Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wahuni waliovuruga hiyo katiba ni pamoja na Lowasa, Sumaye na Kingunhe mwenyewetuliidai kwenye rasimu ya warioba wale wahuni wa kijani wakachakachua ma kuuvuruga mchakato wote maana wanajua bila tume huru wizi wao hufanikiwa haraka
Ndio maana tunadai katiba mpyaAmani iwe nanyi,
Ndugu zangu nimetafakari sana swala la uchaguzi huru nimegundua tunafanya bora uchaguzi kwa sababu tume yote ya uchaguzi imeteuliwa na mtu mmoja ambae ni Mwenyekiti wa CCM, wasimamizi wote wa uchaguzi wamechaguliwa na mtu mmoja ambae ni Mwenyekiti wa CCM.
Sasa kwa mazingira ya sasa ya kisiasa ambapo kumekua na amri kutoka mbinguni ni vigumu sana kuwa na uchaguzi huru na wa haki.
Kila mtendaji anafanya kazi kwa kufuata maagizo sio kwa mujibu wa sheria na taratibu kwa kuogopa kutumbuliwa.
Ni vema ili kuwa na utawala bora ni vema tukawa na tume bora ya uchaguzi namaanisha tume huru ya uchaguzi ambayo haitachaguliwa na mtu mmoja tena Mwenyekiti wa chama.
Mungu ibariki Tanzania.
Amani iwe nanyi,

Kama mwananchi wa kawaida baada ya kuona yaliopitikana katika kipindi hiki kifupi naomba kutoa ushauri kwa mh. rais na Tume ya uchaguzi.
1.Nikirefer report ya jukwaa la katiba walioitoa baada ya uchaguzi wa kata 43. mojawapo ni suala LA mawakala na namna wasumamizi wanavyohujumu uchaguzi kupitia wasimami.
ushauri: NEC wabadilishe mfumo wa. kutumia wakurugenzi katika suala LA kutoa viapo kwani imedhihiri wakati wa kata 43 watu walijeruhiwa, Leo yametokea mauaji suala likiwa hilohilo.
NEC msizibe masikio hii sio sawa, km mnataka Tanzania ya amani na upendo msipuuzie kadhia hii.
2. Nakuomba mheshimiwa rais kuchukua ushauri uliotolewa na maaskofu katoliki.
ni wazi kila siku tunaambiwa umefanya mambo makubwa na km ni kweli hakuna haja ya kubana ama kuzuia wapinzani kwa chochote, action speaks louder than words. waache waseme kwan wananchi wanaelewa mambo yakopoa yan ni mdebwedo ila mkizuia na kuwabana wengine wataamini hakuna kinachofanyika, so inabidi wazuiwe wasije mwaga upupu.
Kwako Mh rais na NEC damu ya Aquilina ifungue pazia mpya kuunda tume huru ya uchaguzi.
mjenga nchi ni mwananchi na mvunja nchi ni mwananchi.
Tutoe ushauri kwa lugha ya heshima na tusitukane
Umetisha broUshauri huu umempa Rais yupi, huyu mwenye kichwa cha greda? Only Blood and Iron will rise Tz again.