Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Katika ulimwengu wa sasa.
Kila TAMKO.kila KITENDO na kila USHAHIDI unawekwa officially na unofficially. Na mtu tu mwingine usiyemtegemea. AMEHIFADHI kila kitu na kila kumbukumbu.
Teknolojia si ya kucheza nayo siku hizi mkuu.
Tibim. Ulinipata?
 
uko kote kuna upinzani. kwa kuwategemea kina kibajaj tutasubiri karne nyingi zijazo
 
Trillion 1.5 ipo siku atashtakiwa hata kama miaka 30 ijayo ila ipo siku
 
CCM wametisha sana
FB_IMG_15239867002388431.jpg
 
Trillion 1.5 ipo siku atashtakiwa hata kama miaka 30 ijayo ila ipo siku
Kwa mtazamo wangu. Mkuu huwapatia watu majukumu yao ya kufanya.Na wakiboronga awateme maana watamharibia.
Hatiwezi kusema ni YEYE ndo amepoteza hiyo hela.

Ila CAG alenge ripoti yake bila kuogopa.
Ni Ofisi IPI ya WAZIRI nani.
Na IDARA ipi inayosimamiwa na nani ili liwe fundisho
Maana kuzungumzia kwa ujumla tunaqweza kumlaumu mtu na si yeye ni wengine.
 
View attachment 737179
Rais wa zamani wa A/Kusini Jacob Zuma akiwa kizimbani.
View attachment 737185
Rais wa zamani wa Brazil Lila De Silva akiwa kizimbani.
View attachment 737187
Rais wa zamani wa Korea Kusini, Park alipokuwa akipelekwa Mahakamani.

Kumekuwa na wimbi jipya sana linaloendelea duniani la kushitakiwa viongozi wa nchi na WASHIRIKA wao pinde anapoachia madaraka hasa kutokana na UFISADI.

1.Tumeona rais wa zamani wa Afrika Kusini akiwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka 16 ya UFISADI miongoni mwa mashtaka hayo ni MANUNUZI ya SILAHA miaka ya 90. ya dollar billioni 2.5 za Kimarekami !!!!
Huku mshirika wake MKUU GUPTA ambaye ndiye aliyekuwa akimsaidia Zuma yuko matatani.
anatafutwa.

2.Rais Lule de Silva wa Brazil KUFUNGWA miaka 12 gerezani baada ya kuwa rais kwa miongo miwili katika utawala wake kwa kosa la UFISADI na kutumia madaraka yake KUJITAJIRISHA na kupokea RUSHWA!.

3.Rais wa zamani na wa kwanza mwanamke wa KOREA KUSINI Ms Park kahukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 24 gerezani, na kuilipa serikali Dollar za Kimarekani millioni 24.
MSAIDIZI wake aliyekuwa AKITENGENEZA DILI zake miaka nafikiri 10

Wakati vuguvuvugu la vyama vingi lilipoanza lilianza hivi hivi tu baadaye likapokelewa na Afrika na Tanzania kwa ujumla. "You cannot resist an idea whose time has come"./Huwezi kuzuia NIA/WAZO ambalo wakati wake umefika!

TUPENDE , TUSIPENDE siku moja litatokea Tanzania. Hamna huruma kwa watu walio ila Tanzania na kuwafanya Watanzania wengine kama second class Citizens and destitute/Maskini wa kutupwana watu wa daraja la pili

Wakati wengine WANAKULA na KUSAZA na KUENDESHA MAGARI yanyaozidi mishahara yao.Majumba mabayo hawawezi kuelezea WALIYAPATA namna gani.

Nasema hivi kwa sababu. Kwa nini Rais Magufuli kwa Muda mfupi wa kipindi cha MIAKA 2 NA NUSU tu ameweza KUFANYA mambo MAKUBWA sana. Kwani VIONGOZI waliomtangulia HAWAKUYAONA?????

Let's call a Spade a Spade/Acha tuite kama ni Koleo ni Koleo na si KIJIKO.
UKWELI ni lazima USEMWE.
Within miaka miwili na nusu. Ndege ndo hizo na zingine zinakuja. Elimu bure, KUDHIBITI Madini yetu. SGR sijui nini Mambo meengi sana mzee kafanya.
Tumpongeze.

