Kwenye hatua ya kwanza huwa hamna kupiga kura majina yote yanachukuliwa na kuangaliwa moja baada ya jingine na wale wote wenye tabia mbovu mbovu na ambao Tume ya maadili inaona hawafai huwa majina yao hayarudi, wale ambao majina yanarudi ndio hupigiwa kura sasa, nilivyoelewa mimi!
Wewe mzee wetu, tunakuheshimu sana sana. Ndio maana tunakaa kimya. Lakini wagombea walikuwa 38. Mmoja tu, uliyemnadi kwa nguvu sana, kaenguliwa. Mbona Waziri Mkuu hasemi? Makamu wa Rais halalamiki? n.k . Wewe ulishaonyesha bias. Na hilo linakunyima consiousness ya kuyasema haya. Wewe nyamaza, usikivuruge chama. Unataka watu tuandamane? Kwa lipi?
Wewe mzee wetu, tunakuheshimu sana sana. Ndio maana tunakaa kimya. Lakini wagombea walikuwa 38. Mmoja tu, uliyemnadi kwa nguvu sana, kaenguliwa. Mbona Waziri Mkuu hasemi? Makamu wa Rais halalamiki? n.k . Wewe ulishaonyesha bias. Na hilo linakunyima consiousness ya kuyasema haya. Wewe nyamaza, usikivuruge chama. Unataka watu tuandamane? Kwa lipi?
Siyo kweli,kamati ya maadili haina mamlaka ya kuchuja majina isipokuwa inafanya tathmini ya kila mgombea na inapeleka taarifa yake kwenye Kamati kuu,wenye mamlaka ya Kukata majina ni Kamati Kuu.Kilichofanyika Dodoma ni Kamati ua Maadili kujitwisha jukumu la Kamati kuu ambalo si sawa,na hapa ndio point ya Mzee Kingunge ilipo.
kwa hivyo mlitaka Lowassa ndiye pekee atie nia? Watu wengine wasioneshe nia ili awe mtia nia pekee! Mapenzi yakizidi hugeuka kuwa chachu.Wote walichukua form ili kurahisisha ukatwaji wa lowassa...wala hawakuutaka urais...walifanya hivyo ili lowassa akilalamika wanachi waseme kama ulivyosema ww...
kwa hivyo mlitaka Lowassa ndiye pekee atie nia? Watu wengine wasioneshe nia ili awe mtia nia pekee! Mapenzi yakizidi hugeuka kuwa chachu.
Ni lini na wapi CCM iliwahi kuzingatia haki, taratibu, katiba, nk. Always magoli ya mkono. Katiba pandikizi ni mojawapo ya ushahidi wa goli la mkono la chichiemu. Ila kwa vile Kingunge ameonjeshwa hilo goli ndio anajitokeza kulalama. Mkuki kwa nguruwe.Nakuunga mkono ngombale mwilu, ccm wamekiuka natural justice
kama watu wa kawida walipewa mingo kubwa kingunge amepiewa ngapi ?Mtu ukipewa pesa lazima uitolee maelezo ya matumizi. Ndilo analofanya Ngombale. Ana justify pesa ya Lowassa.
Mzee alipewa pesa nyingi sana na Lowasa ili amsaidie kwahiyo hizi kelele analipa fadhila za pesa alizokula aibu yake huyu mzee mjinga sana.Wewe mzee wetu, tunakuheshimu sana sana. Ndio maana tunakaa kimya. Lakini wagombea walikuwa 38. Mmoja tu, uliyemnadi kwa nguvu sana, kaenguliwa. Mbona Waziri Mkuu hasemi? Makamu wa Rais halalamiki? n.k . Wewe ulishaonyesha bias. Na hilo linakunyima consiousness ya kuyasema haya. Wewe nyamaza, usikivuruge chama. Unataka watu tuandamane? Kwa lipi?
Haya Lowassa kaja CHADEMA mchukueni na Kingunge Ngombale Mwiru mwanachama wa CCM mwanzilishi Kadi yake ni No, 8Mfumo wa ccm ni mbovu na Dr wao kila akifanya dili akishtukiwa huwa anakimbia nje na kwanza anatunga tukio kama la juzi ili kupoteza watanzania kisha anakimbia haibu.sasa yuko swiss.
swissme