Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

ni kweli kabisa,hapo bado maraisi wanaoishi kama ndezi katikati ya mbwa mwitu baada ya kuachishwa madaraka,akina Yahaya Jameh wanaficha magari hadi porini,akina Mugabe umaarufu umetoweka ghafla baada ya kuondolewa madarakani kabila kila leo anakaliwa kooni nk,bado hapa kwetu wanahofia nini kitatokea siku katiba ikibadilika,matokeo wanatumia nguvu kubwa kuvuruga mchakato wa katiba mpya,siku zinabadilika sana,sura ya ulimwengu inabadilika sana kadri siku zinavyokwenda
 
Hata viongozi wa upinzani waliopiga bilioni za mafisadi wanafaa kushtakiwa
Nakubaliana nawe 100/%
Vita vya UFISADI ukiangalia VYAMA na HURUMA hutaviweza.
Wote hoa kikaango ni kimoja tu MAFISADI lazima waadhibiwe.
 
Sikatai mina maono. Na maono yangu kama Mtanzania ni kuona nchi ILIYOSTAWI.
UMMASKINI tuuzamishe baharini kabisa kabisaaaaa.
Maendeleo ya vitu huku umasikini wa watu unaongezeka?

Maendeleo ya vitu huku ajira hakuna na watu wanapunguzwa makazini?

Maendeleo ya vitu huku watu wanamaliza vyuo na hawana pa kwenda?

Maendeleo ya vitu huku watumishi wa umma wamesahalika?

Maendeleo ya vitu huku mazao ya wakulima yanakosa masoko?

Maendeleo ya vitu huku uchumi unalalamikiwa?

Maendeleo ya vitu huku watu kila siku wanatekwa au kupotezwa?

Maendeleo ya vitu huku chaguzi zinavurugwa?

Lazima tu-balance haya mambo vinginevyo tunatengeneza bomu litakalokuja kutulipukia.
 
Maendeleo ya vitu huku umasikini wa watu unaongezeka?

Maendeleo ya vitu huku ajira hakuna na watu wanapunguzwa makazini?

Maendeleo ya vitu huku uchumi unalalamikiwa?

Lazima tu-balance haya mambo vinginevyo tunatengeneza bomu litakalokuja kutulipukia.
Ndo hapo sasa. Tunahitajika kutoa MAONI,USHAURI nini KIZURI ili kuepusha timing bomb la kuwa na watu amabao HAWANA AJIRA na wala HAWATAKI KUJIAJIRI.
Naamini masomo ya UFUNDO POLYTECHNICS yakisamabazwa.
Wengi WATAJIAJIRI. Badalaya ajira ya OFISINI.
 
Vipi tukianza na hawa tena na shahidi mnaye
 
Attachments

  • FB_IMG_1474786887887.jpg
    FB_IMG_1474786887887.jpg
    35.2 KB · Views: 37
  • FB_IMG_1484944703142.jpg
    FB_IMG_1484944703142.jpg
    23.7 KB · Views: 37
  • FB_IMG_1492698982281-1.jpg
    FB_IMG_1492698982281-1.jpg
    6.2 KB · Views: 33
Hata viongozi wa upinzani waliopiga bilioni za mafisadi wanafaa kushtakiwa
akili ndogo hiii. hapa tunaongelea rais kushtakiwa sio maana anakinga ya rais hao ulio wataja wewe hata leo waweza kwenda kuwashtaki hawana kinga popote kana una ushahidi nenda acha uzwazwa.
 
Itapendeza sana siku nikiona Bush wa pili, aliekua rais wa America, ndio ntaelewa the world is fairly
 
ni kweli kabisa,hapo bado maraisi wanaoishi kama ndezi katikati ya mbwa mwitu baada ya kuachishwa madaraka,akina Yahaya Jameh wanaficha magari hadi porini,akina Mugabe umaarufu umetoweka ghafla baada ya kuondolewa madarakani kabila kila leo anakaliwa kooni nk,bado hapa kwetu wanahofia nini kitatokea siku katiba ikibadilika,matokeo wanatumia nguvu kubwa kuvuruga mchakato wa katiba mpya,siku zinabadilika sana,sura ya ulimwengu inabadilika sana kadri siku zinavyokwenda
Nakuelewa. Sidhani kama wanaogopa katiba mpya ila nafikiri vipengele ndani ya katiba vikirekebishwa hamna mtu asiyetaka katiba yenye maendeleo si katiba ya miaka ya UJAMAA.
 
