MPBA halisi
Member
- Aug 22, 2017
- 20
- 10
Lendila salute kwako babaa.. njoo Pemba nikupe zawadi ya marashi yakarafuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejiridhisha kuwa nyumba zilizobomolewa zina zuio au unafuata mkumbo wa magazetini tuTanroard wamebomoa nyumba za wakazi wa kimara wakati kuna zuio la mahakama,hii ni zarauuuuu kubwa sana kwa mahakama zetu,chombo cha serekali kukataa kutii na kutekeleza amri halali ya mahakama nashindwa hata kuelezea,na kuamini kama kweli
Ushawahi kuona hata mfano wa zuio la mahakama?unajua kuwa lina muda maalumMh sumaye waziri mkuu mstaafu wa jamhuri ya muungano wa tanzania mashamba yake yana zuio la mahakama,lkn amenyanganywa mashamba yake kukiwa kuna amri halali ya zuio la mahakama,hivi ni mifano gani watanzania wanataka kupewa ili wajue mahakama yetu imedharaulika
Rudia maamuzi ya rufaa ya kesi ya mbunge wa arusha mjini,majaji walisema serekali inanajisi sheria
ikiwa aridhi ni mali ya serikali kwa nini ikikutwa mmea wa bangi serikali hukana umiliki wake ?Umejiridhisha kuwa nyumba zilizobomolewa zina zuio au unafuata mkumbo wa magazetini tu
Ushawahi kuona hata mfano wa zuio la mahakama?unajua kuwa lina muda maalum
Ningekushauri ungejielekeza kwenye kesi husika ukapata data za kina kabla ya kufungua thread na kulaumu kinga ya Rais huku ukisahau kuwa ardhi ni mali ya serikali wewe unakodishwa tu.Kasome sheria ya ardhi dada utapata uelewa mpana
Tunaongelea ardhi sio bangi,wewe vipi?ikiwa aridhi ni mali ya serikali kwa nini ikikutwa mmea wa bangi serikali hukana umiliki wake ?
nadhani kiswahili kigumu ,Tunaongelea ardhi sio bangi,wewe vipi?
Mbona wakati wa kikwete walikuwa wanatoa matamko kila mwaka?kulikoni utawala huu wako kimya sana?Baraza la Maaskofu na Jukwaa la kikristo wako busy kumuombea ili aendelee kuwa alivyo.
Badala ya kumuomba Mungu amoe hekima ya kuwa kiongozi na sio mtawala. Ina ukakasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakuja ndugu yangu wapemba wanaakili sanaLendila salute kwako babaa.. njoo Pemba nikupe zawadi ya marashi yakarafuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini serekali ikatae amri halali ya mahakama?Ukumbuke pia mahakamani ndio kunaongoza kwa rushwa ikifuatiwa na polisi, usishangae kuona inapuuzwa na serikali ata na wananchi wa kawaida. Kwa nakupa mfano mmoja. ivi karibuni mahakama imeamuru kulipwa kwa mabilioni ya fedha kwa kampuni iliotengeza ARV feki. Na mkuu amesema ivo pesa halipi je hapa utasemaje wapewe au wanyimwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana kuna vyombo vingine vya dola vya kufuatilia RUSHWA . . , WIZI . . , na wakwepa KODI . .
Likifanikiwa hili lazima limkute la yule wa Romania wakati uleKatika nchi yetu kuna sheria za ajabu sana, mojawapo ni hii ya kumlinda Rais Mstaafu kutokana na makosa aliyoyafanya akiwa Rais. Habari juu ya Ufisadi uliofanyika katika awamu ya tatu ya Uongozi wa nchi yetu ni dira tosha ya kutufanya tufikirie upya juu ya Kinga ya Rais Mstaafu ya kutoshitakiwa.
Kashfa za kufanya biashara akiwa Ikulu, Wizi wa Mgodi wa Kiwira uliokuwa na thamani ya mabilioni ya shilingi kwa Mkapa-Yona kujiuzia kwa shilingi milioni 700 tu, Uundaji wa Kampuni za wizi na utapeli za Meremeta na Tangold, Wizi wa EPA BoT na Ujenzi wa Twin Towers za BoT, Ubinafsishaji wa NBC kwa Bei ya kutupa,Ununuzi wa Rada kwa bei ya kuruka, Ununuzi wa ndege ya Rais kwa gharama ya Watanzania "kula nyasi" na nyinginezo ni sababu za kutosha kabisa za kutufnaya Watanzania kupigania kuondolewa kwa sheria ya kinga inayomlinda Raisi mstaafu kutoshiotakiwa kwa wizi, ubadhirifu na Ufisadi aliofanya Rais Mstaafu wakati akiwa madarakani.
