Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani cha kushangaza ni kuwa kamati ya maadili iliwapelekea CC majina 5 kamili.
Kwa kuwa CC walikuwa wanatakiwa kupeleka majina hayo hayo 5 kamili kwenda NEC, na kwa kuwa CC walipokea majina 5 kamili toka kamati ya maadili.
Hiyo tafsiri yake ni kama kamati ya maadili iliwapiga redundancy ya nguvu
wajumbe wa CC.
Yaani cha kushangaza ni kuwa kamati ya maadili iliwapelekea CC majina 5 kamili.
Kwa kuwa CC walikuwa wanatakiwa kupeleka majina hayo hayo 5 kamili kwenda NEC, na kwa kuwa CC walipokea majina 5 kamili toka kamati ya maadili.
Hiyo tafsiri yake ni kama kamati ya maadili iliwapiga redundancy ya nguvu
wajumbe wa CC.
umejiuliza Pinda mbaye hana Legacy atapataje Legacy bila mchefua boss wake magufuli ambaye anakwenda kuwa mwenyekiti soon?Halafu kamati ya maadili ina "wakata" Makamu wa Raisi & Waziri Mkuu ila inampitisha Naibu Waziri!!! Hivi hawa wanajisikiaje sasa wanapolazimika kufanya shughuli za kiserekali?? Nafikiri kujiuzulu kungewaletea heshima zaidi kuliko kuendelea kung'ang'ania madaraka ambayo hayathaminiwi hata na aliyewateua! Kwa sasa Baraza la Mawaziri halijavunjwa, je, Pinda atakuwa na moral authority ya kumkemea/kosoa/elekeza Naibu Waziri Makamba??? Only possible in Tanzania!
Mgufuli mwenyewe hajathubutu ku thumb upHawa watu wanaongea uchafu tu hawana point na tuwaangalie sana ndio wapoteza amani wa nnchi hawa mnataka nnchi muiendeshe kwenye mtandao,mh john pombe magufuli ndiye mwenyewe 100%:thumbup::thumbup:
Maridhiano baada ya mchakato ni hila za kutaka kutumiana baada ya ku abyusiana. Ni sawa na Sita kutaka maridhiano na ukawa baada ya kutoa li rasimu ili tu kwamba Ukawa waliunge mkono.
Mitafarku walioona tangu mwanzo. Ukiukwaji wa taratibu waliouona hata kabla ya kuanza kwa mchakato. Kama ndivyo walitakiwa wadhibiti hali ile kama kuziba ufa badala ya kuacha nyumba imeanguka sasa wanaanza kujenga ukuta.
Kwa sasa waitane waombane misamaha bila unafiki ili wakubaliane kumpa aliyewazidi kete na waliopoteza milele wakubali wamepoteza.
Lakini sidhani kama ccm itasimama tena kwa sababu Kakobe alishatamka na neno like halirudi bure!.
hembu tuendelee tazama show tujiridhishe na huo uimara.CCM ni chama IMARA bado hakijaanguka uamuz waliouchukua CCM ni km kumuweka JMnyika asimame kwenye Urais Je, wanaweza?
Haha..bahati mbaya sana Lowasa naweza kuwa ndie anayevuta hisia..ambao wameshaanza iadhibu ccm ni wengi sana ktk wale wakabila walioamini kaskazini itakatwa au kujion akuwa walifanana zaidi na ikulu...Sijui Membe,Masha,Pinda, Muhongo ,mwigulu na wengine waliokuwa wanamwona Magufuli kuwa inferior halfu wakamalizwa ktk kamati ya maadili yaani wao ndio hawana maadili....hawa jamaa watavizia kupiga bao iwezekanavyoa huku wakijificha nyuma ya Lowasa...stay tuned.CCM wakijaamka watajikuta wanakimbizan na lowasa huku issue zinaharibika sana.Kitendo alichofanyiwa lowassa hakivumiliki.
Hawa watu wanaongea uchafu tu hawana point na tuwaangalie sana ndio wapoteza amani wa nnchi hawa mnataka nnchi muiendeshe kwenye mtandao,mh john pombe magufuli ndiye mwenyewe 100%:thumbup::thumbup: