Tatizo ni kwamba (kipato) malipo yao yameunganishwa na idadi ya wabunge kwenye chama husika.Uzuri ni kuwa hao viongozi wanategemea kura zetu kupata hayo madaraka, ni vyema wakajikita kuhakikisha kuna kuwa na tume huru ya uchaguzi, maana sioni mtu mjinga wa kwenda kupanga mstari kisha kwenye matokeo anatangazwa mtu tofauti na idadi ya kura. Naona umetoa mfano wa ajira, kwani hata hiyo ajira utaifanya ukiwa huna uhakika wa kulipwa malipo stahiki?
Tatizo ni kwamba (kipato) malipo yao yameunganishwa na idadi ya wabunge kwenye chama husika.
Wabunge huwezi kuwapata bila kushiriki uchaguzi. (hata kama uchaguzi wenyewe ni batili)
Hapo ndipo mtego ulipo.
Tume huru ya uchaguzi ndiyo inaleta viongozi weledi,wenye hekima wasio ongoza kwa hira na chuki wanaongoza kufuata sheria hawaabudu unafikiWale wasiofahamu wanafikiri kudai tume huru ya uchaguzi au kudai katiba mpya ni hoja za wapinzani .Wapo ambao hawajatambua kuwa katiba mpya iliyonzuri inamugusa kila mtanzania kama sio leo kesho yaweza kukugusa.Wanakaa kimya wasijekuvurugiwa masirai yao
Uko sahihi, sasa kama idadi ya wapiga kura ndio inayokupa wabunge, unawezaje kukubali kuendelea kushiriki kwenye uchaguzi ambao ni dhahiri tume haiko huru kukutangaza iwapo umeshinda? Na hilo la kwamba tume ya uchaguzi imeingia hofu kutokana na matumizi mabaya ya madaraka ya rais liko wazi mno. Ni wendawazimu kuendelea kushiriki uchaguzi ambao dhahiri mshindi atatangazwa kwa matakwa ya rais, na sio ushindani.
Kuna dalili kama issue ya Tume Huru ya uchaguzi vyama vya upinzani wanataka kuiweka pembeni na kuzungumzia petty issues kama ongezeko la vituo na blabla kibao.
Nadhani sasa tuwaambie vyama vya upinzani kwa pamoja kuwa tumechoka na nyimbo, mamalamiko na kususiana kusiko na mwisho tunataka Tume huru tuu, maana hiyo ikiwepo mambo hayo ya vituo na mengine hayatakuwepo!
Sasa mheshimiwa Mbowe, Zitto, Maalimu, Mbatia, Lissu, Dovutwa nk achaneni na mengine piganieni Tume huru la sivyo bora na nyie tuwasusie tuiache nchi iliwe tuu na wachache hao ccm labda mpaka itakapotokea kizazi kingine kikaamua kutumia njia nyingine ya kuwaondoa.
Vikao vianze kwa makatibu wakuu wa vyama, iundwe secretariate ya kupanga mkakati kisha viongozi wakuu mkishirikisha asasi za haki za binadamu kulipigania hilo kwa pamoja.
Hivi hao viongozi nilio wataja hapo juu wakifikia mahali wameitisha press kwa pamoja au mkutano mkubwa wa hadhara pamoja mnadhani nini itakuwa repercussion yake kwa serikali, CCM na hata jumuia ya kimataifa?
Inaonekana propaganda ya CCM kuwa wengine hawarudi bungeni imewachanganya sana mpaka mnaona wao ndio wapiga kura!
Tume huru ikiwapo wabunge wazuri wa CCM watarudi na wazuri wa upinzani wataingia na ikiwezekana utawala unaotakiwa na sisi wananchi ukaingia madarakani.
Sasa ni eitha Tume huru au na nyie tuwasusie basi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,Anzeni tu kujikanganya, mkipata kura tano msiseme mmeibiwa
Suala la tume mlitakiwa mlianze mara bada ya uchaguzi wa 2015.
Mnakurupuka leo na kujazana ujinga wa kususa,nyie suseni tu,sie ccm tunaingia uchaguzini 100 kwa 100
Tena siyo tume huru tu , ni TUME HURU KWA GHARAMA YOYOTEKuna dalili kama issue ya Tume Huru ya uchaguzi vyama vya upinzani wanataka kuiweka pembeni na kuzungumzia petty issues kama ongezeko la vituo na blabla kibao.
