Kingunge: Mchakato wa kumpata Mgombea Urais CCM ulikuwa batili! Lowassa si fisadi kama inavyodhaniwa

Kingunge: Mchakato wa kumpata Mgombea Urais CCM ulikuwa batili! Lowassa si fisadi kama inavyodhaniwa

Mzee akajipumzikie, maskini alinyanganywa kwanza parking system ya DSM then wakamnyanganya ya ubungo, lowassa angemrudishia zote!
 
Hao wazee waliokata jina la Lowassa ni wachumia tumbo hawana busara zozote zaidi ya chuki na kuendeshwa kwa remote na JK.
 
na sasa hivi wamemkimbia mzee wa watu....wakati ule angekuwa amezungukwa kila kona



attachment.php
 
Mradi Lowasa hayumo tena why should I care!!!
Let the be gone be the be gone!
 
sure mzee wetu. kwa style hii ni wazi ya kwamba naona milima huko tuendako.
 
Sasa aone utamu wa kuvuruga taratibu na mchakato.

Kingunge ulishiriki kuvuruga mchakato wa katiba pendekezwa... Sasa usilalamike, muosha uoshwa.

Kama Nina kumbukumbu sahihi nadhani kwenye bunge la katiba kingunge alitoa mchango wenye busara nyingi tu
 
Mzee anatapatapa, asome alama za nyakati, wenzie hiyo chapter imeshafungwa ndio maana Sophia Simba alishiriki mapokezi ya John Magufuli.

Hivi haiwezekani kwa Sophia na Nchimbi kumpa support Magufuli lakini bado wakawa ni agents wa muhimu wa lowasa ???
 
Mbona hasemi mamilioni aliyotumia shogaake kuutafuta urais ambayo hata kipofu ameweza kuona
 
Mnao mdharau Mzee Kingunge hamjui kitu na mpo kama bendera fuata upepo! Kingunge ni mzee makini sana na mnaofurahia jambo hili mtakuja jutia siku moja!

Kale kazee kana hasira ya kupokonywa Ubungo bus terminal. Pia kameangaika sana kumtembeza Edo kwa waganga na kumfanyia ndumba, yote yameshndikana.

Yawezekana CCM imekiuka utaratibu, nadhani hii ni kawaida yake.CCM hukiuka hata sheria na katiba ya nchi na haka kamjamaa kamekuwa sehemu yake, vp leo? Hakuwa mjumbe wa BMK huyo? Hakuona taratibu na sheria zikikıukwa na CCM?
 
DHAMBI KUBWA WANAYOMTENDEA Edward Ngoyai Lowassa ni kumsema kuwa atalipikiza kisasi. mimi nauliza uzoefu wa kulipizwa kisasi na Lowassa wameupata wapi. Sio kuwa na miraba minne ndio kupiga watu, na sio lazima ukipigwa kwakuwa na misuli ni lazima ujibu, la hasha.

Kwahiyo watu hapa walikuwa wanahofia uovu waliutenda kwa nchi yetu kuwa ikiwa Lowassa jembe akichukua madaraka atawaumbua kwa kuwawajibisha. Kuwajibisha wafuja fedha sio kulipiza kisasi ni kurejesha chetu.

Muambieni RZ1 TANZANIA NI MIUHIMU KULIKO YEYE. SUALA LA KUONDOKA TZ KWASABABU LOWASA AMEKAMATA MADARAKA HALINA MSHIKO. BARIDI IMEANZA AMETAMBA SANA KWA MIAKA 10 SASA MUDA UMEFIKA WA KUCHUKUA CHETU AJIANDAE. HAPONI MTU KAMA NI KUKIMBIA WACHA AKIMBIA HAINA MBUNGI WALA NINI
 
Hata Kingunge mwenyewe ni batili. Mtu gani haamini wala biblia takatifu wala Quran tukufu. Tunajua kwa nini anashabikia hiyo kambi sababu ni kwamba mwanaye Kinjekitile ni msafirisha madawa ya kulevya mkubwa. Na katika wagombea ambao wangemsaidia wasimkamate mwanae ni Lowassa tu kwa sababu naye ni Fisadi.

Bro wewe kama mtanzania mwema uliwahi kutoa taarifa hii kwenye chombo chochote chenye mamlaka ya kushughulikia maovu haya au umechukizwa tu na taarifa ya mzee kingunge?
 
Kama kaona kakatwa kimakosa kwani umekuwa ndio mwisho wake wa kugombea? Agombee kwa tiketi ya chama kingine... Si ana sapoti kubwa ya watu? But I hope it's not too late for him.
 
Mzee akajipumzikie, maskini alinyanganywa kwanza parking system ya DSM then wakamnyanganya ya ubungo, lowassa angemrudishia zote!

Hiki ndio kipimo cha ukomo wa fikra zetu badala ya kujadili hoja alizotoa wewe unamjadili mtoa hoja.
 
Huyu nae sasa atuambie kwanini alijiuzuru kama alikuwa msafi si angewapeleka mahakamani waliomwaribia jina.

Hakuna jipya ikija ufisadi hajajisafisha kwa wengi, bora angeliongelea hili jambo bila kulikwepa wakati anazunguka kusalimia watu hakuna kitu kizuri kama kusafisha jina lako ukijijua hauna makosa kabisa.

Re CCM naona bado makundi yanaendelea, ni vizuri waungane sasa kuchukua nchi. Kosa lake kubwa kuzania yeye ni yeye kabla hata ya mkutano wa Chama wa uchaguzi walioufanya juzi.
 
Kama Mzee Lowasa siyo fisadi anashindwa nini kuweka wazi kila kitu na badala yake amekuwa mkimya, ameridhika kuitwa fisadi na amewaacha watu wamsemee hii imekaaje sasa?!
 
Sasa aone utamu wa kuvuruga taratibu na mchakato.

Kingunge ulishiriki kuvuruga mchakato wa katiba pendekezwa... Sasa usilalamike, muosha uoshwa.

mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
 
Back
Top Bottom