Tetesi: Kingunge kurejea CCM wiki hii?

Tetesi: Kingunge kurejea CCM wiki hii?

Kingunge hakuwahi kutoka ccm...hakujiunga na CDM ...yeye alikuja kuweka nguvu tu kwa lowassa ambaye aliamini kuwa kiongozi bora kuliko magufuli....
Hivyo anarejea wapi sasa ?

Tuseme anataka kurudi kwao ok fine ...hio itakuwa unafiki mkubwa wa ccm kumpokea...watakuwa watu wa ajabu sana kwani mtakumbuka hivi majuzi iliwafukuza wote walokua na msimamo wa kingunge hawa kina Sophia Simba na wenzake...hivyo hili litaonesha kuwa hawana msimamo.
 
Kingunge alikuwa Frustrated kwa kusudi na Jk na jitihada binafsi za Comrade Kinana kutaka kuzungumza na nae zilizimwa na Mkwere, alikuwa kwny orodha ya watakaofukuzwa kama kina Sophia Simba alipojulishwa kwa siri ndio akaondoka Ila ni CCM kuliko Nyerere
'Kingunge ni wa kuja '-Jk aliyasema hayo baada ya kutoka CCM Kama kumcheka kuwa kavaba akiongea na UV CCM wa Vyuo Vikuu
 
kwani Kingunge alishajiunga na chama chochote kingine cha siasa mbali na ccm na kuchukuwa kadi? naomba nikumbushwe mambo mengi.
 
Kuna taarifa zinaenea kuwa Kingunge Ngombale Mwiru anarejea CCM wiki hii inayoanza leo. Kuna yeyote anayejua ukweli/uzushi wa habari hii atujuze!
hata akirudi CCM atasaidia nini? alikuwa huko tangu sijazaliwa nimezaliwa na sasa nazeeka akakimbilia cdm. tunashukuru amechangia kubusti cdm imepata wabunge wengi halmashauri nyingi. kwahiyo hata akiondoka hakuna shida tumeshmtumia ametunufaisha inatosha. arudi akamalizie uhai wake CCM.
 
Kuna taarifa zinaenea kuwa Kingunge Ngombale Mwiru anarejea CCM wiki hii inayoanza leo. Kuna yeyote anayejua ukweli/uzushi wa habari hii atujuze!
Aliondoka jahazini kwenda kwenye kaboti, kaboti kakazidiwa upepo na mawimbi, jahazi linasepa, akirudi poa kwa ushauri ili nafikiri wa kijani wanahitaji damu changa machachari wanaojiamini...
 
Back
Top Bottom