Hata haya ya jana aliyoyafanya ya kujenga na kufungua UKUTA MERARANI liliokuwa ni NDOTO kwa wengine. alifanya hivyo ili KUNUFAISHA Watanzania WASIENDELEE KUIBIWA raslmali zao. Kweli MAGUFULI ANASTAHILI PONGEZI sana sana.

Pamoja na mapungufu yake ambayo tunajaribu kumshauri kila wakati kupitia mitandao ya jamii. Maana naye ni binadamu SI Malaika.
Lakini ukweli AISEE Mzee AMEFANYA KAZI zinazoonekana

Kama tukiweka kwenya MIZANI nafikiri UZITO wa MAZURI utaushinda MAPUNGUFU yake.

Hata katika maoni yangu si kwamba kila kitu huwa ninakubaliana naye, kuna wakati nakosoa na kutoa ushauri. Ili mtu asiseme bla bla sijui nini!

Maana hata KATIKA FAMILIA yeyoteile mtu na NDUGU yake si LAZIMA wakubaliane kimawazo wakati mwingine hutofautiana sana.

Hata hivyo hubaki kuwa wao ni ndugu mwishowe HUELEWANA na maisha yanaendelea.
Na hiyo ndo tabia ya kibinadamu.

POINTI yangu kuu ni kuwa naamni SIKU MOJA WATU fulani watakuja kujibu KWA NINI WALIIFIRISISHA Tanzania kupitia UFISADI.

Niaamini. itafika mahali CHAMA cha CCM na WABUNGE wa vyama vingine kwa PAMOJA wataungana ili kukiondoa KIFUNGU cha IMMUNITY ya kutokushtakiwa kwa {sic}

Hata kama si huyu Rais Magufuli SASA basi rais atakayekuja siku zijazo huenda akawa na MAONO na UCHUNGU kama wa Magufuli wa NCHI na WANANCHI wake ATAKUWA na UJASIRI na kuwapeleka MAHAKAMANI viongozi MAFISADI bila huruma.
Sijakuelewa Mkuu. Marais wote wa nchi hii wamefanya kazi nzuri sana ndiyo maana Tanzania ipo hapa ilipo, yaani nchi maskini sana lakini yenye amani. What is your problem?
 
Sijakuelewa Mkuu. Marais wote wa nchi hii wamefanya kazi nzuri sana ndiyo maana Tanzania ipo hapa ilipo, yaani nchi maskini sana lakini yenye amani. What is your problem?
My PROBLEM?
You did not grasp of what I was talking about.Period.!!
The ethos of this topic does not at all mention ANY name of OUR Tanzania Presidents. But ostensibly it is generalized.
Therefore any similarity whatsoever is not deliberately intended to harm anybody or any particular person or/group.

And in that regard I would just say I am sorry that you missed the whole ethos in connecting MISSING dots.
It is therefore highly REGRETTABLE on your side.

Notwithstanding my projections and what I was trying to convey.You just jumped into the Wagon bila kujua linaelekea wapi?
Rudia tena na usome taratibu mkuu. Ndo uje tuchangie!!
Shukrani.
 
Sijakuelewa Mkuu. Marais wote wa nchi hii wamefanya kazi nzuri sana ndiyo maana Tanzania ipo hapa ilipo, yaani nchi maskini sana lakini yenye amani. What is your problem?
Mkuu nafikiri sasa umeelewa.
 
Tanzania hatuna shida sana na Viongozi wetu wastafu kama hizo nchi. Naomba wimbi la kushitaki viongozi waliobariki/walioua raia wasio na hatia kule Iraq, Cossovo, Libya, Palestine, Nagasaki, Syria, Yemen, Soweto, Vietinam n.k wapelekwe The Hague
By the way KUSHITAKI uhalifu ni kuleta haki.
Na kuatamia uhalifu ni KUJIUMIZA wenyewe.
 
My PROBLEM?
You did not grasp of what I was talking about.Period.!!
The ethos of this topic does not at all mention ANY name of OUR Tanzania Presidents. But ostensibly it is generalized.
Therefore any similarity whatsoever is not deliberately intended to harm anybody or any particular person or/group.