Nadhani sasa tuwaambie vyama vya upinzani kwa pamoja kuwa tumechoka na nyimbo, mamalamiko na kususiana kusiko na mwisho tunataka Tume huru tuu, maana hiyo ikiwepo mambo hayo ya vituo na mengine hayatakuwepo!
Sasa mheshimiwa Mbowe, Zitto, Maalimu, Mbatia, Lissu, Dovutwa nk achaneni na mengine piganieni Tume huru la sivyo bora na nyie tuwasusie tuiache nchi iliwe tuu na wachache hao ccm labda mpaka itakapotokea kizazi kingine kikaamua kutumia njia nyingine ya kuwaondoa.
Vikao vianze kwa makatibu wakuu wa vyama, iundwe secretariate ya kupanga mkakati kisha viongozi wakuu mkishirikisha asasi za haki za binadamu kulipigania hilo kwa pamoja.
Hivi hao viongozi nilio wataja hapo juu wakifikia mahali wameitisha press kwa pamoja au mkutano mkubwa wa hadhara pamoja mnadhani nini itakuwa repercussion yake kwa serikali, CCM na hata jumuia ya kimataifa?
Inaonekana propaganda ya CCM kuwa wengine hawarudi bungeni imewachanganya sana mpaka mnaona wao ndio wapiga kura!
Tume huru ikiwapo wabunge wazuri wa CCM watarudi na wazuri wa upinzani wataingia na ikiwezekana utawala unaotakiwa na sisi wananchi ukaingia madarakani.
Sasa ni eitha Tume huru au na nyie tuwasusie basi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao uliowataja wote ni mawakala wa CCM....... Ukimtoa Tundu Antipas Lisu!Kuna dalili kama issue ya Tume Huru ya uchaguzi vyama vya upinzani wanataka kuiweka pembeni na kuzungumzia petty issues kama ongezeko la vituo na blabla kibao.
Nadhani sasa tuwaambie vyama vya upinzani kwa pamoja kuwa tumechoka na nyimbo, mamalamiko na kususiana kusiko na mwisho tunataka Tume huru tuu, maana hiyo ikiwepo mambo hayo ya vituo na mengine hayatakuwepo!
Sasa mheshimiwa Mbowe, Zitto, Maalimu, Mbatia, Lissu, Dovutwa nk achaneni na mengine piganieni Tume huru la sivyo bora na nyie tuwasusie tuiache nchi iliwe tuu na wachache hao ccm labda mpaka itakapotokea kizazi kingine kikaamua kutumia njia nyingine ya kuwaondoa.
Vikao vianze kwa makatibu wakuu wa vyama, iundwe secretariate ya kupanga mkakati kisha viongozi wakuu mkishirikisha asasi za haki za binadamu kulipigania hilo kwa pamoja.
Hivi hao viongozi nilio wataja hapo juu wakifikia mahali wameitisha press kwa pamoja au mkutano mkubwa wa hadhara pamoja mnadhani nini itakuwa repercussion yake kwa serikali, CCM na hata jumuia ya kimataifa?
Inaonekana propaganda ya CCM kuwa wengine hawarudi bungeni imewachanganya sana mpaka mnaona wao ndio wapiga kura!
Tume huru ikiwapo wabunge wazuri wa CCM watarudi na wazuri wa upinzani wataingia na ikiwezekana utawala unaotakiwa na sisi wananchi ukaingia madarakani.
Sasa ni eitha Tume huru au na nyie tuwasusie basi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila nijuavyo hata huko CCM wenye akili wote wanataka Tume huru. Jee wewe haumo kwenye kundi hilo?Hao uliowataja wote ni mawakala wa CCM....... Ukimtoa Tundu Antipas Lisu!
Tunataka tuwasikie sasa hawa viongozi wa upinzani wakikutana kwa agenda hiyoTena siyo tume huru tu , ni TUME HURU KWA GHARAMA YOYOTE
πππ ukiona hivyo ujue ndio hivyo tena !Ila nijuavyo hata huko CCM wenye akili wote wanataka Tume huru. Jee wewe haumo kwenye kundi hilo?
Sent using Jamii Forums mobile app