mchanga wa madini, wakumbuke wanao mawaziri wakuu wastaafu wawili ambao watahusika pia.

Ndugai amesema hayo leo (Jumanne) bungeni baada ya mchango wa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali kusema haiwezekani mawaziri na watendaji wengine wa Serikali wakafanikisha mikataba mibovu ya madini bila ridhaa ya Rais.

"Haiwezekani mzee wangu (Andrew) Chenge na (Nazir) Karamagi walipitisha mikataba hiyo bila Rais aliyekuwapo kufahamu. Kinga ya Rais kushtakiwa iondolewe ili wahojiwe," amesema Lijualikali.

Baada ya hoja hiyo ya Lijualikali inayofanana na ya Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche, Ndugai aliwakumbusha juu ya mawaziri wastaafu walionao kwenye chama chao.

"Mabadiliko mnayoyataka yakipitishwa na viongozi mlionao wakikamatwa msije mkalalamika tena," amesemaNdugai.

Chanzo: Mwananchi

Yeye pia hawezi kupona.

Hakuna msafi kwenye hilo.

Inashangaza kuona mbunge kutoka CCM anasimama na kusifu haya yanayofanywa na JPM leo wakati wao ndio waliopitisha hiyo mikataba mibovu.
 
Wote poleka mahakamani tuanze upya hawa wazee tusha wa choka sasa watuachie ss vijana wakat Wao umeisha kabisa.... kuanza upya sio ujinga
 
Hahaaa eti wanamtafuta Rowasa sasa msumeno umewawahi wakileta mbinu ya mawaziri wakuu na Raisi pia atashtakiwa magufuri anacheza kamari za hatari ambazo matokeo yake hatuta yaona sasa ila nachoamini kamali hii ni ya hatari sana wa kuipunga makali ni ndugai spika.
 
Ndugai amesema hayo leo (Jumanne) bungeni baada ya mchango wa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali kusema haiwezekani mawaziri na watendaji wengine wa Serikali wakafanikisha mikataba mibovu ya madini bila ridhaa ya Rais.

Dodoma. Spika wa Bunge, Job Ndugai amewakumbusha wabunge wa upinzani wanaotaka marais wastaafu washtakiwe kuhusu sakata la mchanga wa madini, wakumbuke wanao mawaziri wakuu wastaafu wawili ambao watahusika pia.

Ndugai amesema hayo leo (Jumanne) bungeni baada ya mchango wa Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali kusema haiwezekani mawaziri na watendaji wengine wa Serikali wakafanikisha mikataba mibovu ya madini bila ridhaa ya Rais.

"Haiwezekani mzee wangu (Andrew) Chenge na (Nazir) Karamagi walipitisha mikataba hiyo bila Rais aliyekuwapo kufahamu. Kinga ya Rais kushtakiwa iondolewe ili wahojiwe," amesema Lijualikali.

Baada ya hoja hiyo ya Lijualikali inayofanana na ya Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche, Ndugai aliwakumbusha juu ya mawaziri wastaafu walionao kwenye chama chao.

"Mabadiliko mnayoyataka yakipitishwa na viongozi mlionao wakikamatwa msije mkalalamika tena," amesemaNdugai.

Chanzo: Mwananchi
Eti mawaziri wakuu watahusika pia ,kwani kaambiwa wanakinga za kutoshitakiwa ?kama wariharibu wangeshatajwa na kamati ,anatishia nyau watu wazima
 
Wote Waliohusika wahojiwe na kushatakiwa, haijalishi yuko chama gani. Wooote waliokuwepo kwenye cabinet na wanasheria wote waliohusika!
 
safi
Wote tu waliohusika washtakiwe kama ni wa MACCM au waliohamia Chadema. Kama walihusika kwa namna moja au nyingine basi hakuna jinsi.[/QUOTsafi kabisa..iwe ama tuwaache wote tuanze upya kama taifa,au wote bila kujali nafasi yake alipe gharama za udhalimu alioufanya.
 
Unaona jinsi gani Tanzania tumefikia kuwa na akili ndogo sana? Watu tunaongelea kuwawajibisha viongozi kwa makosa makubwa yaliyotangulia, speaker mzima, anatoa comment zisizo na mskiko kama hi11! Kwani kama hao Mawaziri waliotangulia wana makosa kwa nini wasishitakiwe?

Kwa nini mtu mzima kama Ndugai anadhani kila upnzani wakiongea ni kwa ajili ya kutetea maslahi yao na kukandamiza CCM? How can a person like Ndugai think in such an impotent manner?!? Labda matusi anayotukanwa yanastahili, kama kweli ametoa comment hama hiyo.

Yaani Ndugai anaona point ya kuwashitaki viongozi waliopita ni point dhidi ya CCM sio taifa? Aliyesema wastaafu waliohamia upinzani wasishitakiwe nani? Kwa nini unaleta uvyama kwenye comment zinazotolewa kwa maslahi ya taifa, na wewe ndio Speaker?

Kwa hili Ndugai amedhihirisha wazi hana uwezo, busara wala akili ya kuwa Speaker.
Mkuu, kwa macho yangu nilimuona Job Ndugai TBC akisema kuwa anawashangaa sana CDM kwa kushindwa 'kutoa fursa' kwa damu changa EALA na badala yake kuwapeleka watu wakongwe.

Kwa comment ile ya Ndugai mimi niliishiwa nguvu. Yaani, kwa mujibu wa mtu mzima na akili zake, UBUNGE WA EALA NI KITU CHA KUPEANA FURSA NDANI YA CHAMA NA SI UWAKILISHI KWA MASLAHI YA NCHI! Kama huyo ndio speaker wa bunge letu, kuna ajabu ipi the rest kuwa waitikia NDIOOOOOO wakisahau wajibu wao kama wawakilishi na kujidhani ni sehemu ya serikali ambayo wao wanapaswa kuisimamia?
 
Back
Top Bottom