And in that regard I would just say I am sorry that you missed the whole ethos in connecting MISSING dots.
It is therefore highly REGRETTABLE on your side.

Notwithstanding my projections and what I was trying to convey.You just jumped into the Wagon bila kujua linaelekea wapi?
Rudia tena na usome taratibu mkuu. Ndo uje tuchangie!!
Shukrani.

Cut and paste of what you wrote..."Nasema hivi kwa sababu. Kwa nini Rais Magufuli kwa Muda mfupi wa kipindi cha MIAKA 2 NA NUSU tu ameweza KUFANYA mambo MAKUBWA sana. Kwani VIONGOZI waliomtangulia HAWAKUYAONA?????

Then see another one...."The ethos of this topic does not at all mention ANY name of OUR Tanzania Presidents. But ostensibly it is generalized. Therefore any similarity whatsoever is not deliberately intended to harm anybody or any particular person or/group.

You are confusing yourself dude. Not me.
 
Neno "VIONGOZI " Ni watu WENGI /TEAMWORK katika nyadhifa MBALIMBALI walizokuwa wamepewa kama JUKUMU la huwahudumia Watanzania.
Lakini wakaboronga.
Mfano:
Je una jua kuwa WAZIRI yeyote awe ni WAZIRI MKUU ni KIONGOZI?
Katibu wa kudumu wizarani "Ps'
ni KIONGOZIi?
Mkuu wa MKOA na WILAYA
ni KIONGOZI?
MWENYEKITI wa MTAA
unajua naye ni KIONGOZI?

Tuje Chamani CCM. ndo usiseme. vvongozi wamekuwa WENGI sana
Je Hawakuyaona haya?.

It does not necessarily rest on the presidency pekee mkuu, ni GOKOLO linalobeba samaki wengi.
Ndo maana sikutaja majina.

Nafikiri si ji contradict.
By the way ANY former LEADER in his/her capacity kama ALIKUWAGA KIONGOZI na alioboronga PAMOJA na TIMU YAO my stand IS STILL THE SAME.
Kimsingi sikulaumu bali nilikuwa nakupanulia uga ili upate hasa nini nilichokuwa ninakizungumzia.
Shukrani.
 
Cut and paste of what you wrote..."Nasema hivi kwa sababu. Kwa nini Rais Magufuli kwa Muda mfupi wa kipindi cha MIAKA 2 NA NUSU tu ameweza KUFANYA mambo MAKUBWA sana. Kwani VIONGOZI waliomtangulia HAWAKUYAONA?????

Then see another one...."The ethos of this topic does not at all mention ANY name of OUR Tanzania Presidents. But ostensibly it is generalized. Therefore any similarity whatsoever is not deliberately intended to harm anybody or any particular person or/group.

You are confusing yourself dude. Not me.
Nashukuru kwa kunielewa.
 
Ndege ndo hizo na zingine zinakuja. Elimu bure, KUDHIBITI Madini yetu. SGR sijui nini Mambo meengi sana mzee kafanya.
Tumpongeze.

Hata haya ya jana aliyoyafanya ya kujenga na kufungua UKUTA MERARANI liliokuwa ni NDOTO kwa wengine. alifanya hivyo ili KUNUFAISHA Watanzania WASIENDELEE KUIBIWA raslmali zao. Kweli MAGUFULI ANASTAHILI PONGEZI sana sana.

Mkuu uko siriaz au unatuactia?

Mambo mengi yapi? Yana mantiki kwa taifa?

Ndege? Kwa biashara ipi sustainable? Ndege unanunua cash kwa jeuri kumkomoa nani? Profits ziko wapi? Umesahabu 100B+ loss ya ATCL kwa hii miaka?

Elimu bure? Au kuivuruga elimu iwe bure kabisa?

Kudhibiti madini? Unless CAG na Bunge waruhusiwe kusimamia na kukagua hiyo sekta haujanishawishi. Hujasoma ripoti ya CAG nini? Mafuta yameingia ila hayajafika kule. Billions lost in revenue. Kile kishika uchumba cha Acacia tulishapewa(baada ya Noah moja kwa kila Mtanzania kushindikana)?

Ati ukuta Mererani nao unauweka kwenye list ya mambo ya msingi yaliyofanywa na serikali.
 
Back
Top Bottom