DHAMBI KUBWA WANAYOMTENDEA Edward Ngoyai Lowassa ni kumsema kuwa atalipikiza kisasi. mimi nauliza uzoefu wa kulipizwa kisasi na Lowassa wameupata wapi. Sio kuwa na miraba minne ndio kupiga watu, na sio lazima ukipigwa kwakuwa na misuli ni lazima ujibu, la hasha.
Kwahiyo watu hapa walikuwa wanahofia uovu waliutenda kwa nchi yetu kuwa ikiwa Lowassa jembe akichukua madaraka atawaumbua kwa kuwawajibisha. Kuwajibisha wafuja fedha sio kulipiza kisasi ni kurejesha chetu.
Muambieni RZ1 TANZANIA NI MIUHIMU KULIKO YEYE. SUALA LA KUONDOKA TZ KWASABABU LOWASA AMEKAMATA MADARAKA HALINA MSHIKO. BARIDI IMEANZA AMETAMBA SANA KWA MIAKA 10 SASA MUDA UMEFIKA WA KUCHUKUA CHETU AJIANDAE. HAPONI MTU KAMA NI KUKIMBIA WACHA AKIMBIA HAINA MBUNGI WALA NINI