Sheria ya Kinga ni Msingi mkuu wa Ufisadi na Utawala wa hovyohovyo kwa gharama za Watanzania kama kashfa hizo nilizotaja hapo juu zilivyotugharimu Kiuchu na Kimaadili. Kuvuja kwa Habari za juzi kuhusu Utajiri wa Waziri Chenge kumiliki dola milioni moja katika akaunti nje ya nchi ni ushuhuda mwingine juu ya Sheria hii Fisadi ambayo inaweka misingi ya Wizi na Uhujumu wa mali ya Umma kwa hasara ya Wananchi wa Tanzania. Hebu tujiulize; Je, itawezekana kumshitaki Chenge aliyekuwa MWanasheria Mkuu wakati wa Mkapa bila kumgusa Mkapa (ambaye sheria inamkinga dhidi ya kushitakiwa?), Tunaweza kumshitaki Daniel Yona kwa kujiuzia Kiwira kwa bei ya bure bila kumshitaki Mkapa ambaye ni "Mjasiriamali" na Mbia mwenzake? KAtika haya mawili haiwezekani kutenda haki maana haiyumkiniki na ni vigumu sana kuwatia watu hawa hatiani (Yona na Chenge) na kumwachia huru Mkapa ambaye ama alishirikiana nao au alishindwa kuwajibika kwa Makusudi na kuwaachia "Wajasiriamali" na Mafisadi kama Chenge kujineemesha kupitia mikataba hewa na feki ambayo naamini kuwa Aliisaini kwa ahadi ambazo ndizo leo imemfanya Chenge kutuhumiwa kuwa na USD Milioni 1 kwenye akaunti zake nje ya nchi!
Kuondolewa kwa shria hii Fisadi, pia kutasaidia kupunguza idadi ya Wagombea urais ambayo wakati wa kinyam]ng'ang'anyioro cha kwenda kugombe Urasi huwa kunakuwa na orodha ndefu ya watu wanaotaka kuwa Marais maana wanajua fika kuwa wakipata nafasi hiyo Ufisadi wao hautakumbukwa milele. Hii itatusaidia kuwa na Wagombea safi na wnaojiamini kuwa ni Waadilifu na ni safi.
Wito wangu kwa Viongozi wa Dini, NGOs, Wananchi, Wabunge na Wanaharakati wengine ni kuwa wakati umefika wa Kushinikiza kufutwa kwa sheria FISADI inayomkinga Rais dhidi ya Rais Mstaafu. Tuanze sasa na ikiwezekana hata kutumia Mahakama ili sheria hiyo iondolewe haraka na kabla hatujapata Rais wa Awamu ya Tano.
Tukifanikiwa kuondoa sheria hiyo Fisadi, tuanze na Mkapa ambaye ndiye chimbuko, Founder na Pioneer wa Ufisadi tunaouona sasa na unaotula kama kansa Watanzania.
Huku ni kuisigina katiba yetu hadharani . . , na yeye aliapa kuilinda, na mwenye jeuri hii ni mmoja tuu . . !
Wakati unakula huruhusiwi kuongea. Maintain table manners!Kudharaulika kwa mahakama kunatokana na kinga ya rais,kinga ya rais kutokushitakiwa inachangia sana kudharaulika kwa mahakama
Nchini tanzania,sasa hivi mahakama imefanywa kama takataka,nitatoa mfano kudhibitisha tuhuma nilizozitoa kuhusu mahakama kufanywa takataka
Mfano (1)
Tanroard wamebomoa nyumba za wakazi wa kimara wakati kuna zuio la mahakama,hii ni zarauuuuu kubwa sana kwa mahakama zetu,chombo cha serekali kukataa kutii na kutekeleza amri halali ya mahakama nashindwa hata kuelezea,na kuamini kama kweli
Mfano (2)
Mh sumaye waziri mkuu mstaafu wa jamhuri ya muungano wa tanzania mashamba yake yana zuio la mahakama,lkn amenyanganywa mashamba yake kukiwa kuna amri halali ya zuio la mahakama,hivi ni mifano gani watanzania wanataka kupewa ili wajue mahakama yetu imedharaulika
Rudia maamuzi ya rufaa ya kesi ya mbunge wa arusha mjini,majaji walisema serekali inanajisi sheria
Wako wapi kina jaji warioba,wako wapi majaji wetu wastaafu,jaji Ramadhani,jaji barnaba samata,jaji bomani,na majaji wengine wastaafu?
Liko wapi baraza la maaskofu,liko wapi jukwaa la wakristu tanzania?
Sent using Jamii Forums mobile app
swadakta mkuu .Hakuna Mtanzania yeyote anayestahili kuwa juu ya sheria pamoja na Rais wa Tanzania. Katiba yetu ina mapungufu mengi sana hata Mzee Warioba ameshatamka kwamba kuna umuhimu mkubwa wa kuandika katiba mpya. Na kwa maoni yangu hiki kipengele chenye kinga ya Rais kutoshtakiwa kwa yale aliyoyafanya alipikuwa Rais inabidi kiondolewe. Hatuwezi kuwa na Marais mafisadi kama Mkapa wanafanya biashara wakiwa Ikulu wanaiba rasilimali za Watanzania mchana kweupe, halafu wasifunguliwe mashtaka na kufilisiwa kwa ufisadi walioufanya walipokuwa madarakani.
Tunataka viongozi waadilifu ambao wanagombea nafasi za juu za uongozi ili kuwatumikia Watanzania kwa moyo mmoja, na siyo mafisadi ambao wanataka kutumia nyadhifa tulizowakabidhi kujitajirisha wao, familia zao, marafiki na jamaa zao.