nakubaliana na almost maelezo yako yote isipokuwa hapo kwenye red. ni kweli sheria na kanuni zipo kwa ajili ya kutoa mwongozo katika jambo fulani. Lakini hivi unajua si mara ya kawnza ccm kuvunja sheria na kanuni, at the expenses ya maslahi mapana ya nchi, kwa maslahi yake? unajua ccm inavoibaga kura na kupindisha kanuni kupitia Tume ya uchaguzi, kupitia polisi nk? unajua ccm ilivovuruga na kunajisi katiba ya wananchi? nakuuliza unajua ccm unajua ccm?!!...Ukiachilia mbali mahaba ya Kingunge kwa Lowassa na sababu zake za utetezi ambazo sizo at least kwa dhana aliyojengewa mgombea wake na kushindwa kujitofautisha yeye mwenyewe ndio kabisa; wachina wanamsemo wao bora ukae kimya wakufikirie mpumbavu, kuliko kufungua mdomo wako na kuwthibitishia upumbafu wako. Timu ya Lowassa kuelekea uchaguzi ndio imetufanya wengi kukubali tuhuma zinazotolewa juu yake, binafsi nimeshangaa kuona Karamagi bado anaingia NEC.
Having said that bado hoja yake ya mchakato ulivyoenda ndivyo-sivyo inabaki ni ya msingi sana ndani ya chama chao na inabidi wakae wafikirie wakikutana wanasawazisha vipi kwenda mbele. Kanuni na sheria zipo kwa sababu ya maelekezo ya ufanyaji mambo na uwezi badilisha kwa manufaa yako things dont work that way or else utazua migogoro tu na watu wa nje kuwaombea hiyo migogoro ijitokeze kwa faida yao.
Hakuna kipindi kigumu kwenye chama chochote cha siasa duniani kama wakati wa kubadili leadership ya juu, kazi yote ya kamati ya maadili, sijui whips huko dunia zingine wanavyoitana ni kuhakikisha chama kinabaki salama kipindi kama hiki maana makundi ayakosekani.
CCM mbona kasheshe lake dogo sana kipindi hiki kulinganisha na migogoro inayozuka China tofauti yao na CCM labda wao wakishaamua huyu ndio wetu kama ukileta ukaidi awasubiri muda wa kuchagua kiongozi ufike uyumbishe chama chenye wanachama zaidi ya millino saba hiyo kamati yao ya maadili inaanza na wewe kabla awajafikia hatua hizo.
Lowassa na Apson nawafananisha na 'Bo Xilai' ambaye alikuwa ni challenger 'Xi Jinping' na 'Zou Yongkang' ex spy no suprises kwa sababu ya utawala wa vyama vya kijamaa. Na issue ni hii hii Sura ya chama jamaa walivyoleta ukaidi wala hakuna haja ya kukatana wakijua wanasupport ya wanachama wanaweza leta migogoro 'Bo Xilai' anaozea jela sasa hivi na mkewe ana suspended death sentences; huyo wausalaa walimvutia muda na yeye sasa hivi lupango makosa yao ushahid wa ufisadi wa zamani.
Chama akiwezi tishiwa nyau na makada wake ndio maana kuna kamati za maadili ambazo kazi yake ni kuhakikisha wanachama wanaowania nafasi za juu wanasifa sahihi na vision sahihi na kuna muda mrefu sana wakufikia hatua za kufikirwa kutokana na groomed procedure na mafanikio yako sio tu kwenye kufanya kazi bali uwezo wako wa kukiunganisha chama na wanachama wakisema huyu ni kuwa ana tick all the boxes sio tu hana makundi ndani ya chama.
Huu mchakato uligubikwa na majungu, poor succession planning ambayo aijulikani nani anafaa kwa sifa zipi kutokana na mahitaji ya watanzania na kukijenga chama, binafsi nina mashaka sana na uwezo wa Magufuli kama raisi nilitegemea zaidi ya uchapakazi bali vision pia.
In short the whole thing and several part machines needs services na Kingunge anaposema muundo wa chama umewekwa majaribuni nakubaliana naye kabisa. Way forward ni kuacha kufanya vitu kwa mazoea tu ya kuendesha nchi na previlege za usalama walizonazo hila CCM inabidi ijipange upya na iangalie safu yake ikibidi watu kama kina Wilson Mkama warudi tu kama awapo kwa sasa bado skills zao zinahitajika na kupanga safu mpya yenye mawazo mapya kwa sasa hawa watu wengi wafanya maamuzi na strategists are weak na namna alivyoenguliwa Lowassa sio ingawa end justifies the means that the only justification of the their wrong doings.
hicho kizee mbona hakikukemea kuwa sheria na kanuni zinakiukwa wakati ccm ikiwa inavunja sheria na taratibu nyingi tu dhidi ya watu ambao si wanaccm au vyama mbadala? ccm imekuwa ikitumia hadi mahakama kururuga kanuni na sheria. hiyo ccm unayosema ijirekebishe siku za usoni una maana gani? kuwa ijerekebishe kutokuchezeana rafu yenyewe kwa yenyewe tu au pia yenyewe dhidi ya wapinzani na wasio wanaccm? haki ni kwa wanaccm tu na sisi wengine ni mang'ombe siyo?
Hiki kizee Kinajitokeza tu kimaslahi wakati uvunjaji huo wa kanuni umekuwa dhidi ya chenyewe?!! ni kweli sheria na kanuni zipo lakini zinapaswa kuwa msomeno, zikate kotekote. haka kazee hatukaaamini kuwa kanatetea kanuni, ni kwamba kanatetea maslahi binafsi kwa sababu kana upande tiyari na mbaya zaidi kamechagua upande wa wezi na mafisadi. hAKATETEI MASLAHI YA NCHI KWA WANANCHI WOTE, KANATETEA KUNDI.
he should go and jump into the sea. akajifie kuleee atuachie nchi vijana tuijenge. his time is over. Kwanza hakana tena heshima yoyote wala moral authority ya kuzungumzia masuala mapana ya nchi. Tuna kina Warioba na Butiku...wanatosha.