KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,147
Huyu mzee hana aibu kabisa! uso umemkakamaa kama anakula siment. Hivi Nyerere angekuwa hai angeweza kuropoka ujinga huu kweli!? Anakomaa kum quote Marehemu Karume kwa ajili ya Lowasa kwenye hoja isiyomuhusu! Vizee kama hivi vina asili ya uchawi tu.
Muulize kwanza zile nilizompa mama yako ali justify vipi. Labda wewe ndiyo tunda la justification!
CCM hawajawahi kufuata sheria au taratibu kwenye mambo makubwa.... kuwa wanaangalia upepo unaendeje!! Huyu mzee anatakiwa kulijua hili vizuri kabisa kwa vile amekuwa part ya maamuzi ya design hizi ndani ya CCM kwa muda mrefu!!!!
Mnao mdharau Mzee Kingunge hamjui kitu na mpo kama bendera fuata upepo! Kingunge ni mzee makini sana na mnaofurahia jambo hili mtakuja jutia siku moja!
NINA WASIWASI: Kama sisiemu imeshindwa kuwatendea wagombea wake haki, itakuwaje kwetu wananchi; si itakuwa balaa tukiwapa madaraka tena?
Mnao mdharau Mzee Kingunge hamjui kitu na mpo kama bendera fuata upepo! Kingunge ni mzee makini sana na mnaofurahia jambo hili mtakuja jutia siku moja!
Wacha kututisha. Kingunge amesema alivyosema kama vile kijana wa ukawa. CCM ina utaratibu wake wa kusema kwenye vikao rasmi vya chama. CCM haisemi barabarani kama vijan wa ukawa.
leo nimemsikia kingunge akiendeleza siasa zake za makundi na uchochezi ndani ya ccm,baada ya kusikia haya nimejiuliza maswali yafuatayo,
1, [/color]kauri[/red] ya kingunge ni kauri ya wazee wa ccm wote au yeye amejitoa kwenye kundi la wazee wa ccm na kuanza kuishambulia ccm?
2, je kauri hizi anazozitoa kwasasa zinaitajika katika kukijenga chama chake?
3, kati ya wagombea wato 38,kwanini anaona mmoja ndo alikuwa bora kuriko wengine?
4, je anajua kuwa kauri mbiu ya wanasema ya dodoma yalibaki dodoma,
5, je anatwambia sisi tumsaidie nini kwanini asiende kwenye vikao vya chama?
6, je kauri zake zinaijenga ccm au zinaibomoa ?
7, je anajua kuwa nawengine walikuwa na watu wao na walikuwa wanawapenda lkn baada ya maamuzi ya chama wamekaa kumia?
8, je kwanini anaonyesha dharau za waziwazi kwa wagombea wengine?
Mimi binafsi namuona kama mzee wa hovyo kabisa ambaye kwa sasa na umri wake agejikita katika kukijenga chama na kuondoa makundi badala ya kuendekeza siasa za makindi ambazo zimekuwa zikiibomoa ccm tangu mwaka 1995.
Namshauri akae kimia kama hana cha kuongea awe mzee wa busara achunge kauri zake zinazoashilia uchochezi ndani ya ccm.
Akasemee kwenye vikao gani,hivyo vikao vya CC vinavyolalamikiwa kutekwa nyara na Mtu mmoja/KITENGO au vikao gani unavyoviongelea wewe?
kauli na sio KAURI
Kazi kubwa hii , Chini ya uongozi wa CCM lugha yote imeharibiwa imekuwa kama tunaongea vijiweni kwenye vilabu vya mbege , hatari hii