Mkuu hapo umekosea. Heshima si utumwa. Ni vizuri tuiheshimu taasisi ya URAISI hata kama hukubalini naye.
Ni MTANZANIA mwenzetu na wala si hivyo usemavyo.
Tujadili hoja badala ya matusi na kubezana. Ama vipi mkuu?
Correct!, hawa jamaa ni ngumu kuwajua, ni popo au ndege? ,nisamehe Kutumia lugha hiyo.
 
kuna mambo ambayo yako nje ya uwezo wetu kuamua. Yako ndani ya uwezo wa Muda.
huo wakati utafika, Kuna umuhimu wa viongozi kuchagua kuwa waadilifu leo kwa faida ya baadae.
wakati huo utafika siku rasilimali tunazojivunia zitakapopungua au kuisha na hakuna manufaa kwa wananchi.
 
Tanzania hatuna shida sana na Viongozi wetu wastafu kama hizo nchi. Naomba wimbi la kushitaki viongozi waliobariki/walioua raia wasio na hatia kule Iraq, Cossovo, Libya, Palestine, Nagasaki, Syria, Yemen, Soweto, Vietinam n.k wapelekwe The Hague
Hapa Wanapita tu, na ndio uhalisia wenyewe
 
Sidhani kama walikuwa wakiongoza Tz kweli ama labda walikuwa na nchi zao binafsi ...Ni vigumu kumlingsnisha JPM wa miaka 2.5 na wale wa 20 kwa pamoja
Umesema yote kwa UKWELI KABISA
 
kuna mambo ambayo yako nje ya uwezo wetu kuamua. Yako ndani ya uwezo wa Muda.
huo wakati utafika, Kuna umuhimu wa viongozi kuchagua kuwa waadilifu leo kwa faida ya baadae.
wakati huo utafika siku rasilimali tunazojivunia zitakapopungua au kuisha na hakuna manufaa kwa wananchi.
Hata hivyo. Siku ipo watajibu.Kama Zuma anashitakiwa kwa manunuzi ya sulaha ya miaka ya 90?
Tunaweza.Nia ipo naamini kabisa.
 
View attachment 737179
Rais wa zamani wa A/Kusini Jacob Zuma akiwa kizimbani.
View attachment 737185
Rais wa zamani wa Brazil Lila De Silva akiwa kizimbani.
View attachment 737187
Rais wa zamani wa Korea Kusini, Park alipokuwa akipelekwa Mahakamani.

Kumekuwa na wimbi jipya sana linaloendelea duniani la kushitakiwa viongozi wa nchi na WASHIRIKA wao pinde anapoachia madaraka hasa kutokana na UFISADI.

1.Tumeona rais wa zamani wa Afrika Kusini akiwa kizimbani kwa makosa ya UFISADI baadhi ya mashataka ni MANUNUZI ya SILAHA miaka ya 90. !!!!
Huku mshirika wake MKUU GUPTA ambaye ndiye aliyekuwa akimsaidia Zuma yuko matatani.
anatafutwa.

2.Rais Lule de Silva wa Brazil KUFUNGWA miaka 12 gerezani baada ya kuwa rais kwa miongo miwili katika utawala wake kwa kosa la UFISADI na kutumia madaraka yake KUJITAJIRISHA na kupokea RISHWA!.

3.Rais wa zamani na wa kwanza mwanamke wa KOREA KUSINI Ms Park kahukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 24 gerezani, na kuilipa serikali Dollar za Kimarekani millioni 24.
MSAIDIZI wake aliyekuwa AKITENGENEZA DILI zake miaka nafikiri 10

Wakati vuguvuvugu la vyama vingi lilipoanza lilianza hivi hivi tu baadaye likapokelewa na Afrika na Tanzania kwa ujumla. "You cannot resist an idea whose time has come"./Huwezi kuzuia NIA/WAZO ambalo wakati wake umefika!

