Kingereza kitafelisha wengi kwenye Oral Interview. Mwalimu kama hujui kingereza ni bora usijisumbue

Yani ni kwamba hizi saili za kutumia lugha ya kingereza hasa tukisailiana sisi wabongo, Wala usiogope kabisa tena usihofu Hadi ukashindwa kuongea, kosa kubwa utalifanya pale ambapo utaogopa kuongea na kuanza kutetemeka, sukuma hivyo hivyo hata kama unaunga, kitu kizuri ni kwamba hata wao wanajua kuwa wapo unga kwenye lugha hivyo mnafanana Kwa kiasi tofauti ni uzoefu ambao unawaongezea kujiamini, We are humans ndugu.
 
Dogo anawazia oral anaichukulia poa written mm kwa udhoefu wangu naona oral ni rahisi kuliko written.
 
Kwa hiyo mtoa mada unataka kusema walimu,kiingereza wameanza kukutuna nacho kwanye Interview tu?,Na pia unataka kutuaminisha walimu hivyo vyeti vyao walipewa tu?
.Acha kutisha watu,Unaweza itwa kwenye usaili na Lugha Ikawa kiswahili na bado ukafeli tu😅.Walimu msikatishwe tamaa mkapambane mpaka mwisho,huu unaweza ukawa ndio wakati wako.
 
Wewe ni mtu wa utumishi?

Umejuaji watu wamefeli?

Mbona mjuaji sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…