Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Siasa bhana! sasa mbona upinzani nao waliimba bungeni wanaimani na JK pamoja na BEN! huu nao tuuite unini..?
 
Kwa yeyote anayeingana na thread hii ni wazi ni KUKU
 
Waliopongeza habari za wapinzan kuimba wanaiman na bm na jk tuwaitaje?

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
 
Kwintara Kwinyira amezindua kampeni yake (Social media campaign) ya kupinga UKUKU nchini. UKUKU means Umoja wa Kukubali kila kitu bila Kuhoji. Kuna watu kazi yao ni kuunga mkono kila kitu ili mradi kimesemwa na kiongozi wake.

Tabia hii imeshamiri sana kwa wafuasi wa CCM. They dont reason at all. Ila mradi kiongozi kasema wao ni NDIOO.

Godbless Lema anasema tatizo sio wao, tatizo ni akili zao. UTG wanaita huo ni uzwazwa, lakini Kwinyara anasema ni UKUKU. Kukubali kila kitu bila kuhoji ni UKUKU.

Watu walewale waliosema JK aongezewe muda, kwa kuwa amesaidia sana taifa, ndio haohao wanaokazana sasa JPM aongezewe muda na kusema JK aliharibu nchi. UKUKU.!

Watu walewale wanaoshangilia viongozi wa upinzani wakikamatwa kwa kufanya mikutano ya siasa, ndio haohao wanaoshangilia CCM ikifanya mikutano. UKUKU.!

Watu walewale wanaopitisha mrabaha wa 04% kwa makofi na kusema unatosha, huku wakiwazomea wapinzani waliposema hautoshi, ndio haohao wanaoshangilia kufikishiwa 06%. Mnashangiliaje kupandishwa kwa kitu mlichosema kinatosha? UKUKU.!

Na kwa sasa wapinzani wanasema 06% hazitoshi, wao wanasema inatosha. Akija Rais baada ya JPM akaziongeza tena watashangilia na kumuita mzalendo. UKUKU.!

Watu walewale walioshangilia Ngeleja kurudisha hela TRA ndio haohao wanaoshangilia TRA kuzikataa. UKUKU.!

Walioshangilia JK aliposema pesa za Escrow si za umma, ndio haohao wanaomshangilia JPM kusema pesa zilikua za umma. UKUKU.!

Nchi hii imeharibiwa na hawa KUKU. Kila kitu wanakubali tu bila kuhoji. Kataa UKUKU, kataa kuwa KUKU, kataa viongozi MAKUKU.!

U = Umoja wa
KU = kukubali kila kitu bila
KU = kuhoji.

Tuma kwa watanzania wengi kadri uwezavyo, wajue KUKU wanaoharibu nchi yao. Tusiwaachie kuku nchi yetu. Kataa UKUKU kwa nguvu zote, kataa kuwa KUKU, kataa viongozi MAKUKU.!

View attachment 550727

Watakuwa na ''kukuyosis syndrome''
 
kuna watu wamechachamaa wanataka maghufuli awashuglikie marais wastaafu wakati katiba yetu inakataza, si ndo kuvunja katiba huku au? wale walio chini ya uwezo wake yupo anawashuglikia na mnawatetea kuwa waliagizwa. natambua fika kuwa kila mtu ana haki ya kujiuzulu anapoona rais anamwelekeza kazi itakayomchafua. ndio maana kipindi cha nyuma maghufuli aliandika barua kujiuzulu baada ya kikwete kuingilia majukumu yake ya bomoabomoa. hapa tudai katiba mpya itakayompa uwezo wa kuwashughulikia na marais wastaafu. UKAWA iendeleze mapambano ya katiba mpya sio kupinga vilivyo halali ,
 
Kudharaulika kwa mahakama kunatokana na kinga ya rais,kinga ya rais kutokushitakiwa inachangia sana kudharaulika kwa mahakama
Nchini tanzania,sasa hivi mahakama imefanywa kama takataka,nitatoa mfano kudhibitisha tuhuma nilizozitoa kuhusu mahakama kufanywa takataka

Mfano (1)
Tanroard wamebomoa nyumba za wakazi wa kimara wakati kuna zuio la mahakama,hii ni zarauuuuu kubwa sana kwa mahakama zetu,chombo cha serekali kukataa kutii na kutekeleza amri halali ya mahakama nashindwa hata kuelezea,na kuamini kama kweli

Mfano (2)
Mh sumaye waziri mkuu mstaafu wa jamhuri ya muungano wa tanzania mashamba yake yana zuio la mahakama,lkn amenyanganywa mashamba yake kukiwa kuna amri halali ya zuio la mahakama,hivi ni mifano gani watanzania wanataka kupewa ili wajue mahakama yetu imedharaulika
Rudia maamuzi ya rufaa ya kesi ya mbunge wa arusha mjini,majaji walisema serekali inanajisi sheria

Wako wapi kina jaji warioba,wako wapi majaji wetu wastaafu,jaji Ramadhani,jaji barnaba samata,jaji bomani,na majaji wengine wastaafu?
Liko wapi baraza la maaskofu,liko wapi jukwaa la wakristu tanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudharaulika kwa mahakama kunatokana na kinga ya rais,kinga ya rais kutokushitakiwa inachangia sana kudharaulika kwa mahakama
Nchini tanzania,sasa hivi mahakama imefanywa kama takataka,nitatoa mfano kudhibitisha tuhuma nilizozitoa kuhusu mahakama kufanywa tata
Mfano (1)
Tanroard wamebomoa nyumba za wakazi wa kimara wakati kuna zuio la mahakama,hii ni zarauuuuu kubwa sana kwa mahakama zetu,chombo cha serekali kukataa kutii na kutekeleza amri halali ya mahakama nashindwa hata kuelezea,na kuamini kama kweli
Mfano (2)
Mh sumaye waziri mkuu mstaafu wa jamhuri ya muungano wa tanzania mashamba yake yana zuio la mahakama,lkn amenyanganywa mashamba yake kukiwa kuna amri halali ya zuio la mahakama,hivi ni mifano gani watanzania wanataka kupewa ili wajue mahakama yetu imedharaulika
Rudia maamuzi ya rufaa ya kesi ya mbunge wa arusha mjini,majaji walisema serekali inanajisi sheria
Wako wapi kina jaji warioba,wako wapi majaji wetu wastaafu,jaji Ramadhani,jaji barnaba samata,jaji bomani,na majaji wengine wastaafu?
Liko wapi baraza la maaskofu,liko wapi jukwaa la wakristu tanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
A very good article. Ebu iandikie makala comprehensive kwenye gazeti la maana kama mwananchi, Citizen!
 
Back
Top Bottom