leo nimemsikia kingunge akiendeleza siasa zake za makundi na uchochezi ndani ya ccm,baada ya kusikia haya nimejiuliza maswali yafuatayo,
1, [/color]kauri[/red] ya kingunge ni kauri ya wazee wa ccm wote au yeye amejitoa kwenye kundi la wazee wa ccm na kuanza kuishambulia ccm?
2, je kauri hizi anazozitoa kwasasa zinaitajika katika kukijenga chama chake?
3, kati ya wagombea wato 38,kwanini anaona mmoja ndo alikuwa bora kuriko wengine?
4, je anajua kuwa kauri mbiu ya wanasema ya dodoma yalibaki dodoma,
5, je anatwambia sisi tumsaidie nini kwanini asiende kwenye vikao vya chama?
6, je kauri zake zinaijenga ccm au zinaibomoa ?
7, je anajua kuwa nawengine walikuwa na watu wao na walikuwa wanawapenda lkn baada ya maamuzi ya chama wamekaa kumia?
8, je kwanini anaonyesha dharau za waziwazi kwa wagombea wengine?
Mimi binafsi namuona kama mzee wa hovyo kabisa ambaye kwa sasa na umri wake agejikita katika kukijenga chama na kuondoa makundi badala ya kuendekeza siasa za makindi ambazo zimekuwa zikiibomoa ccm tangu mwaka 1995.
Namshauri akae kimia kama hana cha kuongea awe mzee wa busara achunge kauri zake zinazoashilia uchochezi ndani ya ccm.