Kingunge: Mchakato wa kumpata Mgombea Urais CCM ulikuwa batili! Lowassa si fisadi kama inavyodhaniwa

Kingunge: Mchakato wa kumpata Mgombea Urais CCM ulikuwa batili! Lowassa si fisadi kama inavyodhaniwa

kingunge no mmoja tu kati ya wengi wenye madukuduku yao ndani ya CCM inaweza kuwa no mwanzo wa mwisho wa mnyukano ulionza enzi za richmond
 
hiki ni kizee ni miongoni mwa wazee wa hovyo ndani ya ccm,
 
babu hivi haujui vikao halali vya kuongea mambo ya chama ndani ya chama?
je kama mzee unazani wazee wengine hawana cha kusema au wewe ndo uanjua zaidi?
umeanza kutumika kama wele wengine wenye recodi za kutumika?

babu kweli ndo maana hauna dini nazani mashetani yako ndo yalikuwa yanakuongoza,
 
hiyo picha uliyoiweka sio mahali pake ,kwa hishima itoe.

hahaaaa kumbe hujanisoma labda nikueleze magufur ndio chaguo la chama na mjadala umefungwa lakin kama lowasa kaonewa bas haki yake mungu atailipa na bado namuitaji ndani ya chama ili ushindi wetu uwe babu kubwa
 
haka ka ajuza kapuuzi kweli haka. kagalula kenyewe ndiko kamekuwa kashirika kakuu ka kuvuruga mipango mizuri ya kuijenga nchi hii ikiwemo kuvuruga na kunajisi katiba ya wananchi. leo hii eti na kenyewe kanalalamikia ukiukwaji wa kanuni na taratibu. kapuuzi kweli haka. kumbe inaumaeeeeee??!! shshshsheeeenzi type.

ila hili na liwe somo kwa ccm. mfumo mnaoutumia wa kuviteka vyombo vya dola..tume ya taifa ya uchaguzi, polisi, TISS nk ......ndo huo huo utakaokuja kutumika dhidi yenu au dhidi ya watoto na wajukuu zenu siku ikifika. mnyoa hunyolewa.
 
nayasema haya baada ya kusikia kauri zake za hovyo ambazo leo amezitoa kwenye vyombo vya habari,najua kingunge ni mkongwe kwenye siasa anajua taratibu za kuongea mambo ya chama kuwa lazima yawe ndani ya chama kitu ambacho yeye anaonekana hajua taratibu za chama japo ni mkonge,

badara ya kukiunganisha chama yeye anajikita kwenye kutoa kauri za kukipasua chama kwa kutoa kauri za kugombanisha chama na lowasa

mimi binafsi sijawai kusikia wazee wa vyama vingine wanaongea mambo ya chama kwenye vyombo vya habari,
so kingunge kwanini asiige na kujifunza yale wanayoyafanya wazee wenzake? Pengine ni kutumika kulikopindukia,
 
Huyu mzee hana aibu kabisa! uso umemkakamaa kama anakula siment. Hivi Nyerere angekuwa hai angeweza kuropoka ujinga huu kweli!? Anakomaa kum quote Marehemu Karume kwa ajili ya Lowasa kwenye hoja isiyomuhusu! Vizee kama hivi vina asili ya uchawi tu.

Wamekua wachawi tena au kisa kasema kweli ndio kawa mchawi.
 
Kwakweli Warioba ni mfano wa kuigwa! Nilitegemea mzee Kingunge angejikita kuimarisha chama na kuondoa kero za katiba ya JMT!
 
Kingunge atakiunganishaje chama wakati huu ndio wakati wa kugawana mbao?.
 
Wamekua wachawi tena au kisa kasema kweli ndio kawa mchawi.

Mzee kingunge kasema Ukweli Hata Kama watu wanamkejeli ukweli utabakia ukweli mchakato wa kumtafuta mgombea wa ccm uligubikwa na usanii mwingi .
 
nyamaza wewe ni mtoto mdogo hujui kitu kadi yako yenyewe ni ya milioni mbili eti unamkosoa mtu mwenye kadi namba nane huo si upopompo alafu jifunze kiswahili maana umezidiwa na kikwere.
 
Kingunge ameongea Ukweli haijalishi kuwa mchakato umekwisha na kumpata Magufuli , yeye ameanika kilichofanyika ili iwe fundisho na kumbukumbu huko mbeleni, inashangaza watu wanamtusi na kumkejeli kwa kusema ukweli , Kama hajasema ukweli , Nape aitishe waandishi aseme ukweli wake , hivi kwa nini watanzania wengi wanapenda kuishi kwa unafiki ? Msema ukweli siku zote hugeuka Adui ya wengi ! Sasa Mzee kingunge anaonekana mchawi kisa kasema Ukweli ! Haya maisha ya kukumbatia Unafiki hakika yakiendelea nchi hii haiwezi kupata maendeleo kamwe .
 
nyamaza wewe ni mtoto mdogo hujui kitu kadi yako yenyewe ni ya milioni mbili eti unamkosoa mtu mwenye kadi namba nane huo si upopompo alafu jifunze kiswahili maana umezidiwa na kikwere.

Hata Kama wanamkejeli sana kingunge lakini wenye Akili zao wamejua Ukweli sasa wale wasiopenda ukweli watabakia kumponda huyo Mzee kingunge lakini haitawasaidia watanzania kuwa na imani na cc ya sasa milele.
 
Back
Top Bottom