TUPENDE , TUSIPENDE siku moja litatokea Tanzania. Hamna huruma kwa watu walio ila Tanzania na kuwafanya Watanzania wengine kama second class and destitute/Maskini wa kutupwa.

Wakati wengine WANAKULA na KUSAZA na KUENDESHA MAGARI yanyaozidi mishahara yao.Majumba mabayo hawawezi kuelezea WALIYAPATA namana gani.

Nasema hivi kwa sababu. Kwa nini Rais Magufuli kwa Muda mfupi wa kipindi cha MIAKA 2 NA NUSU tu ameweza KUFANYA mambo MAKUBWA sana. Kwani VIONGOZI waliomtangulia HAWAKUYAONA?????

Let's call a Spade a Spade/Acha tuite kama ni Koleoni Koleo na si KIJIKO.
UKWELI ni lazima USEMWE.
Within miaka miwili na nusu. Ndege ndo hizo na zingine zinakuja. Elimu bure, KUDHIBITI Madini yetu. SGR sijui nini Mambo meengi sana mzee kafanya.
Tumpongeze.

Hata haya ya jana aliyoyafanya ya kujenga na kufungua UKUTA MERARANI liliokuwa ni NDOTO kwa wengine. alifanya hivyo ili KUNUFAISHA Watanzania WASIENDELEE KUIBIWA raslmali zao. Kweli MAGUFULI ANASTAHILI PONGEZI sana sana.

Pamoja na mapungufu yake ambayo tunajaribu kumshauri kila wakati kupitia mitandao ya jamii. Maana naye ni binadamu SI Malaika.
Lakini ukweli AISEE Mzee AMEFANYA KAZI zinazoonekana

Kama tukiweka kwenya MIZANI nafikiri UZITO wa MAZURI ota ushinda MAPUNGUFU yake.

Hata katika maoni yangu si kwamba kila kitu huwa ninakubaliana naye, kuna wakati nakosoa na kutoa ushauri. Ili mtu asiseme bla bla sijui nini!

Maana hata KATIKA FAMILIA yeyoteile mtu na NDUGU yake si LAZIMA wakubaliane kimawazo wakati mwingine hutofautiana sana.

Hata hivyo hubaki kuwa wao ni ndugu mwishowe HUELEWANA na maisha yanaendelea.
Na hiyo ndo tabia ya kibinadamu.

POINTI yangu kuu ni kuwa naamni SIKU MOJA WATU fulani watakuja kujibu KWA NINI waliifilisisha Tanzania katika UFISADI.

Niaamini. itafika mahali CHAMA cha CCM kitakujaga kukiondoa KIFUNGU cha IMMUNITY ya kutokushtakiwa kwa {sic}

Hata kama si huyu Rais Magufuli SASA basi rais atakayekuja siku zijazo huenda akawa na MAONO na UCHUNGU kama wa Magufuli wa NCHI na WANANCHI wake ATAKUWA na UJASIRI na kuwapeleka MAHAKAMANI viongozi MAFISADI bila huruma.
Ulianza vyema but ulivyoanza kusifiaaa umepotezaaa radha
 
Ni kweli kabisa, unakuta askofu ana 8 bil kwenye ndoo chumbani hii ni hatari!
 
Mm naona ulianza vzr mwanzoni..ila ulipoanza tu kuiporomoshea misifa serikali ya awamu hii nikashangaa na kukuona mchumia tumbo!..hii serikali ndo itakuwa ya kwanza kustakiwa kutokana na vitendo vyake vya kibabe na maamuzi ya kukurupuka!Ufisadi mkubwa unaendelea kichinichini..kujenga uwanja Chato...kununua ndege zisizo na faida!..kashfa ya kutengeneza passport mpya!..haya yote ni uamuzi wa kukrupuka wa mtu moja!..mauaji na utekaji..haya yote yatafukuliwa awamu zijazo..Hakuna kupona hivi sasa wanachimba makaburi yao ili waje wazikwe...hili lipo wazi ..apende asipende..pingu na msoto wa jela unamsubiri kama anavyotesa wengine..yeye atauonja moto mkali zaidi na vibaraka wake!
 
Inatia moyo.
Ila kwa nchi za ukanda wa Africa Mashariki ni Muujiza na ndoto.
 
Back
Top Bottom