Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ukitaka kujua kuwa hana kinga ahamie upinzani alafu atukane hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana kinga yoyote ile , kinga ilikuwa alipokuwa kiongozi , baaasiiii !!!!!Nataka kuwasiliana na mwanasheria wangu nione jinsi gani naweza kumfungulia mashtaka BM kwa kutukana. Na Fanya hivyo kwa niaba ya Watanzania tuliotukanwa.
Ila nijue kwanza, jee baada ya kukabidhi ofisi bado ana Kinga dhidi ya makosa ya jinai na madai?
Nataka niiombe mahakama pia izuie asilipwe pension yake kwa kuwaita hao wanaomlipa kwa kodi zao wapumbavu.
Mkuu nafungua kwa niaba ya wote tuliokerwa na matusi. Tutanyamaza mpaka lini? wakati ule tulichukulia kuwa ni mihemko ya kampeni ambayo kila mtu anaweza kusema lolote, lakini sasa basi! unless kama sio tusi basi nasi tuliseme hadharani kwake na kwa viongozi waliopo.fungua tuu ndugu hiyo kesi
Unanifahamu?hata hii post umeandika kimihemko, believe me huwezi hata kuthubutu kwenda kufungua hiyo kesi
Kama ndio msimamo wako nakushauri upige tu kura ya hapana.Waachwe wazee wapumzike!
Hivi kweli mkapa aliposema wapumbavu,alikutaja jina lako? wewe kweli ndo mlipa kodi au unajisemea tu,nafikiri hii ya kuwawekea kinga ni nzuri maana kuna watu wanaweza kutuma chuki binafisi dhidi ya hawa viongozi ili kuwakandamiza wanapomaliza vipindi vyao vya uongozi japo na wao pia wanatakiwa kuongoza katika misingi ya utawala bora,ili kuondoa wasiwasi kwa wananchiNataka kuwasiliana na mwanasheria wangu nione jinsi gani naweza kumfungulia mashtaka BM kwa kutukana. Na Fanya hivyo kwa niaba ya Watanzania tuliotukanwa.
Ila nijue kwanza, jee baada ya kukabidhi ofisi bado ana Kinga dhidi ya makosa ya jinai na madai?
Nataka niiombe mahakama pia izuie asilipwe pension yake kwa kuwaita hao wanaomlipa kwa kodi zao wapumbavu.
Manung'uniko na mijadala mingi imeonekana ikisema Mheshimiwa Rais Mstaafu angefaa kupelekwa mahakamani, na wengine hudiriki kusema 'angestahili kuozea jela'.
Jambo ambalo najiuliza hata akiondolewa kinga,je katiba inaruhusu rais mstaaf kushtakiwa?
na kama inaruhusu, DPP atamshtaki kwa kosa gani na lililopo katika sheria ipi?, Je ushaidi upo wakutosha?
Adhabu ya makosa au kosa hilo ni ipi?, kifungo au fine?
je na kama kinga yakatiba ikitolewa itakua applied retrospectively?yani namaanisha itamgusa Mpaka Rais mwinyi au ni kwa marais wanaofuatia?
Dhumuni lakuuliza maswali haya ni kwasababu inaonekana kama jamii ya Kitanzania tunashabikia tu kwakusema Mkapa apelekwe mahakamani bila ya kusema kwa kosa lipi na lililokatika sheria ipi, na kujua ugum wa kikatiba unaomlinda. Si maanishi kusema tu Kiwira, la hasha hiyo haitoshi. Si maanishi kufungua kampuni ikulu, tunaweza kusema hayo yote, lakini cha muhimu sheria zetu zinasemaje kuhusu mambo kama hayo? na process yake ikoje ya kikatiba?kama nilivyouliza hapo juu.
Naomba tujadili bila matusi au shutuma.
Asanteni.