Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Kwel kabisa aiseeThe late Nyerere was afraid of fair competition in politics, so he never wanted other Tanzanians to be as exposed as he was.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwel kabisa aiseeThe late Nyerere was afraid of fair competition in politics, so he never wanted other Tanzanians to be as exposed as he was.
Oya hata written hujafanya tayr unawaza Oral??? wazen written kwanza unawez jikuta unakandwa mapem tu oral ukaiskia redionMwalimu jinoe. Kama English inakupiga chenga utakuwa kwèñye Wakati mgumu
Wewe ni mtu wa utumishi?Jamhuri ya Muungano....
Kwenye usaili wa Oral Kada ya afya wengi wameboronga kwa sababu ya kingereza kibovu. Kutokujua kingereza wengi kumewafanya wasijiamini katika kujieleza.
Ndugu zetu walimu ni vizuri Siku Mbili zilizobakia kama unajijua unaongea broken English, bora ujipige Msasa kuficha udhaifu huo.
Maswali yalikuwa marahisi lakini changamoto Kwa wengi ilikuwa kujieleza Kwa ufasaha Kwa kingereza.
Mwalimu kama unajijua Somo Lako utatumia kingereza kufundishia jitahidi Sana kujinoa. Maana Broken English huku itakufanya ukandwe.
Umuhimu wa kusoma Shule za English Medium kwèñye hizi interview unaonekana.
Yule liqud anawadanganya.